Monthly Archives: August 2016

Mbowe, Lowassa, Mnyika wazuiwa kuripoti polisi

SAA tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kusitisha maandamano na mikutano yake chini ya operesheni yaUmoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), Jeshi la Polisi limewataka viongozi wa ...

Read More »

Kauli 10 nzito alizotoa Mbowe, akiahirisha Ukuta

LEO mchana, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) taifa, ametangaza uamuzi wa kuahirishwa kwa maandamano na mikutano ya chama hicho nchi nzima iliyopangwa kuanza kesho, anaandika ...

Read More »

Bosi NIDA ashikwa maradhi Rumande

DICKSON Maimu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ameshindwa kufika mahakamani kutokana na maradhi, anaandika Faki Sosi. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es ...

Read More »

Kuahirisha Ukuta, polisi wapumua

JESHI la Polisi limepumua baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuahirisha mikutano na maandamano yao, anaandika Pendo Omary. Hatua ya kuahirisha mikutano na maandamano iliyotangazwa kufanyika chini ya mwavuli ...

Read More »

Mbowe: Ukuta ni Oktoba

HAKUNA kurudi nyuma. Hii ndio kauli ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, anaandika Charles William. ...

Read More »

TEF yamsulubu Nape

HATUA ya Nape Nnauye, Wazari wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kufungia vituo viwili vya habari nchini, imelikera Jukwaa la Wahariri (TEF), anaandika Faki Sosi. Taarifa ya Neville Meena, Katibu ...

Read More »

‘Yowe’ la Lipumba lamuibua Leticia

SIKU moja tangu Profesa Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) taifa, alalamikie kitendo cha Baraza Kuu la Uongozi kumsimamisha uanachama, Leticia Mosore aliyekuwa makamu mwenyekiti wa NCCR ...

Read More »

Polisi Morogoro wamnasa muuaji

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, linamshikilia kijana Rashidi Hassan (20), mkazi wa wilaya ya Kilosa, kwa tuhuma za kufanya mauaji baada ya kumpiga mwenzake na kitu butu mwilini, anaandika Christina ...

Read More »

Waajiri ‘bomu’ kukiona cha moto

SERIKALI imetangaza kuwachukulia hatua kali waajiri mbalimbali wanaokiuka sheria za usalama wa mfanyakazi mahali pa kazi na hivyo kuhatarisha maisha ya wafanyakazi, anaandika Dany Tibason. Anthony Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ...

Read More »

Kamanda ajiapiza kudhibiti Ukuta

KAULI za vitisho bado zinaendelea ambapo sasa viongozi wakuu wa jeshi hilo, wanaeleza dhamira ya kutumia nyembo mbalimbali kuhakikisha operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta) inazimwa, anaandika Dany ...

Read More »

Mtatiro mwenyekiti CUF

JULIUS Mtatiro, mwanasiasa machachari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nchini,  ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya muda ya uongozi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Jabir ...

Read More »

Profesa Lipumba, 10 wakatwa CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemsimamisha uanachama aliyekuwa mwenyekiti wake wa taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kwa tuhuma za kuwa kinara wa vurugu zilizosababisha mkutano mkuu maalum wa chama hicho kuvunjika., anaandika ...

Read More »

AG Masaju ‘ambeba’ Magufuli

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Goerge Masaju akifafanua jambo.

HATIMAYE George Masaju, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ameegemea katika kauli ya bosi wake, Rais John Magufuli inayokataza mikutano na maandamano nchini licha ya Katiba ya nchi kuruhusu, anaandika Pendo Omary. Mbele ...

Read More »

Lowassa, Mbowe wavamiwa na Polisi

VIONGOZI wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na jeshi la polisi wakati wakiendelea na kikao chao cha Kamati Kuu (CC), kwenye hoteli ya Giraffe jijini Dar es ...

Read More »

Serikali yanywea kwa Lissu, MAWIO

MPANGO wa upande wa Jamhuri, kurudisha mashitaka yaliyofutwa katika kesi cha uchochezi inayomkabili Tundu Lissu, Jabir Idrissa, Simon Mkina na Ismail Mahboob umeshindikana, anandika Faki Sosi. Lissu ni Mbunge wa ...

Read More »

Uhuru wa habari wamtesa Nape, CCM

UHURU wa kujieleza, kujadili na kuhoji mambo kwa upana wake ndani ya mipaka ya Tanzania, ndio unaomtesa Nape Nnauye, Wazari wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, anaandika Pendo Omary. Mageuzi ...

Read More »

TFS kunufaisha wafugaji nyuki

KATIKA kuhakikisha wafugaji wa nyuki Kanda ya Kati wanafanya ufugaji wenye tija, Wakala wa Huduma za Mistu Kanda ya Kati (TFS) wameanzisha utoaji mizinga ya kisasa kwa wafugaji hao, anaandika ...

Read More »

Mgomo Dar, abiria wasota

MAELFU ya abiria leo wamekwama kusafiri baada ya madereva wanaoendesha mabasi yanayofanya safari zake kati ya Buguruni, jijini Dar es Salaam na Kisarawe, Pwani kugoma, anaandika Pendo Omary. Kugoma kwa ...

Read More »

Lipumba, Sakaya nje, CUF kuwaka moto

NDANI ya Chama cha Wananchi (CUF) kwafukuta baada ya kutolewa taarifa za kusimamishwa uanachama wa Prof. Ibrahim Lipumba pia kufukuzwa kwa Magdalena Sakaya na Maftaha Nachuma, anaandika Faki Sosi. Prof. ...

Read More »

UKUTA moto

GIZA limetanda nchini kufuatia Serikali ya Rais John Magufuli kujiapiza kupambana na “Operesheni UKUTA,” anaandika Josephat Isango. Taarifa kutoka serikalini zinasema, mkakati umepangwa wa kuhakikisha waratibu na watekelezaji “Operesheni UKUTA” ...

Read More »

CCM = Chama Cha Magufuli?

MWENYEKITI mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli, anaweza kujenga utamaduni mpya ndani ya chama chake. Utamaduni wa kujimilikisha chama na maamuzi yake, anaandika Kondo Tutindaga. Huko nyuma wakati wa ...

Read More »

Rais Magufuli ameshindwa mapema

  RAIS John Pombe Magufuli aweza kukwama mapema. Alichokisema miezi 10 iliyopita sicho anachokitenda sasa. Alivyoahidi ameanza kuvisahau. Anavyong’ang’aniza havitekelezeki, anaandika Saed Kubenea.  Baadhi ya waliokuwa wamemuunga mkono katika mbio ...

Read More »

Msimamo Ukuta, DC apagawa

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa

HOFU ya wateule wa Rais John Magufuli sasa inashika hatamu. Wanahaha kuyumbisha dhamira ya mikutano na maandamano ya Septemba Mosi, anaandika Dany Tibason. Mikutano na maandamano hayo yamesisitizwa kufanywa na ...

Read More »

Polisi wazidi ‘kuukamia’ Ukuta

KAMISHNA Simon Siro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema msimamo wa Jeshi hilo kuhusu maandamano ya tarehe 1 Septemba yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), bado upo pale pale, anaandika ...

Read More »

Risasi za Polisi, majambazi Vikindu bado siri

  SIKU moja baada ya mapambano ya risasi kati ya askari polisi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika nyumba moja, eneo la Vikundu, wilayani Mkurunga, jeshi hilo limekataa kueleza kilichotokea ...

Read More »

Lissu, Bulaya wamliza Wassira

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, imetupilia mbali maombi mawili yaliyopelekwa kortini kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Bunda mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, anaandika Moses ...

Read More »

Migogoro ya ardhi yapatiwa ‘mwarobaini’

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imezindua mchakato wa kujenga mfumo unganishi wa taarifa za ardhi kwa njia ya mtandao wa inteneti (ILMIS), ambao unatarajiwa kuwa msaada mkubwa ...

Read More »

‘Kimbelembele’ cha Makonda chamtokea puani

Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama mkoa, kutaka wahalifu wagongwe na kupigwa, huku akiikejeli watetezi ...

Read More »

Wabunge CUF waunga mkono Ukuta

WABUNGE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wametangaza kuunga mkono maandamano yaliyoitishwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta), anaaandika Shabani Matutu. ...

Read More »

Baraza la vyama ‘laikwepa’ Ukuta

SIKU tatu tangu Jaji Francis Mutungi, Msajili wa vyama vya siasa hapa nchini kutangaza kuwa, kikao cha Baraza la Vyama Vya Siasa kilichopangwa kufanyika siku mbili kabla Septemba Mosi mwaka ...

Read More »

JWTZ kuanza maandalizi kuelekea Septemba Mosi

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza kuwa, kuanzia kesho Agosti 27 mwaka huu, litaanza maandalizi ya kuelekea tarehe Mosi Septemba mwaka huu, ambayo ni siku ya maadhimisho ya 52 ...

Read More »

Dk. Nchimbi ageuka mbogo, adai 2.5 bil

SAKATA la Dk. Emmanuel Nchimbi, Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuhusishwa na uuzaji ‘kiholela’ wa viwanja 200 mali ya jumuiya hiyo, ...

Read More »

Viongozi wa dini ‘wahifadhi’ aibu ya Tulia

“TUMERIDHIA ombi la viongozi wa dini,” ndivyo anavyosema James Mbatia, kwa niaba ya vyama vya upinzani vyenye wawakilishi bungeni na ambavyo vilikuwa katika mgomo wa kuhudhuria vikao vyote vya Bunge ...

Read More »

Ubadhirifu Bil 4.5 wamtibua Maswi

Eliakim Maswi, Katibu Tawala wa Halmashauri ya Mji wa Babati

ELIAKIM Maswi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, ameeleza kuwepo kwa ubadhirifu wa Sh. 4.5 Bil, katika Halmashauri ya Mji wa Babati, anaandika Dany Tibason. Ni fedha zilizotolewa kwa wananchi kwa ...

Read More »

Risasi za polisi zatikisa Mahakama ya Kisutu

RISASI za moto zimesikika na kushitua ngoma za masikio ya wengi. Ni mchana wa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya askari wa Jeshi la Magereza kuamua kuzifyatua risasi ...

Read More »

Lissu, Masha wamtikisa Magufuli

HALI bado tete. Mvutano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na serikali haujapata suluhu, anaandika Charles William. Wakati Jeshi la Polisi likisisitiza kupiga marufuku mikutano na maandamano ya ...

Read More »

Wanaowabeza Polisi mitandaoni ‘kushughulikiwa’

JESHI la Polisi limefura. Ni kufuatia watu mbalimbali kulibeza mitandaoni kwa madai kuwa, limejikita katika matamko na mazoezi ya kukabili maandamano ya vyama vya siasa vya upinzani, kuliko kujipanga kukabiliana ...

Read More »

Kiwanda cha mafuta matatani, wafanyakazi walia

UONGOZI wa kiwanda cha mafuta cha Tanzania Murzah Oil Mill unalalamikiwa kugoma kulipa mafao ya waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho baada ya kubinafsishwa kwake, jambo linalozidi kuchochea mgogoro baina ya ...

Read More »

Lissu amtaka Wambura, serikali yagoma

CAMILIUS Wambura, Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZCO), ametakiwa kufika mahakamani kama shahidi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Tundu Lissu, Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, ...

Read More »

Kingunge: Mapanga yananolewa, wako wapi Mkapa, Karume?

NCHI inatikiswa. Amani ya nchi inaelekea kutoweka.Viongozi wastaafu wako wapi? Mbona kimya? anaandika Charles William. Ni yowe la Kingunge Ngombale-Mwiru, mwanasiasa mkongwe nchini alilolitoa leo nyumbani kwake jijini Dar es ...

Read More »

Wananchi wamshutumu mbunge wa Ilemela

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, analalamikiwa na Wananchi wa Mtaa wa Nyanguku na Lukobe uliopo katika Kata ya Kahama kwa kushindwa kuwasaidia kulipwa fidia za ardhi ...

Read More »

Ukuta kiboko, Marekani yajihami

SALAMU za maandamano na mikutano ya hadhara chini ya operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta) nchini, zatia hofu Marekani, anaandika Charles William. Raia wa nchi hiyo wanaoishi Tanzania wametakiwa ...

Read More »

Mutungi asaka suluhu UKUTA vs Serikali

JAJI Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa nchini, ameonesha hofu yake iwapo hakutakuwepo muafaka kati ya serikali na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachosisitiza kuanzisha maandamano na mikutano ...

Read More »

Dozi ya Ukimwi kutosubiri muda

KUANZI Oktoba mwaka huu, watu watakaogundulika kuwa na virusi vinavosababisha Ukimwi, watapewa dawa ya kupunguza makali hapo hapo badala ya kusubiri kinga zao za mwili kupungua, anaandika Dany Tibason. Kamati ...

Read More »

Msama aingilia kati kazi za wasanii

ALEX Msama, Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, ameomba kibali cha Jeshi la Polisi kuzunguka nchi nzima kupambana na wezi wa kazi za wasanii, anaandika Dany Tibason. Pamoja na hivyo, ...

Read More »

Dk. Mwinyi azitaka halmashauri kuchukua madawati

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  Dk. Hussein Mwinyi amezitaka halmashauri ambazo hazijachukua madawati, kufanya haraka kuchukua, anaandika Pendo Omary. Amesema, vinginevyo wizara hiyo itazishauri mamlaka za juu ...

Read More »

Ukuta umefunua siri ya Tanzania – Lissu

KWA muda mrefu watu wengi wamekuwa wanafikiri kwamba, nchi yetu inatawaliwa na chama cha siasa, yaani CCM, anaandika Tundu Lissu. Hata hivyo, wapo wachache ambao walishaanza kuhoji kama CCM ni ...

Read More »

Msafara wa Lowassa wazuiwa

MSAFARA wa Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umezuiwa kuingia Mkoa wa Rukwa na Katavi, anaandika Faki Sosi. Lowassa amezuiwa na Jeshi la Polisi ...

Read More »

Bodi ya Mikopo yalalamikia madeni

BODI ya Mikopo ya Serikali za Mitaa inadai halmashauri zote nchini jumla ya Sh. 6 bilioni, anaandika Dany Tibason. Kutokana na madai hayo, imelazimika kusitisha utoaji wa mikopo kwa kipindi ...

Read More »

‘Wizi wa mtandao ni tatizo’

BENKI ya Posta Tanzania imeeleza kuwepo kwa changamoto kubwa katika kukabiliana na wizi wa fedha kwa njia ya mtandao hapa nchini, anaandika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa leo mjini Dodoma na Sabasaba ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube