Monthly Archives: September 2016

Serikali kutoa mkopo kiwanda cha nyanya

Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji

CHARLES Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, amesema serikali itatoa mkopo kwa Mwekezaji atakayejitokeza kujenga  kiwanda cha kuchakata na kusindika nyanya mkoani Morogoro, anaandika Christina Haule. Mwijage ameyasema hayo ...

Read More »

Mbowe ‘awachana’ Twaweza na Lipumba

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka wanachama wa chama hicho na watanzania kwa ujumla kupuuza taarifa za utafiti za wa taasisi ya Twaweza, anaandika Pendo ...

Read More »

Mzimu wa Escrow wamtesa Tibaijuka

WASIWASI ndiyo akili. Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini, kukataa kupokea kiasi cha dola za kimarekani 100,000 (zaidi ya Sh. 200 milioni ...

Read More »

Chadema kuahirisha tena Ukuta?

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa

KESHO Ijumaa ya tarehe 30 Septemba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huenda kikatangaza kuahirisha tena uzinduzi wa operesheni iliyobatizwa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), anaandika Charles ...

Read More »

Twaweza ‘wambeba’ tena Magufuli

RIPOTI ya utafiti mpya wa taasisi ya Twaweza imeeleza kuwa watanzania wengi wanaunga mkono, hatua ya Rais John Magufuli kupiga marufuku mikutano na maandamano ya kisiasa hapa nchini, anaandika Aisha Amran. ...

Read More »

TRA: Wafanyabishara jisalimisheni kila mwaka

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Morogoro imewashauri wateja wake kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kila mwanzoni mwa mwaka, ili kufanyiwa makadirio ya kodi za biashara zao na ...

Read More »

Maalim Seif amvaa IGP

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, atatua ofisini kwa kiongozi mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, ili kumueleza mkakati wake wa kutua ...

Read More »

Ukatili washamiri Mwanza

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

IMEELEZWA kuwa, makosa ya ukatili dhidi ya binadamu katika Mkoa wa Mwanza yameongezeka hadi kufikia matukio 749 kwa mwaka mpaka sasa huu kutoka matukio 447 ya mwaka jana, anaandika Moses ...

Read More »

Wimbo wa ‘Dikteta Uchwara’ waponza wawili

WATU wawili akiwemo Fulgency Mapunda ‘Mwanakotide’ (32, mwanamuziki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakituhumiwa kumuudhi Rais John Magufuli, kupitia wimbo unaojulikana ...

Read More »

Viungo Simba, Yanga kuamua matokeo

Mara nyingi ukifuatilia historia ya michezo ya mahasimu wa mji mmoja ‘Derby’ baina ya Simba na Yanga, matokeo ya mchezo huo mara nyingi huamuliwa na ufundi unaooneshwa eneo la kati ...

Read More »

Mabomu, risasi za 2015 bado hazijatumika

Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani

MWIGULU Lameck Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa kutokana na ugumu wa uchaguzi wa mwaka jana, serikali ililazimika kujiandaa kwa lolote, ikiwemo kununua vifaa vya kijeshi ...

Read More »

Magufuli: wakosoaji acheni viherehere

RAIS John Magufuli amewataka wanaozikosoa ndege mbili mpya aina ya Bombardier Dash-8 Q400 zilizonunuliwa na serikali ya Tanzania hivi karibuni kuacha viherere, anaandika Charles William. Rais Magufuli ameyasema hayo leo ...

Read More »

Polisi ‘wajitosa’ sarakasi za CUF

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, linadai kuwakamata watuhumiwa 22, waliojitambuulisha kama wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwa na zana za kufanyia uhalifu ikiwemo mapanaga na visu, anandika ...

Read More »

Kesi ya Bob Wangwe yapigwa kalenda 

UPANDE wa Mashtaka umeshindwa kuwafikisha mashahidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili Bob Chacha Wangwe (24), kutokana na dharula ya kikazi, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

‘Hisabati’ za Simba na Yanga kuelekea Oktoba Mosi

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga katika Ligi Kuu soka Tanzania Bara, siku ya Oktoba Mosi mwaka huu utakaofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es ...

Read More »

Profesa Lipumba ‘out’ CUF

Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limechukua uamuzi wa kumfukuza uanachama wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumanne tarehe 27 Septemba, 2016 katika kikao ...

Read More »

JPM afura, Wizara ya Afya wapagawa

TAARIFA zilizoripotiwa leo, katika vyombo vya habari mbalimbali kuhusu upungufu wa dawa hapa nchini, zimeitibua Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, anaandika Charles William. Taarifa kutoka ...

Read More »

Lipumba, Msajili wasulubiwa

  MAKUNDI ya kumpinga Prof. Ibrahim Lipumba na genge lake yameanza kujitokeza ambapo Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi (JUVICUF) imemuonya, anandika Pendo Omary. Pia JUVICUF imemnyooshea kidole Jaji ...

Read More »

Lissu ailaza chali Jamhuri

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya kumkashifu JPM iliyokuwa ikimuhusu Dennis Wilson, anaandika Faki Sosi. Wilson, mwanachama wa Chadema alishtakiwa na ...

Read More »

Udhamini wa Makonda waingia doa

WANANCHI waliojitokeza katika zoezi la kupima afya zao lililoanza Jumamosi na Jumapili wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, wamelalamikia mpango mbovu wa huduma hiyo, anaandika Aisha Amran. Wamesema, huduma hiyo imekuwa ...

Read More »

Prof. Lipumba atumbua tena CUF

MGOGORO ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) bado unafukuta ambapo leo Prof. Ibrahim Lipumba, amegomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho ulioitishwa kesho visiwani Zanzibar, anaandika Pendo Omary. ...

Read More »

Wawili kizimbani kwa meno ya tembo

WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa kosa la kusafirisha meno ya tembo kiasi cha kilogram 3500 yenye thamani ya zaidi ya  Sh 4.2 ...

Read More »

Rais ‘amvizia’ Kinana

RAIS John Magufuli aliondoka Ikulu jijini Dar es Salaam hadi ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba bila kujulisha viongozi wake wakuu wa chama hicho, anaandika Josephat Isango. Taarifa ...

Read More »

Prof. Lipumba katumwa

JITIHADA za kuua upinzani nchini sasa zinaonekana baada ya Prof. Ibrahim Lipumba kukubali kazi ya kubomoa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Shaaban Matutu. “Sikiliza, Lipumba hataki uenyekiti CUF,” ameeleza mbunge ...

Read More »

Majambazi yafanya umafia Mwanza

  MTU mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa risasi tatu kifuani, mwingine kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi katika tukio la uharifu wa kutumia silaha za moto mkoani Mwanza, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Mali za CUF zatoweka

BAADHI ya mali za Chama cha Wananchi (CUF) hazijulikani zilipo na tayari Prof. Ibrahim Lipumba ameanza kuzisaka, anaandika Faki Sosi. Taarifa kutoka kwa chanzo chetu ndani ya CUF zinaeleza kuwa, miongoni ...

Read More »

Aliyoyasema Lipumba mbele ya wafuasi wake

BAADA ya kuingia Ofisi Kuu za Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar es Salaam, mchana wa leo Profesa Ibrahim Lipumba amezungumza mambo mbalimbali kuhusiana na kurejeshwa kwake na Jaji ...

Read More »

Kufuli zavunjwa, risasi zarindima CUF

RISASI za moto zimerindima katika Ofisi Kuu ya Chama cha Wananchi (CUF) Buguruni, jijini Dar es Salaam leo mchana, wakati Prof. Ibrahim Lipumba alipowasili ili kuanza rasmi kazi baada ya ...

Read More »

Lipumba arejeshwa uenyekiti CUF

PROFESA Ibrahim Lipumba, aliyetangazwa kusimamishwa uanachama na Chama cha Wananchi (CUF), ametangazwa kuwa mwenyekiti halali wa chama hicho, anaandika Faki Sosi. Taarifa ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini iliyotolewa jana ...

Read More »

Aliyemtembeza Lowassa afariki ghafla

AHMED Mussa Mseha, Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Kata ya Hamgembe, Manispaa ya Bukoba amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka ghafla akiwa kwenye ofisi ya wilaya ya ...

Read More »

Lowassa atua Arusha, Mgeja alaani polisi Kagera

EDWARD Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uchaguzi mkuu mwaka jana ameingia jijini Arusha leo akitokea mkoani Kagera ...

Read More »

Kortini kwa kutafuna fedha Manispaa ya Kinondoni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Kinondoni imewapandisha kizimbani watu wawili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, wakikabiliwa na makosa matano ikiwemo ubadhirifu wa fedha umma, anaandikaFaki Sosi. ...

Read More »

Chadema yanena kuhusu Ukuta Oktoba 1

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa ufafanuzi juu ya hatma ya kuzinduliwa kwa Operesheni Ukuta na kusema bado hakijapokea mrejesho kutoka kwa viongozi wa dini mpaka sasa, anaandika Charles ...

Read More »

Siri ya kuruhusu mikutano ya siasa yatajwa

SIKU moja baada ya Nsato Marijani, Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi hapa nchini, kutangaza ruhusa ya kufanyika kwa mikutano ya ndani ya vyama vya siasa, Chama ...

Read More »

Mkwara wa Magufuli wamkimbiza Kimbisa

BODI ya Uhuru Media Group, wasimamizi wa vyombo vya habari ambavyo ni mali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiwemo gazeti la Uhuru, Mzalendo na redio Uhuru imejiuzulu uongozi wake leo ...

Read More »

‘Aliyekwapua’ Sh. 51.6 milioni NMB matatani

GODWIN Muganyizi (44), wakili wa kujitegemea hapa nchini pamoja  na wenzake watatu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kuitapeli Benki ya NMB, Shilingi 51, 640, ...

Read More »

Polisi waondoa zuio la mikutano ya vyama

JESHI la Polisi hapa nchini, limetengua marufuku ya mikutano ya ndani ya vyama vya siasa ambayo liliitatangazwa mwezi mmoja uliopita, anaandika Pendo Omary. Tarehe 24 Agosti, mwaka huu jeshi hilo, lilipiga marufuku ...

Read More »

Ujumbe wa Chadema Ujerumani kurejea kesho

ZIARA ya siku 6 ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), nchini Ujerumani inamalizika leo, hivyo ujumbe wa viongozi hao unaoongozwa na Dk. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa ...

Read More »

Askari JWTZ kortini kwa mauaji

ASKARI tisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kutoka kikosi cha 823 Msange, mkoani Tabora wamefikishwa kortini, wakituhumiwa kuwashambulia wananchi na hatimaye kusababisha kifo cha mtu mmoja, anaandika Charles William. Samson ...

Read More »

Bila gesi asilia Tanzania ya viwanda ni ndoto

MPANGO wa Serikali ya awamu ya tano kuanzisha na kukuza uchumi wa viwanda unaweza kuwa ni ‘ndoto ya mchana’ ikiwa serikali haitajipanga katika uzalishaji wa gesi asilia na mafuta ya ...

Read More »

Ajali Mwanza yaua 13, yajeruhi 11

WATU 13 wamefariki dunia huku wengine 11 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya Super Shem, ambalo limegongana uso kwa uso na daladala katika eneo la Nhungumalwa, wilayani Kwimba ...

Read More »

Lissu aponea chupuchupu

HOFU ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumfutia dhamana Tundu Lissu ambaye ni mtuhumiwa wa kesi ya uchochezi, imetoweka baada ya mahakama hiyo kukubaliana na utetezi wadhamini wake kuwa, Lissu ...

Read More »

Wakulima Wami wamlilia Rais Magufuli

WAKULIMA na wafugaji kutoka Kijiji cha Wami, Luhindo wilayani Mvomero, Morogoro wamemwomba Rais John Magufuli kuwasaidia wasiporwe ardhi yao, anaandika Christina Haule. Na kwamba, wameungana kwa pamoja kupinga ardhi yao ...

Read More »

Meya, Ded Mwanza watifuana

MGOGORO umeibuka kati ya James Bwire, Meya wa Jiji la Mwanza na Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji hilo kuhusu madai ya kutengenezwa madawati 8500 yanayodaiwa yapo chini ya kiwango, anaandikaMoses ...

Read More »

Jeuri ya Maalim kwa Shein, JPM hii hapa  

  ANAJIWEZA. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Maalim Seif Shariff Hamad, kwenda matibabuni nje ya nchi bila kutumia mfuko wa serikali, anaandika Faki Sosi. Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa ...

Read More »

Wabunge wa Simba na Yanga vitani

WABUNGE wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, wanatarajia kucheza mchezo maalum wa mpira wa miguu wenye lengo la kukusanya ...

Read More »

Lissu, Mawio wakwama kortini

UTETEZI wa wakili wa Tundu Lissu na washtakiwa wenzake watatu katika kesi ya uchochezi kupitia Gazeti la Mawio iliyofunguliwa na Jamhuri, umekwama, anaandika Faki Sosi. Peter Kibatala ambaye ni wakili wa ...

Read More »

JK afanya ‘ukauzu’ ughaibuni

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amekataa kuzungumza na waandishi wa habari mjini New York, Marekani huku msaidizi wake akiwapiga vikumbo waandishi hao ili wasimsumbue ‘bosi’ wake, baada ya kutoka katika ...

Read More »

Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

ZIARA ya kimataifa aliyoifanya Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Marekani, Ulaya, Canada na Umoja wa Mataifa kulalamikia uvurugaji wa uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba ...

Read More »

Simba yaomba kulikimbia ‘shamba la bibi’

BAADA ya kuutumia Uwanja wa Uhuru kwa michezo mitatu ya ligi kuu soka ya Tanzania Bara, uongozi wa klabu ya Simba umeandika barua kwa Shirikisho la soka nchini (TFF) na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube