Monthly Archives: December 2016

Hawa hawatomsahau JPM abadani

HUENDA watamsamehe lakini kamwe hawawezi kumsahau Rais John Magufuli katika maisha yao kutokana na kutendwa, anaandika Faki Sosi. Walikuwa na matumaini naye lakini baada ya kugusa mtima wao, kwa hakika ...

Read More »

CUF yavuka kihunzi Dimani

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimevuka kihunzi cha rufaa iliyowekwa dhidi yake na mgombea ubunge Jimbo la Dimani Zanzibar, Juma Ali Juma wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Pendo Omary. Taarifa ...

Read More »

‘Ni siku ya tafakari, si maasi’

WATANZANIA kote nchini wametakiwa kutotumia usiku wa leo (usiku wa mwaka mpya) kwa anasa, anaandika Dany Tibason. Na kwamba, wanapaswa kutafakari wapi walikosea au walikopatia katika kutenda mambo mema ya ...

Read More »

Muhongo aufyata, Wananchi walia

TAMBO za Prof. Sospeter Muhongo, Waziri wa Nishati na Madini kwamba, ‘umeme hautapanda, mimi ndio waziri nimesema’ zimefika kikomo, anaandika Josephat Isango. Jana Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji ...

Read More »

Anguko Seriali ya JPM, Waziri atishika

MAMBO yanakwenda mrama. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Dk. Philipo Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango kuingia kiwewe kutokana na maduka kufungwa kwa kasi, anaandika Faki Sosi. “Sielewe ni nini” ...

Read More »

CCM, Chadema wamng’oa mwenyeviti Singida

WANANCHI wa kijiji cha Unyianga, Manispaa ya Singida wamemvua madaraka Sombi Goda Mwenyekiti wa kijiji hicho pamoja na wajumbe wa serikali ya kijiji kwa tuhuma za kutosoma taarifa ya mapato ...

Read More »

Ajali yaua wawili, yajeruhi 26 Singida

WATU wawili wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya National Express lenye namba za usajili T.662 DEF baada ya kuacha barabara na kupinduka zaidi ...

Read More »

Kumekucha uchaguzi mdogo Sengerema.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Sengerema kimeanza kampeni zake kwa kasi katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kahumulo, na kuwataka wananchi wasimchague mgombea wa Chama cha Mapinduzi ...

Read More »

CCM yadaiwa kutapeli

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinatuhumiwa kujimilikisha maeneo ya mabondeni kinyume cha sheria za, kutafutia hati na kulikodisha kwa bei kubwa kwa wafanyabishara wa ABG African Link Traders Ltd kabla ya kuanza ...

Read More »

‘Bosi’ Jamii Forums mfupa mgumu kwa serikali

UPANDE wa Jamhuri umeshindwa kukamilisha upelelezi wa kesi ya kumiliki mtandao bila kusajiliwa hapa nchini  inayomkabili Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Jamii Media inayomiliki mtandao wa Jamii Forums, anandika Faki Sosi. Mbele ...

Read More »

DC Magu atishiwa na wananchi

WANANCHI wa kijiji cha Kanyama kata ya Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, wamecharuka na kumpa Hadija Nyembo Mkuu wa Wilaya hiyo siku 21 ili kuhakikisha anatatua mgogoro wa ardhi wa ...

Read More »

Watuhumiwa mauaji ya Dk. Mvungi waachiwa

SERIKALI imewaachilia huru watuhumiwa wanne kati ya kumi wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya kukusudia ya Dk Sengondo Mvungi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, anaandika Faki Sosi. Watuhumiwa ...

Read More »

Jeshi la Zambia lapambana na viwavi

ZAMBIA ipo katika sintofahamu baada la njaa inayotokana na uvamizi wa viwavi katika mashamba kwenye mikoa sita kati ya kumi inayounda nchi hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo. Hali hiyo imelilazimu Kikosi cha ...

Read More »

Azam Fc yaachana rasmi na makocha wake

BAADA ya taarifa zilizoenea jana juu ya klabu ya Azam Fc kuachana na jopo la makocha wao raia wa Hispania, wakiongozwa na kocha mkuu  Zeben Hernandez na wasaidizi wake, hatimaye ...

Read More »

Polisi Moro wanasa bunduki tatu mitaani

JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu 12 baada ya kuwakamata wakiwa na silaha tatu za aina mbalimbali ikiwemo bunduki y kivita aina ya AK 47, anaandika Christina Haule. Ulrich ...

Read More »

Waliomuua Dk. Mvungi kuanza ‘kukaangwa’

UPELELEZI wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya Dk. Sengondo Mvungi aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umekamilika, anaadika ...

Read More »

Farid kutimkia Hispania kesho

HATIMAYE winga wa Azam Fc Farida Mussa, anatarajia kuondoka nchini kesho Juma tano majira ya Saa 5 kamili usiku na ndege ya Shirika la KLM, kwenda nchini Hispania kuanza maisha ...

Read More »

Trump: UN ni kijiwe cha kupiga soga

DONALD Trump Rais mteule wa Marekani amesema Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), limeshuka hadhi kwa kiasi kikubwa na nguvu yake inazidi kupungua kadri muda unavyoenda. Anaandika Wolfram Mwalongo … ...

Read More »

Wananchi Sirorisimba wampigia goti JPM

WANANCHI wa Kijiji cha Sirorisimba kilichopo katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamemwomba Rais John Magufuli kuingilia kati na kufuta milki ya ardhi ya kijiji hicho aliyomilikishwa Ibrahim Chacha Nchama ...

Read More »

Ligi Kuu bara kuendelea kesho

BAADA ya mapumziko ya Sikukuu ya Krismasi, hatimaye Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea tena kesho na kesho kutwa, kwa kupigwa michezo minne katika viwanja vitatu tofauti, ikiwa ni raundi ya ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar gizani

WAKATI kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani, Zanzibar zikiwa zimeanza, Juma Ali Juma mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemkatia rufaa kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ...

Read More »

Mdee atumika katika utapeli

JINA la Halima Mdee, Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam linatumiwa na watu matapeli kwa maslahi yao. Anaandika Dany Tibason …. (endelea). Kutokana na hali hiyo, mbunge huyo ameliomba ...

Read More »

Utata mpya msaidizi wa Mbowe

UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu …. (endelea). Taarifa zinasema Saanane ambaye haonekani ...

Read More »

Maji yatesa Wananchi Ukerewe

WAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, wameitupia lawama Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushindwa kuwafikishia huduma ya maji safi na salama na kuwapimia ardhi kwa kipindi ...

Read More »

Kanisa: Serikali iache kuigiza

MAADILI kwa watumishi wa umma yameporomoka kutokana na viongozi hao kutomjua Mungu, anaandika Dany Tibason. Ni kauli ya Christopher Madole, Askofu wa Kanisa la Gospel Ministry Jimbo la Dodoma aliyoitoa leo ...

Read More »

‘Wabaya’ wa Dk. Shein wadakwa

WASIOPENDA kusikia jina la Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar kwa mujibu wa makubaliano ya uongozi wa msikiti wao, sasa wamekamatwa, anaandika Mwandishi Wetu. Waliokamatwa na Serikali ya Dk. Shein ...

Read More »

Mzimu mauaji ya Mabina waibuka tena Mwanza

MGOGORO wa ardhi katika mlima wa kijiji cha Kanyama kata ya Kisesa Wilaya ya Magu uliosababisha Clement Mabina aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza kuuwawa na wananchi ...

Read More »

Putin akoleza mahaba kwa Trump

VLADIMIR Putin, rais wa Urusi amemwandikia barua ya kumtakia heri ya sikuu ya krismasi na mwaka mpya Donald Trump ambaye ni rais mteule wa Marekani anayetarajiwa kuapishwa tarehe 20 Januari ...

Read More »

Wananchi waua majambazi Dodoma

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Dabalo Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma wakidaiwa kuvamia kijiji hicho ili kupora fedha, anaandika Dany ...

Read More »

Polisi Manyara wahakikisha ulinzi siku za Sikukuu

JESHI la Polisi mkoani Manyara kupitia msemaji wake, Kamanda wa Jeshi hilo mkoani hapa, Francis Jacob Masawe, amewahakikishia wakazi wa mkoa huo ulinzi na usalama wakati wa kusheherekea sikukuu ya ...

Read More »

Chelsea yathibitisha kuondoka kwa Oscar

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazir na klabu ya Chelsea Oscar dos Santos (25), anatarajiakujiunga na klabu ya Shanghai SIPG inayoshiriki ligi kuu nchini China katika dirisha dogo ...

Read More »

KKKT labariki unywaji wa Pombe

ASKOFU Mkuu wa zamani wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, amebariki rasmi unywaji wa pombe katika kanisa hilo kongwe nchini, anaripoti Mwandishi Wetu. Akizungumza katika ...

Read More »

Mtuhumiwa ukatili Z’bar anaswa

OMAR Said Omar, mwenye umri wa miaka 24, ambaye anatuhumiwa kumchoma moto mwanamke anayefanyakazi hoteli ya kitalii Zanzibar na ambaye anatajwa kuwa ni mpenzi wake, amekamatwa akijaribu kutoroka, anaandika Jabir ...

Read More »

Alan Pardew atimuliwa Crystal Palace

KLABU ya Crystal Palace ya nchini England imemtimua kocha wake Alan Pardew aliyekuwa akikinoa kikosi hicho baada ya kupoteza mechi nane kati ya michezo 10 katika ligi kuu nchini humo ...

Read More »

Aliyesuka njama kumuua balozi wa Urusi atajwa

FETHULLAH Gulen Kiongozi wa Dini ya Kiislamu anayeishi uhamishoni nchini marekani ametajwa kuhusika katika njama za kumuua Andrey Karlov Balozi wa Urusi nchini Uturuki tarehe 19 Desemba mwaka huu. anaandika ...

Read More »

Lissu ahojiwa kwa kumwita Magufuli ‘Mtukufu’

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameachiwa baada ya kukamatwa na kuhojiwa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Kanda Maalum ya Dar ...

Read More »

Jaji Lubuva kwisha zama zake

JAJI Semistocles Kaijage ameteuliwa kumrithi Damian Lubuva aliyekuwa akiongoza Tume ya Taifa ya Uchaguzi – National Electoral Commission (NEC) – tangu mwaka 2011, anaandika Charles William. Jaji Kaijage alikuwa mmoja ...

Read More »

Dk. Mahanga: Magufuli anaua demokrasia aliyoikuta

DAKTARI Makongoro Mahanga, aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi ameshangazwa na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli akisema, ni utawala uliojipambanua kwa kuminya na kukandamiza ...

Read More »

Mwandishi wa ITV aachiwa huru

HATIMAYE Mwandishi wa Habari wa ITV, Khalfan Lihundi aliyekuwa anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Polisi cha Usa River wilayani Arumeru kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Alexander Mnyeti ...

Read More »

Tundu Lissu akamatwa

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, anaandika Josephat ...

Read More »

Masikini Lema

KUZOROTA kwa afya ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kumeingiza kiwewe kwa wakazi wa Jiji la Arusha na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Wolfram Mwalongo. ...

Read More »

Polisi agoma kumtaja ‘Dikteta uchwara’ kizimbani

ASP Kimweli, Mratibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi ambaye ni shahidi wa pili katika kesi inayomkabili Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki, amepata kigugumizi cha kumtaja diktekta uchwara katika ushahidi ...

Read More »

Mbunge CCM amhofia JPM

BONEVETURA Kiswaga, Mbunge wa Magu mkoani Mwanza (CCM) ameonesha hofu katika utawala wa Rais John Magufuli kutokana na taifa kunyemelewa na njaa, anaandika Moses Mseti. Amesema kuwa, janga la njaa ...

Read More »

Leicester City timu bora ya mwaka

KLABU ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka baada ya kutwaa ubingwa nchini humo, huku kocha mkuu wa timu hiyo Claudio Ranieri akitangazwa kuwa ...

Read More »

Kesi ya Askofu Mameo ‘yapigwa kalenda’

KESI ya kupinga kuendelea kwa uongozi wa askofu Jackob Mameo Ole Paulo wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki imeahirishwa hadi tarehe 19 Januari mwakani, anaandika ...

Read More »

Mawakili wa Lema wahaha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini yuko mbioni kutoka mahabusu. Ni baada ya kukaa mahabusu kwa siku 50 tangu alipotiwa mbaroni tarehe 6 Novemba mwaka huu katika viwanja vya Bunge ...

Read More »

‘Wachimbaji kamilisheni ahadi zenu’

THERESIA Theodori, Kaimu Ofisa wa Madini Mkazi katika Mkoa wa Morogoro amewataka wachimbaji wadogo wa madini nchini wenye vibali na leseni kuwa na uhusiano mzuri na jamii inayowazunguka ili kuepusha ...

Read More »

RC: Machinga lazima waondoke

JOHN Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amesema kuwa, mpango wa kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) katikati ya Jiji la Mwanza upo pale pale, anaandika Moses Mseti. Tarehe 3 Desemba, ...

Read More »

Harufu yatawala Urusi Vs Uturuki

HOFU ya kuvunjika kwa uhusiano baina ya Urusi na Uturuki imetanda kutokana na kuuawa kwa Andrei Gennadyevich Karloz, Balozi wa Urusi aliyekuwa kwenye jumba la maonesho ya picha jijini Ankara, ...

Read More »

Lissu ang’ang’aniwa Kisutu

LICHA ya utetezi wa kutaka kuondolewa kwa shitaka la kwanza na tano uliofanywa na wakili wake katika kesi ya uchochezi kwenye Gazeti la Mawio inayomuhusu Tundu Lissu, Jabir Idrissa, Simon ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube