Monthly Archives: November 2016

Mahakama yamtema Kafulila

David Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora leo mbele ya Jaji David Mrango, imefuta ombi la David Kafulila la kuingiza rufaa yake upya, anaandika Pendo Omary. Kafulila alitaka kuingiza rufaa yake upya ...

Read More »

EU ‘yamkazia’ Dk. Shein, JPM

Picha Kubwa, John Magufuli, Rais wa Tanzania akiteta jambo na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Picha ndogo Seif Sharrif Hamad, aliyekuwa mgombea wa Urais Zanzibar kupitia CUF

TAARIFA kwamba Umoja wa Ulaya (EU) bado una msimamo kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25 Oktoba 2015, ulivurugwa, imeamsha upya msisimko kwa umma wa Wazanzibari, anaandika Mwandishi Wetu. “Hatua ...

Read More »

Woodburn avunja rekodi ya Owen

Ben Woodburn, kinda la Liverpool aliyevunja rekodi ya Michael Owen

KINDA wa klabu ya Liverpool, Ben Woodburn (17), ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga goli akiwa na umri mdogo katika historia ya klabu hiyo toka kuanzishwa kwake, anaandika Kelvin Mwaipungu. ...

Read More »

Kiganja anafichua kilichofichika

Mohamed Kiganja, Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

UNAIKUMBUKA habari iliyoandikwa na gazeti hili katika toleo Na. 361 la Oktoba 17-23, 2016, iliyokwenda kwa maneno ‘Rais Magufuli ashtukia dili.’ Kama haukubahatika kuisoma itafute isome zaidi ya mara moja, ...

Read More »

Ukawa ‘kufukua makaburi’

Boniface Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo

HATUA ya serikali kuendesha zoezi la bomoabomoa katika maeneo ya Kata za Kiluvya, Mbezi na Msigani inapaswa kufuatiliwa, anaandika Pendo Omary. Ni kauli ya Boniface Jacob, Mstahiki Meya wa Manispaa ya ...

Read More »

Papa Francis: Hatutaruhusu wanawake kuongoza kanisa

papa

PAPA Francis, kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amesema haafikiani na suala la wanawake kuongoza kanisa katika nafasi za juu ikiwemo upadre na uaskofu, anaandika Wolfram Mwalongo. Kiongozi huyo ameeleza ...

Read More »

‘Buriani Thomas Mashali’

Mwili wa Thomas Mashali ukizikwa katika makaburi ya Kinondoni

THOMAS Mashali, aliyekuwa bondia mashuhuri nchini Tanzania, amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashabiki, wapenzi wa ndondi, wananchi na wanafamilia kwa pamoja leo ...

Read More »

Meya Kafana: Wapuuzeni wanaotaka kutuchafua

meya

MUSA Kafana, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam amewataka wananchi kupuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii kwamba jiji hilo limetoa tenda ya ukusanyaji wa ushuru wa maegesho ...

Read More »

Sauti hii imfikie Rais Magufuli

mgomo

MAHMUDU Abdul Nondo, Naibu Waziri wa Mikopo katika Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) amesema ni wakati muafaka kwa Rais John Magufuli ambaye amejipambanua kama ...

Read More »

Ukawa washinda Umeya Ubungo, CCM hoi

boni

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetwaa Manispaa ya Ubungo leo, anaandika Pendo Omary. Boniface Jacob (Chadema) ameshinda kiti cha Umeya wa manispaa hiyo jijini Dar es Salaam ...

Read More »

Mbunge: Odinga ni kigeugeu

Raila Odinga, Kiongozi wa ODM (kushoto) akiwa na Mbunge wa Ruiru, Issac Mwaura

ISAAC Mwaura, Mbunge wa kaunti ya Ruiru, Wilaya ya Kiambu nchini Kenya amesema, Raila Odinga ni kigeugeu, anaandika Wolfram Mwalongo. Taarifa iliyoripotiwa na mtandao wa Nairobi News zinaeleza kuwa, Mwaura ...

Read More »

Uchaguzi Meya Ubungo gizani

John Kayombo, Mkurugenzi wa Wilaya ya Ubungo

UCHAGUZI wa kumpata Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama unafanyika gizani, anaandika Pendo Omary. Serikali imeagiza kwamba, waandishi wa habari wasiruhusiwe kuingia kwenye ukumbi wa uchaguzi na ...

Read More »

Walimu wataka DED aliyempigisha deki mwenzao ang’oke

Gratian Mukoba, Rais wa Chama cha Walimu Tanzania

KITENDO cha Eliud Mwaiteleke, Mkurugenzi wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kumpigisha deki mwalimu, kimeibua maandamano, anaandika Moses Mseti. Chama cha Walimu (CWT) wilaya humo kimetangaza maandamano kushinikiza Mwaiteleke aondolewe ...

Read More »

Lema aliteka Bunge

Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini akitoa hoja bungeni

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini amesema kwamba, alishauriwa na George Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwa, amfungie ofisini Athumani Kihamia, ...

Read More »

Prof. Lipumba, Msajili, AG ‘siku hazigandi’

Prof. Ibrahim Lipumba (picha kubwa). Picha ndogo Jaji Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa

SHAURI lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF) dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Prof. Ibrahim Lipumba na watu 10 ...

Read More »

Bondia Mashali kuzikwa leo

Thomas Mashali enzi za uhai wake

THOMAS Mashali, mmoja kati ya mabondia mashuhuri nchini Tanzania, atazikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashali ambaye ana rekodi ya kipekee kwenye mchezo ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube