Monthly Archives: May 2016

LHRC wamshughulikia Naibu Spika

KITENDO cha Bunge kusimamisha wabunge saba wa upinzani kuhudhuria vikao vyake kimepingwa vikali na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), anaandika Aisha Amran. Pia LHRC wamelaani hatua ya ...

Read More »

Laana UDOM

LAANA zimeanza kumiminwa kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDSM) hususan walisosababisha kusimamishwa masomo kwa wanafunzi 7802, anaandika Dany Tibason. Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udomasa) imetoa ...

Read More »

Mgomo UDSM; Hakijaeleweka

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kusitisha mgomo wao mpaka pale pesa za kujikimu zitakapoingizwa kwenye akaunti zao, anaandika Faki Sosi. Mgomo huo umeanzishwa baada ya kucheleweshwa ...

Read More »

Maalim Seif pasua kichwa

SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein haipati usingizi. Ni kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad kuumiza vichwa vyao, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la Polisi visiwani humo leo limemuhoji Maalim Seif, ...

Read More »

Siri wana-UDOM kutimuliwa hadharani

SABABU za wanafunzi 7,800 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutimuliwa sasa zipo hadharani,ananadika Aisha Amran. Ni kutokana na kuwepo kwa mgogoro kati ya chuo hicho na wafanyakazi wake ambao ...

Read More »

Jina la Kikwete ndani ya EPA

RAIS Mstaafu, Jakaya Kikwete ametajwa kukiuka Katiba kwa kutoa msamaha kwa watu waliotuhumiwa kwa kashfa ya Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ambao walikuwa hawajahukumiwa,anaandika Regina Mkonde. Rais Kikwete ametajwa ...

Read More »

Ukawa watibua tena, Naibu Spika kukiona

DK. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge ‘ataisoma namba’. Ni baadaya ya Bunge kusimamisha wabunge saba kutoka vyama vya upinzani, anaandika Regina Mkonde. Wabunge wa vyama vya upinzani leo wametoka ...

Read More »

Lugumi yaizindua serikali

SAKATA la Kampuni ya Lugumi limesababisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuagiza kupitiwa upya mikataba yote, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa leo na Hamad Masauni, Naibu Waziri wa ...

Read More »

Makinda mwenyekiti mpya wa bodi MHIF

Anne Makinda, aliyekua Spika wa Bunge la Tanzania

RAIS John Magufuli amemteua Anna Makinda, aliyekuwa Spika wa Mbunge kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa taarifa ...

Read More »

Masauni: Magereza kuchangia uchumi wa kati

SERIKALI imesema, italitumia Jeshi la Magereza nchini katika kutekeleza azma yake ya kuingia katika  uchumi wa kati ambao utachangiwa na uanzishwaji wa viwanda kwa kuendeleza miradi mbalimbali ambayo imeanzishwa na ...

Read More »

VVU tishio

MAAMBUKIZI ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yanaedelea kuathiri na kutishia maendeleo ya nchi, anaandika Regina Mkonde. Kutokana na hali hiyo, serikali ina mpango wa kufanya utafiti na kupima wananchi ili kujua ...

Read More »

Kudai ajira kwawaponza wahitimu JKT

WAHITIMU sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kufanya mkusanyiko usio halali na kushawishi wenzao kuandamana ...

Read More »

Kimenuka, Bunge laahirishwa

BUNGE la Tanzania limeahirishwa. Ni kutokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugomewa kuwasilisha hoja binafsi kuhusu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kusimamishwa, anaandika Faki ...

Read More »

Askofu Malasusa kuibua gogoro KKKT

DK. Alex Malasusa, Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ameanza mchakato wa kubadilisha katiba ya kanisa lake ili kuzuia kung’olewa ...

Read More »

Nyerere, Nkuruma, Lumumba ndio marais bora – Askofu

MWALIMU Julius Nyerere wa Tanzania, Nkwame Nkuruma wa Ghana na Patrice Lumumba kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) ni miongoni mwa marais wa kipekee waadilifu Afrika, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Chozi la Kabwe kwa Makonda limetua

PAMOJA na kuelezwa kuwa umauti hauna adui, lakini kwa msiba huu wa Wilson Mbonea Kabwe umekuwa tofauti. Una maadui, tena maadui wasiofahamu maisha yake, utendaji na uadilifu wake katika kazi, ...

Read More »

Mrithi wa Makonda atoa onyo

ALI Hapi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, amewataka wafanyabiashara kutoijaribu serikali kwa kupandisha bei za bidhaa hasa katika kuelekea mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, anaandika Happiness Lidwino. Hapi ambaye ...

Read More »

Ukawa wadai miradi ya maji bungeni

HAMIDU Hassan Bobali, Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni Wizara ya Maji ameitaka serikali itoe tathmini ya mradi wa kuvipatia maji vijiji 10 uliotekelezwa mwaka wa fedha wa ...

Read More »

Waitara aiangukia serikali

MWITA Waitara, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, imeitaka serikali kuhakikisha inaweka huduma ya vituo vya polisi katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam ili kukabiliana na matukio ya uhalifu yaliyoshamiri, ...

Read More »

Manispaa Kinondoni yaonya wafanyabiashara

WAFANYABIASHARA wametakiwa kuzingatia masharti ya leseni za biashara na vileo ili kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya serikali, anaandika Pendo Omary. Akizungumza na MwanaHALISI Online, Peter Ngoti, Ofisa Biashara Halmashauri ya ...

Read More »

Mshauri wa Rais anaswa akila uroda na mwanaye

SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein imezama kwenye aibu, ni baada ya mshauri wake Dadi Faki Dadi kukamatwa kwa tuhuma za kufanya ngono na mwanaye, anaandika Pendo Omary. Faki alikuwa ...

Read More »

CCM yaangukia pua Tabata

PATRICK Asenga Diwani wa Kata ya Tabata (Chadema) ameshinda kesi ya uchaguzi aliyofunguliwa na Sudi Kasim aliyekuwa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Mahakama ya Hakimu ...

Read More »

Vyanzo migogoro ya ardhi vyatajwa

UPUNGUFU wa vitendea kazi na watendaji katika sekta ya ardhi ndiyo sababu ya migogoro ya ardhi nchini, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo na Biseko Musiba, Mkuu wa Chuo cha ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif wamyumbisha Mrema

AGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) ‘amerusha mkuki msituni,’ ni baada ya kulalamikia wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar bila kutaja majina yao, anaandika Aisha ...

Read More »

Magufuli ampa shavu Pinda

RAIS John Magufuli amemteua Mizongo Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), anaandika Pendo Omary. Taarifa ya uteuzi wa ...

Read More »

Silaa akwama tena kortini

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekwama kuendelea kusikiliza ushahidi wa aliyekuwa mgombe ubunge wa Ukonga, Jerry Silaa (CCM) baada ya kuwekewa pingamizi na upande wa walalamikiwa, ...

Read More »

‘Usiku watoto wasitumwe nje’

JAMII imeshauriwa kuacha tabia ya kutuma watoto nje wakati wa usiku ili kuwaepusha na matatizo ya ukatili wa kijinsia ikiwemo kubakwa na kulawitiwa, anaandika Christina Haule. Khasim Munga, Kaimu Ofisa ...

Read More »

Magufuli afumua TCU, St. Joseph yaponza wengi

RAIS John Magufuli amevunja Kamisheni  ya Tume vya Vyuo Vikuu (TCU) na kuwasimamisha kazi watendaji wakuu wa tume hiyo baada ya kubainika kudahili wanafunzi wasio na sifa na kuwapa mikopo, ...

Read More »

Wala rushwa kunaswa ‘kiulaini’

WALA na watoa rushwa nchini wamepatiwa dawa. Ni baada ya kuzinduliwa kwa Kampeni ya Longa na Takukuru itakayomwezesha raia yoyote kumnasa mla rushwa, anaandika Regina Mkonde. Kampeni hiyo inatoa fursa ...

Read More »

Aibu ya Makonda msibani

ANNA Kabwe, binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amegoma kumpa mkono Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, anaandika Wolfram Mwalongo. Tukio ...

Read More »

Maalim Seif amtia kiwewe Dk. Shein

KIWEWE cha Serikali ya Dk. Ali Mohammed Shein kinakomaa, matokea ya kukanyagwa demokrasia visiwani Zanzibar yanatesa utawala wake, anaandika Faki Sosi. Kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais ...

Read More »

Polisi wajiapiza kusaka wauaji

JESHI la Polisi nchini limeapa kusaka na kuwatia nguvuni watu waliohusika katika mauaji jijini Dar es Salaam, Mwanza na Tanga, anaandika Happiness Lidwino. Akizungumza leo na waandishi wa habari Jiji ...

Read More »

Wazazi watakiwa kutonyanyasa watoto

WAZAZI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kunyanyasa watoto bali wawatimizie haki na mahitaji yao kwa mujibu wa sheria zilizopo, anaandika Christina Haule. Ally Mlango, Ofisa Elimu wa Kata ya Mtibwa ...

Read More »

Ashikiliwa kwa kumpopoa afande

ATHARI Majaribu (17) Mkazi wa Mjimpya Manispaa ya Morogoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo huku watu wawili wakitafutwa kwa tuhuma za kumpiga mawe polisi aliyewakamata wakiwa na nyara ...

Read More »

Ukawa wasaka majangili bungeni

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyofanyika tarehe 4 Oktoba 2013 haijafika kikomo. Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo bungeni vimedai idadi ya majangili waliokamatwa, anaandika Faki Sosi. Ni kwa ...

Read More »

Askofu: Viongozi wa dini ndio tatizo nchini

JOSEPH Bundala, Askofu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Jimbo la Kati amesema, viongozi wa dini nchini ndio walezi wa vitendo viovu serikalini, anaandika Dany Tibason. Amesema, matukio ya wizi, ulevi, ...

Read More »

Kongo yaikomalia UN ripoti ya siri

TUME ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imewataka Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kutoa ripoti ya siri inayoonesha uwezekano wa kufanyika kwa Uchaguzi Umkuu nchini humo, anaandika Wolfram ...

Read More »

Magufuli ateua mshauri wake na naibu mwanasheria mkuu

RAIS John Magufuli amemteua amemteua Gerson Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuziba nafasi iliyoachwa na Dkt. Tulia Akson ambaye kwa sasa ni Naibu Spika wa Bunge. Anaandika Pendo ...

Read More »

Itikadi zavuruga Chadema, CCM Segerea

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani, Japhet Kembo (kushoto) akimsikiliza Mwanasheria Idd Msanga.

ITIKADI za kisiasa zimetajwa kuzorotesha kasi ya maendeleo katika Mtaa wa Migombani, Jimbo la Segerea, mkoani Dar es Salaam, anaandika Pendo Omary. Changamoto hiyo inakuja baada ya 22 Januari, mwaka ...

Read More »

Mauaji tena Mwanza

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

JIJI la Mwanza linakithiri kwa mauaji ambapo leo watu wawili wamemfyatulia risasi kifuani na begani, Aliphonce Musanyenzi, Mwenyekiti wa Serikali Mtaa wa Bulale, Kata ya Buhongwa na kumuua, anaandika Moses ...

Read More »

TaESA yaonya wafanyao kazi nje ya nchi

Afisa habari wa  TaESA,  Jamila Mbarouk

WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) imewataka Watanzania kutokubali kusafirishwa pia kuajiriwa nje ya nchi pasipo kufuata taratibu za kisheria, anaandika Happiness Lidwino. Pia, Watanzania wametakiwa kuwa makini na ...

Read More »

Van Gal ‘out’, Mourinho ‘in’ Man Utd

KLABU ya Manchester United imetangaza kuachana na Kocha wake, Luis van Gaal, huku nafasi yake ikitarajiwa kuchukuliwa na Jose Mourinho muda wowote kuanzia sasa, anaandika Kelvin Mwaipungu. Pamoja na Van ...

Read More »

Siri za Askofu Malasusa zamwagwa

Askofu wa Dayasisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akihutubia waumini wake

DAKTARI Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ameendelea kusakamwa na waumini wake kuhusu tuhuma mbalimbali, anaandika Wolfram Mwalongo. Tuhuma ...

Read More »

Maalim Seif awindwa Z’bar

TAARIFA zimevuja. Wanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatajwa kushinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Regina Mkonde. Si Maalim ...

Read More »

Chadema: JPM anachukia pombe kuliko ufisadi?

HATUA ya Rais John Pombe Magufuli kumtimua kazi Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi imeibua maswali,” anaandika Pendo Omary. Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na kwamba, ...

Read More »

CCM yavuliwa nguo bungeni

Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo imeivua nguo Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni, anaandika Regina Mkonde. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kwamba, Serikali ya ...

Read More »

Ukawa waiangushia jumba bovu CCM

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo bungeni vimeeleza kuwa, chanzo kikubwa cha migogoro kwa wananchi ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Regina Mkonde. Na kwamba, migogoro ya ...

Read More »

Aliyetumbuliwa na Rais Magufuli afariki

WILSON Kabwe, aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam amefariki dunia usiku wa kumakia leo jijini Dar es Salaam, anaandika Pendo Omary. Kabwe amefikwa na mauti akiwa kwenye matibabu ...

Read More »

CUF yaeleza chanzo cha ubaguzi Zanzibar

UKANDAMIZWAJI wa demokrasia unaofanywa na serikali ya awamu ya tano ndiyo chanzo cha ubaguzi na chuki iliyopo miongoni mwa wananchi wa visiwani Zanzibar, anaandika Regina Mkonde. Hayo yamesemwa leo na ...

Read More »

Elimu ya juu waanza kulipa mikopo

JUMLA ya wadaiwa wapya 21,721 wa mikopo ya elimu ya juu wamejitokeza kwa lengo la kuanza kulipa madeni yao kufuatia agizo la siku 60 lililotolewa na Bodi ya Mikopo ya ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube