Monthly Archives: April 2016

Kubenea aing’ang’ania UDA

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo ameanzisha tena mjadala wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) na Mradi wa Mabasi yaendayo kasi Dar es Salaam (UDART) bungeni jana, anaandika Happiness ...

Read More »

Jaji amwachia huru mbakaji

SAID Chitembwe, Jaji nchini Kenya amemwacha huru Martin Charo aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kubaka mtoto wa mika 13. Chitembwe amesema, mtoto huyo alijifanya ni mtu ...

Read More »

Makurumla waomba punguzo la riba, rejesho la mkopo

WANANCHI wa Kata ya Makurumla katika Jimbo la Ubungo, wamemuomba Rajabu Hassani, diwani wa kata hiyo kuwafikishia maombo yao ya punguzo la riba na marejesho kwa uongozi wa Halmashauri ya ...

Read More »

KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango. Taarifa kutoka kwenye ...

Read More »

Meya Kinondoni aneemesha wafanyabiashara

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imewapa wafanyabiashara wapatao 100 eneo la kufanyia biashara zao katika Soko la Mawasiliano (Sinza), anaandika Happiness Lidwino. Kwenye soko hilo, wafanyabiashara hao hawatalipa ushuri kwa ...

Read More »

Sakata la UDA: Serikali yamlinda Salma Kikwete, Ridhwan

SERIKALI imetetea uuzwaji wa hisa za Shirika la Usafirishaji nchini (UDA) kwa Kampuni ya Simon Group na kwamba, kampuni hiyo inamilika hisa hizo kihalali, anaandika Regina Mkonde. Lawrance Mafuru, Msajiri ...

Read More »

Wiraza ya Ardhi kutibu migogoro ya ardhi

WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza mchakato wa kupitia sera ya ardhi ya mwaka 1995 ili kuangalia upungufu uliopo ikiwemo tatizo la migogoro ya ardhi na hatimaye ...

Read More »

Kizungumkuti kesi ya Kitillya, Sinare, Sioi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imesita kutoa uamuzi wa kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi Solomoni kwa madai, jalada lake limeitishwa Mahakama Kuu, ...

Read More »

Dovutwa aivaa Ukawa

FAHMI Dovutwa, Mwenyekiti wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP) amekosoa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa madai, mfumo wake hautoi nafasi kwa watu wengi kufanya ...

Read More »

Chadema yajitoa kura za maoni Katiba mpya

DK. Vincent Mashinji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), amesema kuwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ndiyo msingi imara pekee unaoweza kuweka mifumo na taasisi ...

Read More »

Geita yapata Askofu mpya

BABA mtakatifu Francis amemteua Padre Flavian Kasalla kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Geita, anaandika Wolfram Mwalongo. Taarifa ya Francisco Montecillo Padilla, Balozi wa Baba Mtakatifu nchini, iliyosainiwa na ...

Read More »

Mshahara wamponza bosi TIC

RAIS John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurungezi wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Juliet Kairuki kwa kile alichokiita “Julieth Kairuki amekua hachukui mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa mwezi Aprili 2013, anaandika ...

Read More »

Katiba yawasumbua mpira wa mikono

CHAMA cha mpira wa mikono Tanzania (TAHA) kimetakiwa kufuata sheria na taratibu za usajili wa katiba wanayoitaka kama walivyoagizwa na Msajili wa vyama vya michezo nchini, anaandika Aisha Amran. Rai ...

Read More »

Kitillya, Sinare wang’ang’aniwa

  KABLA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuondoa shitaka la utakatishaji fedha katika kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi Solomoni, upande wa mashitaka ...

Read More »

Ukawa wawakaanga Ridhwan, Mama Salma

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imewakaanga wanaotajwa kumiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) bila kufuata utaratibu, anaandika Pendo Omary. Hatua hiyo imekuja baada ya Halmashauri ya ...

Read More »

Mlinzi ajeruhi kwa risasi

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Bernad Amon (30), Mlinzi wa Kampuni ya Quick kwa tuhuma za kufyatua risasi kwa uzembe na kusababisha majeraha kwa watu wawili, anaandika Christina Haule. ...

Read More »

Mrithi wa Mwigamba huyu hapa

HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT- Wazalendo imemteua Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Zanzibar) Juma Saanani kuwa Katibu Mkuu, anaandika Pendo Omary. Saanani anashika nafasi iliyoachwa na ...

Read More »

SIKIKA yataka majipu MSD yatumbuliwe

RAIS John Magufuli ameombwa kutumbua watumishi wa Bohari Kuu ya Dawa Tanzania (MSD) waliohusika kusafirisha dawa kutoka kwenye bohari hiyo kwenda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) mwaka 2012 na ...

Read More »

Rais Magufuli atumbua TCRA

RAIS John Magufuli amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dk. Ally Yahaya Simba kwa madai ya kushindwa kusimamia ipasavyo mkataba ...

Read More »

Kubenea: Tutarejesha UDA kwa wananchi

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema, Halmashauri ya Jijiji la Dar es Salaam itahakikisha umiliki wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) unarudishwa kwa umma, anaandika Pendo ...

Read More »

Lucy Kibaki afariki dunia

LUCY Kibaki, mke wa Mwai Kibaki, Rais Mstaafu wa Kenya, ameaga dunia muda mfupi uliopita wakati akifanyiwa upasuaji. Kwa habari zaidi INGIA HAPA. 

Read More »

Mapingamizi ya Serikali kesi ya Kafulila yatupwa

FERINAND Wambari, Jaji wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora leo ametupilia mbali hoja za mawakili wa Husna Mwilima, Mbunge wa Kigoma Kusini na serikali dhidi ya David Kafulila ambapo waliwasilisha ...

Read More »

Sakata la Malasusa, watoto watoroshwa

MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya ...

Read More »

Zitto ‘amchana’ Rais Magufuli

Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini

 ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo amesema, Rais John Magufuli anapapasa suala la ufisadi, anaandika Pendo Omary. Amesema, serikali yake bado haijachukua hatua madhubuti katika vita dhidi ...

Read More »

Muhimbili, ‘Sickle Cell wavutana

BAADA ya kusitishwa utolewaji huduma ya bure kwa wagonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kumetokea mvutano baina ya wazazi wa wagonjwa na uongozi wa hospitali ...

Read More »

Rais Magufuli ateua Makatibu Tawala

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu tawala wapya katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, Rais Magufuli ameteua makatibu tawala 10 ...

Read More »

Askofu aungana na Ukawa

ASKOFU Mkuu wa Kanaisa la The Word Ministries Tanzania, Damas Thadei ameungana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) dhidi ya serikali kuzuia matangazo ya moja kwa moja ...

Read More »

Ofisa TRA kortini kwa kuomba rushwa

WATU wawili wamepandishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kwa tuhuma ya kuomba rushwa ili kumsaidia mfanyabiashara kukwepa kodi, anaandika Faki Sosi. Watu hao ni Amani Mkwizu, Ofisa wa ...

Read More »

Ole Sendeka aanza porojo za Nape, Kinana

CHRISTOPHER Ole Sendeka, Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameanza porojo za Nape Nnauye, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama hicho, anaandika Christina ...

Read More »

Mwigamba ampisha Zitto

ALIYEKUWA katibu mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Samson Mwigamba, hatimaye amefika safari yake. Ameng’olewa katika “kiti chake cha utukufu,” anaandika Pendo Omary. Anna Mghwira, mwenyekiti wa chama hicho taifa, ...

Read More »

Mapenzi yaondoa uhai wa mwanafunzi

MWANAFUNZJ wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa ...

Read More »

TEF yatoa tamko Bunge kutooneshwa

BODI ya Jukwa la Wahariri Tanzania (TEF) iliyokaa Ijumaa Aprili 22, 2016 jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilijadili hali ya mwenendo wa tasnia ya habari nchini hasa ...

Read More »

Bundi wa ugoni atua kwa Askofu Malasusa

DK. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu, ...

Read More »

Jiji la Tanga labebesha walimu mzigo wa Mwenge

WAKATI utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano ukijinisabu kwamba, umejipanga kupunguza makali ya maisha kwa wananchi, kwa Jiji la Tanga mambo hayapo hivyo, anaandika Regina Mkonde. Halmashauri ya Jiji ...

Read More »

Zanzibar ni kupe katika Muungano?

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefuta Sherehe za Maadhimisho ya Muungano. Ameagiza wananchi waadhimishe sherehe hizo wakiwa majumbani au katika shughuli zao binafsi, anaandika Saed Kubenea. Sherehe za ...

Read More »

Wanaomkosoa Magufuli ni wazalendo wafia nchi

RAIS John Magufuli ana staili yake ya uongozi – kwa kauli na vitendo – lakini inaaza kumfanya aonekane “dikteta mtarajiwa,” anaandika Ansbert Ngurumo. Baadhi ya wananchi waliokuwa wamekata tamaa, waliochoshwa ...

Read More »

Chadema yamtumbua Magufuli, Prof. Shivji, Prof. Bana

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, Rais John Magufuli ni mkwapuaji, anaandika Dani Tibason. Kimeeleza, Rais Magufuli amekwapua sera za chama hicho kwa pupa lakini hana uwezo wa kuzitekeleza ...

Read More »

Ya Kikwete yamkumba Magufuli

HOJA nzito, uchunguzi na ufuatiliaji wa vyama vya upinzani uliokuwa unatesa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, sasa zinaelekezwa kwa Rais John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Rais Magufuli anakumbana na ...

Read More »

Bilioni 10 zatengwa kilimo cha mirungi

UHURU Kenyatta, Rais wa Kenya amesema, serikali yake imetenga Dola za Marekani 10 milioni kwa ajili ya kusaidia wakulima wa zao la mirungi. Akizungumza wakati wa kusaini mswada wa kulitambua ...

Read More »

SUA yasonga mbele utafiti wa kilimo

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia shule yake ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Ergaton cha Kenya, wamezindua mradi wa utafiti ...

Read More »

Idadi ya wanaojiua Marekani yaongezeka

KITUO cha Afya nchini Marekani kimeeleza kuwa, takwimu ya watu wanaojiua katika taifa hilo imeongezeka kwa asilimia 25 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita, anaandika Wolfram Mwalongo. Idadi hiyo inatajwa ...

Read More »

70% ya Watanzania hawafanyi shughuli za kiuchumi

ASILIMIA 70.9 ya muda wa watu wenye umri kuanzia miaka 15 na kuendelea hutumika kwenye shughuli zisizo za uzalishaji ikilinganishwa na asilimia 18.5 inayotumika kwenye shughuli za kiuchumi…anaandika Aisha Amran. ...

Read More »

Lowassa, Lissu ‘kutia timu’ BAVICHA

EDWARD Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anatarajia kuhudhuria kongamano lililoandaliwa na Baraza ...

Read More »

Nchi 165 kujenga historia mpya

ZAIDI ya nchi 165 zinatarajiwa kuingia mkataba wa kihistoria wa mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye hafla inayofanyika leo mijini New York nchini Marekani, anaandika Regina Mkonde. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Deby ashinda tena urais Chad

TUME ya Uchaguzi nchini Chad (CEN) leo imemtangaza Idriss Deby kuwa mshindi wa kiti cha urais, anaandika Pendo Omary. Deby ambaye pia ni Mwenyekiti wa mpya wa Umoja wa Afrika ...

Read More »

Ukawa: Rais Magufuli mwoga

SERIKALI ya Rais John Magufuli inaelezwa kuendeshwa kwa woga na hofu ya kuumbuliwa hasa kwenye mijadala mikali ya Bunge, anaandika Regina Mkonde na Happiness Lidwino. Hatua hiyo inaelezwa kuisukuma serikali ...

Read More »

Wanawake ‘waula’ bima za magari

WANAUME wengi hupata ajali za barabarani kulinganisha na wanawake kutokana na uendeshaji usio salama ikiwamo mwendo kasi na kuendesha magari mabovu, anaandika Josephat Isango. Patrick Lodamun Afisa masoko wa kampuni ...

Read More »

CCM chali tena Dar

VYAMA vinavyoundwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimezidi kukinyima raha Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kukibwaga tena katika kinyang’anyiro cha ...

Read More »

Chadema yalia na majipu na ubaguzi

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Rais John Magufuli kutumbua majipu makubwa yaliyokuwepo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kufuata taratibu za uongozi kwenye utumbuaji huo,anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Utata ACT – Wazalendo

SAMSON Mwigamba, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameng’atuka rasmi nafasi hiyo kwa madai kuwa anaenda masomoni, anaandika Pendo Omary. Anna Mghwira, Mwenyekiti wa chama hicho ameliambia MwanaHALISI Online kuwa, Samson ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube