Friday , 19 April 2024

Day: January 17, 2017

Kimataifa

Mchungaji Zimbwabwe yamkuta ya Lema

PATRICK Mugadza, Mchungaji na mtetezi wa Haki za Binadamu nchini Zimbabwe ametupwa ruamnde baada ya kutabiri kifo cha Rais Robert Mugabe wan chi hiyo,...

Habari za Siasa

Waziri wa Nyerere ‘amchana’ Magufuli

ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais...

Habari Mchanganyiko

Wachina wa meno ya tembo kortini

RAIA watatu wa China wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jiji Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha meno ya tembo...

Kimataifa

NATO kushirikiana kumnanga Trump

JEAN Marc Ayrault Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Kujihami za Ulaya (NATO), zishirikiane kumjibu...

Habari za SiasaTangulizi

Njaa yaweka rehani ubunge wa Zitto

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge pekee wa chama hicho ametangaza kujiuzulu ubunge wake iwapo serikali ya Chama Cha...

Michezo

Uganda kuivaa Ghana leo AFCON

TIMU ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ leo itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya kombe la mataifa Afrika (AFCON) inayofanyika nchini...

Habari za Siasa

Chadema, CCM vyaonywa

VYAMA vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro vimeonywa, anaandika Christina Haule. Vyama hivyo...

Habari za SiasaTangulizi

Njaa yaitoa mafichoni serikali

MKUBWA hasutwi. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli kuruhusu tani milioni 1.5 za chakula kilichokuwa kimehifadhiwa kianze kuuzwa ili...

error: Content is protected !!