Monthly Archives: July 2016

Chadema: Tutamalizia kwa Dk. Magufuli

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa

  SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuonya mikutano ya kisiasa ya hadhara, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumalizia mikutano yake nyumbani kwake Chato, Geita, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Waziri aonya watumishi wa umma

SELEMAN Jafo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ametangaza kupambana na watumishi pia watendaji katika halmashauri  ambao hawatimizi wajibu wao, anaandika Dany Tibason. Katika ...

Read More »

Hofu ya vurugu 100%

TAIFA lipo njiapanda. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘kuasisi’ mvutano usio wa lazima, anaandika Dany Tibason. Pande mbili zinaumana; moja ikiwa ni serikali inayoendeshwa ...

Read More »

Mbowe, Lowassa, Lissu ‘wavamia’ polisi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chma cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiambatana na viongozi wengine wa chama hicho leo mchana ameitikiwa wito wa Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. Mbowe juzi aliandika ...

Read More »

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane ...

Read More »

Kigamboni kujenga kituo cha polisi

WILAYA mpya ya Kigamboni imeanza mkakati wa kujenga vituo vya polisi ili kushughulikia wavuvi pamoja na wahamiaji haramu, anaandika Regina Mkonde. Hashim Mgandilwa, Mkuu wa Wilaya Kigamboni amesema kuwa alipata ...

Read More »

Lowassa kunguruma

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na aliyekua mgombea wa urais Chadema, wakati wa kuchukua fomu ya kugombea urais katika uchaguzi wa 25 Oktoba mwaka jana

WIKI moja baada ya kuwa gumzo kuu katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye aligombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka jana, Jumapili 30 Novemba ...

Read More »

Vodacom Foundation yatumia bilioni 15 katika miradi ya kijamii nchini 

Kampuni ya Simu ya Vodacom imetumia bilioni 15  kusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye jamii kupitia taasisi yake ya kusaidia masuala ya kijamii ya Vodacom Tanzania Foundation, anaandika Josephat Isango. ...

Read More »

Lissu amjibu Magufuli

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema kauli za Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni za kibaguzi na zinavunja umoja ...

Read More »

Magufuli: Chadema watakiona cha mtema kuni

JOHN Pombe Magufuli, rais wa Tanzania amesewaonya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotangaza kuongoza maandamano kuanzia 1 Septemba mwaka huu,anaandika Charles William. Rais Magufuli ambaye alikabidhiwa uenyekiti ...

Read More »

Chadema yasisitiza ‘jino kwa jino’

SIKU Moja baada ya kuonywa na Msajili wa vyama vya siasa hapa nchini, Jaji Francis Mutungi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeibuka na kusema, oparesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta ...

Read More »

Polisi Dar wamuua jambazi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuua mtu anayesadikiwa kuwa jambazi, na kwatia nguvuni watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni vinara wa wizi wa magari, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza ...

Read More »

Magwiji wa vyeti ‘feki’ wapandishwa kizimbani

WATU watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini  Dar es Salaam wakikabiliwa kwa tuhuma za kughushi vyeti na nyaraka mbalimbali, anaandika Faki Sosi. Watuhumiwa hao wanakabiliwa na jumla ...

Read More »

Maalim Seif kufunguka tena Marekani 

MAALIM Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi- CUF anatarajia kuzungumza na watanzania waishio mji wa Boston nchini Marekani,  anaandika Pendo Omary. Mkuatano huo ambao utafanyika katika eneo ...

Read More »

CCM wakwaa kisiki Morogoro

Suzan Kiwanga

MAHAKAMA kuu ya Tanzania imetupilia mbali mashtaka mawili ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa dhidi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika majimbo ya Kilombero na Mlimba ...

Read More »

Watanzania wengi ni wavivu – Mavunde

ASILIMIA 71 ya watanzania wanatumia muda wao kufanya mambo yasiyo na tija ambayo hayasaidii katika ujenzi wa taifa na maendeleo yao kiujumla, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na Anthony Mavunde, ...

Read More »

HESLB yatoa saa 48 kwa wadaiwa sugu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini (HESLB), imetoa siku mbili kuanzia leo Ijumaa ya 29 Julai kwa wadaiwa sugu kujisalimisha wenyewe kabla ya kuchukua hatua kali ...

Read More »

Chadema yawapuuza Mutungi, Sendeka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakina mpango wa kumjibu Jaji Francis Mutungi msajili wa vyama vya siasa nchini wala Christopher Olesendeka. anaandika Josephat Isango. Salumu Mwalimu, Naibu Katibu ...

Read More »

Mawakili wavutana kesi ya ‘Wahujumu’ uchumi

KESI ya kuhujumu uchumi inayomkabili Mohammedi Mustafa na mwenzake Sammuel Lema imeendelea tena jijini Dar es Salaam katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu huku mawakili wa upande wa mashitaka na ...

Read More »

Jaji Mutungi awavaa Chadema

JAJI Francis Mutungi, Msajili wa vyama vya siasa hapa nchini amekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu mikutano ya hadhara na maandamano yanayotarajia kuanza 1 Septemba mwaka huu, anaandika ...

Read More »

Mapya yaibuka hukumu ya Katumbi

HUKUMU ya kifungo cha miaka mitatu kwa Moise Katumbi Kiongozi wa Upinzani na rais wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya nchini Kongo ilitolewa kwa shinikizo la Majasusi na ...

Read More »

Serikali yaahidi kuwalinda wafanyakazi

SERIKALI ya Tanzania imeahidi kupambana na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika maeneo ya kazi, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na Alfred Mapunda, Kaimu Mkurugenzi wa Sera katika ...

Read More »

Clinton, tumaini jipya la wanawake

HILLARY Clinton, mke wa rais wa 42 wa taifa la Marekani Bill Clinton ameidhinishwa kuwa mgombea urais wa chama cha Democrat cha nchini humo huku akiweka rekodi ya kipekee, anaandika Pendo ...

Read More »

Rais Magufuli amng’oa Dk. Wanyancha

UTEUZI wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, Dk. James Wanyancha umetenguliwa, anaandika Pendo Omary. Hatua hiyo imechukuliwa na Rais John Magufuli mapema hii leo huku sababu za kutenguliwa ...

Read More »

Bil 7 zateketea 21st Century

KIWANDA cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda mjini Morogoro kimepata hasara ya zaidi ya Sh. 7 Bil katika Idara ya Useketaji (Weaving) pekee, anaandika Christina Haule. Akizungumza mbele ya ...

Read More »

Basata lamfungia Nay wa Mitego

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Emamnuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, msanii wa muziki wa kizazi kipya, anaandika Regina Mkonde. Godfrey Mngereza, Katibu Mtendaji BASATA amesema, ...

Read More »

Wananchi wasaka viwanja Dodoma

DHAMIRA ya Rais John Magufuli ya kuhakikisha Dodoma inakuwa Makao Makuu ya Nchi imechochea wananchi kuanza kutafuta viwanja katika mji huo, anaandika Drfany Tibason. Wananchi wa Dodoma na nje ya ...

Read More »

Vigogo ‘wahujumu’ uchumi kizimbani tena

MTUHUMIWA wa wizi wa Sh 7 milioni kwa kila dakika Mohammedi Mustafa na mwenzake, wamepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kesi nyengine ya kuhujumu uchumi, anaandika ...

Read More »

Usomaji MwanaHalisi, Mseto warahisishwa

MAGAZETI ya MwanaHALISI na Mseto yanayozalishwa na Kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), sasa yanaweza kusomwa popote kwa kutumia ‘application’ ya sim gazeti, anaandika Regina Mkonde. “Mteja anaweza kusoma ...

Read More »

Iyombe: Makazi kusajiliwa kisasa

  SERIKALI imepanga kutumia mfumo wa rejesta ya makazi kwa njia ya kielektroniki ili kupunguza gharama, kutopatikana kwa taarifa sahihi pamoja na kupeleka huduma stahiki kwa wananchi wote, anaandika Regina ...

Read More »

Shibuda: Msindai, Mpendazowe wanafiki

John Shibuda, aliyekuwa mbunge wa Maswa Magharibi

HATUA ya Fredy Mpendazowe na Mgana Msindai kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatokana na kuhangaikia maslahi binafsi, anaandika Dany Tibason. Msindai, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida alijiunga na ...

Read More »

Mabomu yarindima Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya madereva wa daladala walioanza mgomo baridi katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani-Nyegezi, anaandika Moses Mseti. Mgomo huo wa madereva wa daladaa ...

Read More »

Kesi Bavicha kuendeshwa kwa mwezi mmoja

HAKIMU Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, James Karayemaha amesema, kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), itamalizika ndani ya mwezi mmoja, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Dk. Shein ajitetea

DK. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi visiwani humo amejitetea kwamba ushindi wake ni halali, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya ...

Read More »

Waziri Mkuu kuhamia Dodoma, Septemba mwaka huu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na walemavu Jenister Muhagama na makatibu wakuu kuhakikisha wanamaliza nyumba yake ifikapo mwezi wa ...

Read More »

Serikali yatakiwa kuacha tafiti tegemezi

SERIKALI imetakiwa kuachana na mfumo tegemezi katika tafiti za kisayansi ili iweze kuwa na nguvu ya kupendekeza vipaumbele vyake vitakavyosaidia jamii kutokana na tafiti hizo, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo ...

Read More »

Mbunge wa Karatu asakwa

WILBROAD Qambalo, Mbunge wa Jimbo la Karatu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anasakwa na Jeshi la Polisi Karatu, anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa barua ya wito ya jeshi ...

Read More »

Mteule wa JPM aiga mbwembwe

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, ameanza kazi kwa kuiga mbwembwe za Hamisi Kigwangala, Naibu Waziri wa Afya, anaandika Moses Mseti. Amefika ofisini na kisha kuwafungia geti ...

Read More »

Hekaheka za EFDs zaanza

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara wasio na mashine za kodi (EFDs) na wale walio nazo lakini hawazitumii, wazinunue na kuanza kuzitumia, anaandika Christina Haule. Imeeleza kuwa, walionazo lakini ...

Read More »

Zitto, Seif kutua kwa Clinton

ZITTO Kabwe na Maalim Seif Sharif Hamad kwa pamoja wameitwa jijini Philadelphia, Marekani, anaandika Pendo Omary. Maalim Seif ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ambapo Zitto ni Kiongozi ...

Read More »

JK: ‘Nilimpaisha’ Diamond

DK. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu amesema kuwa, yeye ni miongoni mwa ‘waliompaisha’ Nasibu Abduli maarufu kwa jina la Diamond Platinum, anaandika Dany Tibason. Amesema, akiwa madarakani amemsaidia kumuunganisha na wasanii ...

Read More »

Magufuli: Nakuja, CCM mjiandae

RAIS wa awamu ya tano wa Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa kwa mabadiliko makubwa, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza ...

Read More »

Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana

ABDULRAHAMAN Kinana, amekubali kuendelea na wazifa wake wa katibu mkuu. Anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa zinasema, Kinana ataendelea kutumikia wazifa huo hadi kufanyika uchaguzi mkuu ujao, Novemba mwaka kesho. Kwa mujibu ...

Read More »

MaDC watakiwa kufanya kazi za CCM

Jakaya Kikwete

Serikali imetakiwa kutoa semina kwa wakuu wa Wilaya wapya hapa nchini ili waweze kuelewa majukumu yao ikiwemo kukijenga na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo yao ya utawala, anaandika ...

Read More »

JK ataka mikutano ya hadhara

JAKAYA Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyemaliza muda wake, amewataka viongozi wa chama hicho kufanya mikutano ya hadhara kote nchini ili ...

Read More »

Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana

ABDULRAHAMAN Kinana, amekubali kuendelea na wazifa wake wa katibu mkuu,anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa zinasema, Kinana ataendelea kutumikia wazifa huo hadi kufanyika uchaguzi mkuu ujao, Novemba mwaka kesho. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Wadaiwa Bodi ya Mikopo kutajwa majina hadharani

SERIKALI imepanga kutangaza kwa umma majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao hawajaanza kurejesha fedha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), anaandika Regina ...

Read More »

JK ainanga CCM, amwonya JPM

KUONGOZA Chama Cha Mapinduzi (CCM) si lele mama. Ndivyo anavyosema Dk. Jakaya Kikwete, mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, anaandika Dany Tibason. Na kwamba, chama hicho kilikuwa na ‘mafisi’ wengi waliokuwa ...

Read More »

Kikwete amtisha Magufuli CCM

JAKAYA Kikwete, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anayemaliza muda wake amemtahadharisha mwenyekiti mtarajiwa wa Chama hicho John Magufuli kwa kumweleza kuwa uenyekiti ndani ya CCM siyo lelemama kwani wajumbe ...

Read More »

Baba Kundambanda afariki Dunia

ISMAIL Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’, msanii maarufu wa vichekesho na aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CUF, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube