Monthly Archives: October 2016

UVCCM wajitosa ujenzi wa vyoo

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamis

UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Kongwa wametangaza kujitolea kujenga matundu mawili ya choo cha walimu katika shule ya sekondari ya Iduo, anaandika Dany Tibason. Vijana hao ...

Read More »

Kilosa walia na migogoro ya ardhi

William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi imeombwa kutatua changamoto ya migogoro ya mipaka iliyopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro ili kuepusha hali ya maafa yanayoweza kutokea baina ya wakulima ...

Read More »

Ataka serikali isiwatelekeze wazee

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

SAMSON Msemembo, mkurugenzi wa Shirika la kusaidia Wazee mkoani Morogoro (MOREPEO), ameitaka serikali kutimiza wajibu wake katika kulihudumia kundi la wazee ili kutatua changamoto zinazowakumba, anaandika Christina Haule. Msemembo amesema ...

Read More »

Mchora katuni Kenya amemsifu au kumponda Rais Magufuli

Katuni iliyochorwa na mchora katuni maarufu nchini Kenya, Gado juu ya ziara ya Magufuli nchini mwao

KATUNI hii imechorwa na Godfrey Mwapembwa, mchora Katuni wa Kenya. Ni mchoraji vibonzo mashuhuri Afrika Mashariki na anajulikana zaidi kwa jina la Gado. Katuni hii inayohusu ziara ya Rais John ...

Read More »

Lowassa, Sumaye kung’oa ‘kitanzi’ cha JPM?

Mawaziri Wakuu wa Wastaafu, Edward Lowassa (kulia) na Frederick Sumaye ambao wote wamehamia upinzani

DODOMA ni moto. Ni kutokana na Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari wa 2016 utakaojadiliwa kabla ya kupitishwa na kuwa sheria kamili, anaandika Faki Sosi. Serikali ya Rais John ...

Read More »

Ajali ya basi Dar, mmoja ateketea kwa moto

Basi la Al Saed na Roli yakiendelea kuteketea kwa moto

Habari zilizotufikia hivi punde, zinasema ajali mbaya ya kati ya basi la abiria liitwalo Safari Njema lenye namba ya usajili T 990 AQF na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ na kusababisha kuwaka kwa ...

Read More »

HESLB yajipanga ‘kuwaliza’ wanafunzi vyuo vikuu

Abdul-Razaq Badru, Mkurugenzi wa HESLB

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imetangaza mpango wa kupitia upya na kusitisha mikopo wanafunzi wote inaodai kuwa walipewa mikopo lakini hawakidhi vigezo vipya vya utolewaji ...

Read More »

UVCCM ‘kumchongea’ Ndalichako kwa Magufuli

ndalichako

DAKIKA chache baada ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) taifa, kutoa tangazo la kuwataka wanafunzi waliokosa mikopo wakati wana vigezo, kuandikisha majina yao kupitia barua pepe ya ...

Read More »

Magufuli amng’oa mteule wa JK

Diwani Athumani, aliyekua Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)

Rais John Magufuli ameendeleza ‘panga pangua’ ya watumishi wa umma katika nafasi mbalimbali ambapo mchana wa leo ametangaza kummg’oa Diwani Athumani, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), anaandika ...

Read More »

Madiwani ‘wamshika uchawi’ DC Nyamagana

Mary Tesha, Mkuu wa Wilaya (DC) Nyamagana

MARRY Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kutothibitisha matumizi ya Sh. 100 milioni, alizoomba ili kuwaondoa ...

Read More »

Meya Ilala aendelea kutekeleza ahadi

Charles Kuyeko, Meya wa Manispaa ya Ilala

CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa kata ya Bonyokwa, amesema tayari ametekeleza ahadi ya alizotoa wakati akiwania uongozi wa kata hiyo Oktoba mwaka ...

Read More »

Tanesco yaidai serikali Sh. 125 bilioni

SHIRIKA la Umeme hapa nchini (TANESCO) limesema mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuwa linaidai Serikali zaidi ya Sh. 125 bilioni 125 ambazo ni ...

Read More »

Wenger: Ramsey yupo fiti kurejea uwanjani.

Kocha wa klabu ya Arsenal ya nchini England Arsene Wenger amethibitisha kiungo wake raia wa Wailes Aaron Ramsey atarejea dimbani katika mchezo unaofuta wa ligi dhidi ya Sunderland baada ya ...

Read More »

Plujim Kurejea tena Yanga?

HATIMAYE uongozi wa Klabu ya Yanga umeandikia barua ya kumuomba Hans Van De Plujim, aliyekuwa kocha kabla ya kujiuzulu afute maamuzi hayo na kurejea tena kuendelea kuinoa klabu hiyo, anaandika Kelvin ...

Read More »

Rais wa Ufilipino adai amesikia sauti ya Mungu

RODRIGO Duterte, Rais wa Ufilipino ambaye siku chache zilizopita alisema hahitaji kuongozwa kama mbwa na taifa la Marekani, amesema ataacha matusi kwani amesikia Sauti ya Mungu ikimuonya, anaandika Wolfram Mwalongo. Duterte ...

Read More »

JK: Sitaki ugomvi na Magufuli

Rais Jakaya KIkwete (kulia) akifurahi na Rais mteule, John Magufuli muda mchache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi

JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne amesema kuwa asingependa kuhusishwa na ukosoji wa utendaji wa serikali ya awamu ya tano iliyo chini ya Rais John Pombe Magufuli, ...

Read More »

Sumaye: Sirudi CCM hata waninyang’anye kila kitu

Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, alipokuwa mwanachama wa CCM akizungumza na wanachama wenzake wa chama hicho

KITENDO cha serikali kumpa notisi ya siku 90 ya kumfutia umiliki wa shamba la ekari 33 Frederick Sumaye, Waziri Mkuu mstaafu kimemfanya mwanasiasa huyo kujitokeza na kusema hatikiswi na suala hilo, ...

Read More »

Gaidi auawa ubalozi wa Marekani Kenya

POLISI nchini Kenya, wamempiga risasi mshukiwa wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab aliyejaribu kuingia kwa mabavu ndani ya ubalozi wa Marekani, eneo la Gigiri jijini Nairobi, anaandika Wolfram Mwalongo. Mshukiwa ...

Read More »

PSPF hoi, yapata hasara Sh. 11.6 trilioni

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umepata hasara ya Sh. 11.6 trioni huku msingi wa hasara hiyo ikiwa ni serikali kuchelewa kulipa madeni ya mafao ya wanachama waliokuwepo kabla ya kuanzishwa ...

Read More »

Bomoa bomoa yaacha kilio ‘kwa Mnyika’

ZOEZI la kubomoa nyumba zaidi ya 100 za mtaa ya Mbezi Centre kata ya Mbezi na mtaa wa Msigani kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba katika wilaya ya Ubungo limeacha ...

Read More »

Gwajima azidi ‘kukaangwa’ 

UPANDE wa Jamhuri umeendelea kupeleka mashahidi kortini katika kesi inayomkabili  Josephat Gwajima, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, ya kushindwa kuhifadhi silaha yake, anaandika Faki Sosi. Sajenti DSSGT Arobogast, shahidi wa ...

Read More »

Moitoi: Afrika inaogopa nini ICC?

PELONOMI Venson Moitoi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana na mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Afrika (AUC), amepinga uamuzi wa baadhi ya nchi za Afrika kujitoa ...

Read More »

Man City yairudia rekodi yao mbovu

SAHAU kupoteza mchezo kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Manchester United na kutupwa nje kwenye Kombe la Ligi, lakini Manchester City haikufanikiwa kupiga shuti hata mmoja liliolenga lango ...

Read More »

Duterte achimba mkwara mzito

“HUU ni mwanzo na mwisho wa kutegemea askari wa nje, nataka sera za kujitegemea, sihitaji nguvu kutoka taifa lolote” ni kauli ya Rodrigo Duterte, Rais wa Ufilipino akitishia kuvunja makubaliano ...

Read More »

Kapombe fiti kuivaa Kagera Sugar

BEKI wa kulia wa Klabu ya Azam FC, Shoamri Kapombe anatarajia kurejea dimbani Ijumaa hii katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar baada ya kusumbuliwa na ...

Read More »

Kafulila kuitwaa Kigoma Kusini?

David Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi

HATUA ya Mahakama ya Rufaa, Kanda ya Tabora kutupilia mbali maombi ya kufutwa rufaa ya Davidi Kafulila iliyowasilishwa na mawakili wa Hasna Mwilima, Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo ...

Read More »

Man City kumweka Mourinho njia panda

BAADA ya kutofanya vizuri kwa takribani michezo mitatu kwenye Ligi Kuu ya England, Manchester United ikiongozwa na Jose Mourinho wapo kwenye kibarua kingine leo kwa kuwakaribisha mahasimu wao Manchester City ...

Read More »

ICC itabaki salama?

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) itabaki salama? Ni swali linaloweza kuibuka baada ya Nchi za Afrika kuunda mkakati wa kujitoa katika mahakama hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo. Msukumo wa ...

Read More »

Mtoto ‘azaliwa’ mara mbili

MTOTO mchanga wa kike kutoka Lewisville, Texas, ‘amezaliwa’ mara mbili baada ya kutolewa katika kizazi cha mama yake kwa dakika 20 ili kufanyiwa upasuaji, Chanzo BBC. Akiwa na miezi minne ...

Read More »

Lowassa: JPM ameshindwa

magufuli-sworn-in

EDWARD Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Rais John Magufuli ameshindwa kutekeleza ahadi zake, anaandika Faki Sosi. Amesema kuwa, ...

Read More »

Serikali ya JPM yayumba

Dk. John Magufuli, Rais wa Tanzania (aliyekaa juu ya gari) akizungumza na wananchi wa jiji la Mwanza

SERIKALI ya Rais John Magufuli inayumba kutokana na watendaji wake kujigawa makundi makundi, anaandika Moses Mseti. Wakati Jijini Dar es Salaam kukiwa na sintofahamu kutokana na Umoja wa Katiba ya ...

Read More »

Ukawa: Hatutavumilia upuuzi huu

Dk. Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema

UCHAGUZI wa Meya katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam leo umevurugwa licha ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijitangazia ushindi, anaandika Faki Sosi. Pamoja na CCM kujitangazia ushindi, Ukawa wameeleza kuwa, ...

Read More »

‘Utembo’ wa rais umekuzwa na CCM

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku

NIMEGUSWA na kauli za wazee watatu, wanasiasa wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Joseph Butiku, Phillip Mangula, na Wilson Mukama – walipotoa mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya ...

Read More »

Tunahitaji sheria isiyonyamazisha wananchi

Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

KAMATI za Kudumu za Bunge la Jamhuri zinaanza vikao vyake leo Jumatatu mjini Dodoma. Mikutano ya Kamati ni mahususi kwa wabunge kupata fursa ya kukutana na serikali na wadau kupitia ...

Read More »

‘Morocco isiyumbishe msimamo wetu’

DIPLOMASIA ya Uchumi kati ya Tanzania na Morocco isitumike kuyumbisha msimamo wa Tanzania katika harakati za kupigania uhuru wa Taifa la Sahara Magharibi, anaandika Pendo Omary. Tangu wakati wa utawala wa ...

Read More »

Dk. Tulia apigania wanawake, watoto

  WABUNGE wa Jumuiaya ya Ustawi wa Maendeleo ya nchi zilizopo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana mjini Dodoma kujenga uhusiano wa karibu ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu maradhi ya UKIMWI, anaandika ...

Read More »

Sumu yazua taharuki Democratic

POLISI jijini New York nchini Marekani wamekanusha taarifa za sumu iliyopatikana kwenye ofisi ya Mgombea Urais wa chama cha Democratic Bi. Hillary Clinton huko Manhattan, anaandikaWolfram Mwalongo. Sintofahamu imegubika taifa hilo ...

Read More »

Mwenyekiti Yanga akubali amri ya Mahakama

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga ametangaza kuahirisha Mkutano Mkuu wa dhalura wa wanachama, uliokuwa ufanyike kesho tarehe 23 Oktoba, 2016 katika Uwanja wa Kaunda uliopo makao makuu ya klabu hiyo ...

Read More »

Kamati Kuu Chadema ‘kujifungia’ siku mbili

Kamati Kuu ya Chadema wakishikana mikono kuonyesha mshikamano

KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inaanza kikao chake leo, ambacho pamoja na mambo mengine kitajadili hali ya kiuchumi na kisiasa ya nchi, anaandika Charles William. Tumaini ...

Read More »

Samatta amlilia Farid Mussa

MSHAMBULIAJI wa KRC Genk na nahonda wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amekuwa katika sintofahamu juu ya Farid Mussa mchezaji wa Azam FC kwenda kucheza soka la kulipwa ...

Read More »

Ufisadi wa Sh. 1.3 bilioni kila mwaka Mwanza

HALMASHAURI ya jiji la Mwanza, hupoteza Sh. 1.3 bilioni kila mwaka kutokana na kodi  ya maduka zaidi ya 1024 inayokusanywa kuishia katika mifuko ya baadhi ya wafanyabiashara wajanja na watumishi ...

Read More »

UDSM, UDOM kushushiwa ‘rungu’

Prof. Rwekaza Mukandala, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni vyuo ambavyo serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu hapa nchini (HESLB) inatarajia kuvinyima ...

Read More »

Kitillya na wenzake wataka upelelezi uharakishwe

UPANDE wa utetezi katika kesi inayowakabili Harry Kitillya, aliyekuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shose Sinare, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na Uwezekezaji katika Benki ya Stanbic na ...

Read More »

Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

ELIUD Mwaiteleke, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, aliyeamuru Hamis Sengo, mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Shilala kudeki darasa mbele ya wanafunzi ‘amekitolea nje’ Chama Cha Walimu (CWT) ...

Read More »

Raia wa Cape Verde ‘Zungu la unga’ kizimbani

LILIANA Jesus (32), mwanamke raia wa Cape Verde aliyekamatwa wiki hii akiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JKNIA), amefikishwa mahakamani leo, ...

Read More »

Wabunge waisusia ofisi ya Samia Suluhu

Luhaga Mpina Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imetangaza kutoshirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mazingira kama ofisi hiyo haitakuwa tayari kufanya ziara ...

Read More »

Magufuli ashindwa ‘kufurukuta’ UDSM

John Magufuli, Rais wa Tanzania akiweka jiwe la msingi ujenzi wa hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

RAIS John Magufuli amekiri ‘kugonga mwamba’ kwa ahadi ya serikali yake kwamba, hakuna mwanafunzi wa Chuo Kikuu atakayecheleweshewa mkopo na kama ikitokea hivyo, mtumishi wa serikali aliyehusika na suala hilo ...

Read More »

Hagreves: Carrick ndio mtu sahihi wa kucheza na Pogba

KIUNGO wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Owen Hagreves amesema Maichael Carrick ndio mchezaji sahihi wa kucheza na Paul Pogba katika eneo la ...

Read More »

Lukuvi achemsha kuwapora ardhi matajiri

William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amekiri kuwa kuwanyang’anya mashamba matajiri waliogoma kuyaendeleza si jambo jepesi na kwamba mpaka sasa limemshinda, anaandika Dany Tibason. Lukuvi amesema ...

Read More »

Kubenea awakosha wananchi

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, akizungumza na wapiga kura wake

ZIARA ya kiserikali iliyofanywa na Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo katika eneo la Manzese na kisha kuhitimishwa kwa mkutano wa hadhara, imewafurahisha wakazi wa eneo hilo na kusema ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube