Monthly Archives: June 2016

Lissu: Namtaka dikteta uchwara mahakamani

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki amesema, ‘namtaka dikteta uchwara mahakamani,’anaandika Faki Sosi. Lissu ambaye ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni amesema hayo leo muda mfupi baada ya ...

Read More »

Rais Magufuli mgeni rasmi Baraza la Eid

RAIS John Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam, anaandika Regina Mkonde. Taarifa ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kwa vyombo vya ...

Read More »

Kubenea, Sugu, Millya watimuliwa bungeni

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Joseph Mbilinyi (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini na James ole Millya, Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, leo wamesimamishwa vikao vya Bunge, anaandika Walfrom ...

Read More »

Wageni nchini wapewa angalizo

WAFANYAKAZI wa kigeni wametakiwa kuzingatia kanuni na sheria za kazi hususan vibali vya ajira na ukaazi ili kutokiuka sheria za nchi, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa na Hilda Kabissa, Kamishna ...

Read More »

Ukawa wavuruga tena bungeni

LEO wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wametibua taratibu za Bunge kwa mara nyingine, anaandika Faki Sosi. Wametoka nje baada ya Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika ...

Read More »

Ujumbe mzito wa Lissu kwa Taifa

“TAIFA linapita katika kipindi kigumu, ni wakati sasa watu tukaungana kutetea taifa letu. Tusipofanya hivyo wengi wataumizwa. “Tuna kila sababu ya kuzuia hali hii mwanzo ili tufike salama, kila mpenda ...

Read More »

Serikali ya Dk.Shein yanadi jeuri

SERIKALI iliyoundwa na Dk. Ali Mohamed Shein baada ya kufutwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa 25 Oktoba 2015 imesema, pendekezo la kuwepo serikali ya mpito ni ‘upuuzi mtupu’, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Wabunge Ukawa walaani onevu wa Polisi Z’bar

WABUNGE wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (Ukawa) wamelaani vitendo vya uenevu vinavyofanywa najeshi la Polisi Visiwani Zanzibar, anaandika Faki Sosi. Vyama vianavyounda ukawa ni pamoja na Chama Cha ...

Read More »

Watano wafariki, 13 wajeruhiwa Mwanza

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

WATU watano wamefariki  dunia na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya basi lenye namba za usajili T. 449 BCB mali ya kampuni ya Super Sami lililokuwa likitokea  Dar es Salaam kwenda ...

Read More »

MAWIO wapangua mashtaka mawili

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo imewafutia mashitaka mawili Siomon Mkina, Mhariri wa Mawio na Jabir Idrisa, mwandishi wa gazeti hilo na Tundu Lissu, Mbunge wa ...

Read More »

Lissu: Serikali hii ni ya hovyo

TUNDU Lissu, Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ameseme kuwa, vitendo vinavyofanywa na serikali ya sasa ni vya hovyo, anaandika Faki Sosi. Lissu ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema pia ...

Read More »

Mafisadi sasa kumekucha

AHADI ya Rais John Magufuli kuanza kushughulika na viongozi wa umma wanaofanya ufisadi, sasa inapelekwa mkukumkuku, anaandika Faki Sosi. Ikiwa tayari Bunge la Jamhuri limepitisha Sheria ya Uanzishwaji wa Mahakama ...

Read More »

Waganda wanaswa na pembe za Ndovu

  JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Saalam limewakamata watu wawili Raia wa Uganda wakiwa na pembe 660 za Ndovu pamoja na mashine ya kukatia pembe hizo, anaandika Hamisi Mguta. ...

Read More »

Mshukiwa mauaji msikitini Mwanza auawa

MTU mmoja anayedaiwa kuhusika katika mauaji yaliyotokea katika Msikiti wa Rahma, jijini Mwanza ameuawa, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limeeleza kumuua Salum Saidi ...

Read More »

Mzimu wa ‘Bunge Live’ watikisa

HATUA ya serikali kuzuia kurusha moja kwa moja mjadala wa vikao vya Bunge kama ilivyokuwa awali, bado inaumiza wananchi, anaandika Faki Sosi. Safari hii wananchi wametinga mahakamani na kwamba leo wamefika ...

Read More »

‘Wapalestina wanapaswa kuishi kwa amani’

VYOMBO vya Umoja wa Mataifa (UN) vimetakiwa kuhakikisha kuwa, raia wa Palestina wanaishi kwa amani kama ilivyo raia katika nchi nyingine zenye amani, anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo imetolewa jana ...

Read More »

Magufuli ateua wakuu wa Wilaya 139, amtumbua Mulongo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya ...

Read More »

CCM waifanyia mbaya CUF

YOWE linapigwa na Chama cha Wananchi (CUF) dhidi ya rafu zinazochezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Ahmed Mbonde, Diwani wa Kata ya Kilindoni (CUF) wilayani Mafia katika ...

Read More »

Hofu kuu Uingereza

HALI ya wasiwasi iliyoanzishwa na upigaji kura wa Uingereza kuondoka Jumuiya ya Ulaya (EU) imekumba chama kikubwa cha upinzani cha Leba. Nusu ya Baraza la Mawaziri la upinzani linatarajiwa kujiuzulu ...

Read More »

Magufuli atoboa udhaifu wa polisi

RAIS John Magufuli leo ameeleza udhaifu wa Jeshi la Polisi katika kukabiliana na ujambazi nchini, anaandika Regina Mkonde. Mkuu huyo wa nchi ameonesha kushangazwa na majambazi kutamba wakati Jeshi la ...

Read More »

Rais Magufuli: Nitawanyoosha

RAIS John Magufuli ameapa kuwanyoosha wale wanaotafuna fedha za wananchi badala ya kuzielekeza katika maendeleo, anaandika Regina Mkonde. Pia ameeleza furaha yake baada ya Bunge la Jamhuri kupitisha sheria ya ...

Read More »

Watumishi hewa wafilisi serikali

  WATUMISHI hewa 367 kati ya 1057 katika Mkoa wa Mwanza, wamebainika kutafuna zaidi ya Sh. 2 bilioni 2, anaandika Moses Mseti. Ni wale ambao majina yao yapo katika ofisi lakini wao ...

Read More »

24,528 waliomaliza kidato cha nne wameumizwa

JUMLA ya wanafunzi 24,528 sawa na asilimia 27.2 wenye sifa ya kujiunga na kidato cha tano pia vyuo vya ufundi wamekosa nafasi hiyo, anaandika Dany Tibason. Wamekosa nafasi ya kujiunga na ...

Read More »

JUVICUF yalaani fujo Zanzibar

UMOJA wa Vijana wa Chama cha Wananchi CUF (JUVICUF) umelaani matukio ya kikatili yanayoendelea kufanyika Zanzibar, anaadika Regina Mkonde. Akizungumza na waandishi wa habari leo Zanzibar, Mahmoud Mahinda, Katibu Mtendaji ...

Read More »

Tanzania kukabili changamoto za maendeleo

SERIKALI ya Tanzania imejipanga kukabili changamoto zilizojitokeza katika mpango wa kwanza wa maendeleo endelevu (UNDAP 1)2011-15, anaandika Hamisi Mguta. Hayo yameelezwa leo na Dk. Sifuni Mchoma, Katibu mkuu wizara ya ...

Read More »

Ofisi ya Msajili kukesha kusubiri fomu za gharama

VYAMA vya siasa nchini vimekumbushwa kurejesha ripoti ya gharama za uchaguzi kwa kuwa mwisho wa kurejesha ni kesho na kwamba ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa wazi licha ...

Read More »

Waziri mkuu wa Uingereza ajiuzulu

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika Muungano wa Ulaya (EU), anaandika Pendo Omary. Cameron akiwa amejawa na huzuni ...

Read More »

NACTE yatoa wito kutoa maoni ya utendaji wake

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeutaka umma wa watanzania na wadau wa elimu kutoa mrejesho juu ya huduma zinazotolewa na Baraza hilo ili kuweza kuboresha huduma zake, ...

Read More »

Zitto amchachamalia Magufuli

ZITTO Kabwe, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ametoa tamko lake juu ya kauli ya Rais John Magufuli ya kupiga marufuku vyama vya siasa kufanya shughuli za kisiasa zaidi ya bungeni ...

Read More »

Sangoma wapandishwa kortini

WATU watatu wanaosadikika kuwa waganga wa kienyeji wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa la kosa utapeli, anaandika Faki Sosi. Watu hao ni Halid Mjewa (55), Salum Mwawala ...

Read More »

Magufuli apuuza donda la Wazanzibari

RAIS John Magufuli amepuuza maalamiko ya Wazanzibar kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) licha ya kukataliwa, kimelazimisha kurudi madarakani, anaandika Mwandishi Wetu. Amempongeza Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ...

Read More »

Ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji Morogoro

HUSSEIN Hassan (38) Mkazi wa Mkwatani, Kilosa mkoani Morogoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji, anaandika Christina Haule. Ulrich Matei, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amesema ...

Read More »

Sheria kandamizi chanzo cha ukatili

SHERIA kandamizi za mirathi chanzo cha ukatili na unyanyasaji kwa wajane nchini, anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo imetolewa leo na Rose Sarwat, Mkurugenzi wa Umoja wa Wajane Tanzania (TAWIA) katika ...

Read More »

NEC: Mchakato Katiba Mpya upo palepale

DAMIAN Lubuva, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema, mchakato wa kura za maoni na Katiba Mpya upo palepale, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza leo mbele ya waandishi wa ...

Read More »

Magufuli aipiga kijembe Ukawa

RAIS John Magufuli leo akiwa Ikulu, jijini Dar es Salaam ameonesha kukerwa na mihadhara ya kisiasa nchini na kuhoji, “watu watakula wapi?” anaandika Hamisi Mguta. Kumekuwepo na mvutano kati ya ...

Read More »

NEMC latoa msimamo mpya

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeeleza kuwa, waanzilishi wa mradi wowote unaohusisha mazingira ni lazima wapate cheti cha mazingira, anaandika Hamisi Mguta. Jaffar Chimgege, Mratibu ...

Read More »

Kumekucha CCM vs Ukawa

MAMBO yanazidi kwenda mrama kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Dani Tibason. Msimamo uliotolewa na Baraza la Vijana wa Chama ...

Read More »

Rais Kagame mgeni rasmi Sabasaba

PAUL Kagame, Rais wa Rwanda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonesho ya 40 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanaotarajiwa kuanza kufanyika Julai Mosi mwaka huu, anaandika Regina Mkonde. ...

Read More »

Lukuvi aipa siku 10 kamati ya ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku 10 kwa kamati ya ardhi kutoa maelezo namna watakavyotatua mgogoro wa nyumba kwa wakazi wa Magomeni Kota (Magomeni ...

Read More »

Jua kupatwa Sept 1

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetoa utafiti wa tukio la kupatwa kwa jua nchini pamoja na sehemu zote za Afrika pia Madagaska litakalotokea tarehe 1 Septemba mwaka huu, anaandika ...

Read More »

Waathirika mafuriko wapaza sauti serikalini

WAATHIRIKA wa mafuriko yaliyotokea katika vijiji vya Tindiga A, B, Maluwi, Mambegwa na Changarawe wilayani Kilosa, Morogoro wameiomba serikali kuwapatia mbegu zaidi ya tani 20 za muda mfupi ili ziweze ...

Read More »

CCM wamnunia JPM

WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameingia kihoro kwa Rais John Magufuli baada ya kubanwa, anaandika Pendo Omary. Hatua hiyo inatokana na kutorekebishwa chochote kwenye bajeti yake hasa makato ya ...

Read More »

Dira ya Mtanzania wapandishwa kortini

  MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewapandisha kizimbani, mhariri na mwandishi wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Musa Mkama na Prince Newton kwa kosa moja la kuandika habari za uongo ...

Read More »

Vodacom yaja na mfumo mpya ununuzi magazeti

KAMPUNI ya Simu za Mkononi (Vodacom) leo imezindua mfumo mpya wa kununua magazeti na majarida kupitia simu za mkononi za kisasa (smartphone) kwa kupakua ‘application’ inayoitwa m-paper, anaandika Faki Sisi. Vodacom ...

Read More »

Mahakama yamgomea Mbowe

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

KESI ya madai iliofunguliwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuiomba mahakama kupiga marufuku zuio la Polisi, leo limetupiliwa mbali, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Hali inatisha bungeni

KAMA mdhaha vile. Moto unazidi kufukuta kati ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wanaotoka vyama vya upinzani bungeni, anaandika Faki Sosi. Mpasuko katika makundi hayo mawili (chama ...

Read More »

Magufuli aanza kusafishwa

AMOS Siyantemi, Mwenyekiti wa kampeni ya vitabu na mdahalo (KVM) amesema Dk. John Magufuli, rais wa Tanzania si dikteta kama watu wanavyosema, anaandika Hamisi Mguta. Siyantemi ameyasema hayo wakati akizundua kitabu ...

Read More »

‘Ugonjwa huu si kimeta’

Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

SERIKALI imeeleza kwamba, ugonjwa wa ajabu ulioibuka katika Wilaya za Chemba na Kondoa, Dodoma na kuua watu saba, hauna uhusiano na ugonjwa wa kimeta, anaandika Dany Tibason. Akizungumza na waandishi ...

Read More »

UDP yamtwika mzigo Ole Medeye

GOODLUCK Ole Medeye, mwanasiasa mpya katika Chama cha UDP, leo ametunukiwa cheo cha Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, anaandika Pendo Omary. Kamati Kuu ya UDP imetoa uamuzi huo leo ...

Read More »

Polisi wamduwaza Sumaye

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ameshangazwa na unyongaji demokrasia unaofanywa kwa kiwango kikubwa nchini, anaandika Dany Tibason. Ametoa kauli hiyo jana mjini Dodoma ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube