Monthly Archives: March 2016

Yanga, Azam zatinga nusu fainali.

KLABU za Azam FC na Yanga zimetinga robo fainali baada ya kufanikiwa kusonga mbele nkwenye fainali za kombe la Shirikisho baada ya kupata ushindi katika Michezo yao iliyochezwa  leo ya ...

Read More »

Serikali yajikanganya kuhusu misaada ya MCC

SIKU mbili tangu Marekani iifutie Tanzania misaada kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia, viongozi wa serikali ya Tanzania wamekuwa na misimamo inayojikanganya, anaandika Happiness Lidwino. Wakati Dk. Philip Mpango, Waziri wa ...

Read More »

Wabunge wa CCM wapandishwa kizimbani kwa rushwa

WABUNGE watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kudai rushwa, anaandika Faki Sosi. Waliofikishwa mahakamani leo ni Kangi Lugola (Mwibara) Victor Mwambalaswa (Lupa) na Murad Sadiq ...

Read More »

Magufuli amponza ‘mlevi’

HAMIMU Seif, mkazi wa Mwananyamala Ujiji, Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu akituhumiwa kumtishia kifo Rais John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Mbele ya Hakimu Mkazi Helleni Liwa, ...

Read More »

Balozi Idd ni mpotoshaji – Awadh

SIKU moja baada ya Balozi Seif Ali Idd, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, kusema kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) iko palepale, Awadh Ali Said, Wakili wa Mahakama ...

Read More »

Meya wa kihistoria aapishwa Dar

ISAYA Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ameapishwa leo, akiwa meya wa 17 tangu mwaka 1949, anaandika Happyness Lidwino. Mwita, Diwani wa Kata ya Vijibweni (Chadema), Kigamboni, ni ...

Read More »

Wanafunzi 500, walimu wao wajisaidia migombani

ZAIDI ya wanafunzi 500 na walimu watatu wa Shule ya Msingi Luholole kwenye Kata ya Kibuko, Wilaya ya Morogoro Vijijini, wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kukosa ...

Read More »

Mulongo ampuuza Kigwangala

MAGESA Mulongo, Mkuu wa Mkoa wa Mara, amepuuza tuhuma zilizotolewa na Khamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kwamba, ameaibisha fani ya uuguzi nchini, ...

Read More »

Mikopo ya Kilimo nje nje TADB

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa masoko ili kuongeza mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini, anaandika Saidi Mkabakuli. Dhamira hiyo inalenga kufanya mabadiliko ...

Read More »

Zanzibar yaiponza Tanganyika

UCHAGUZI wa marudio uliofanyika tarehe 20 Machi 2016, na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni iliyopitishwa na Bunge kwa haraka haraka mwaka jana, vimeanza kuleta madhara kwa Tanzania Bara, baada ya ...

Read More »

Makonda: Simwogopi Magufuli

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amedai kwamba hafanyi kazi kwa kumwogopi Rais John Magufuli, anaandika Regina Mkonde. “Nafanya kazi zangu ipasavyo na si kwa woga wa ...

Read More »

Zanzibar chini ya mtutu wa bunduki

SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa (SUK) katika Visiwa vya Zanzibar imefikia tamati, anaandika Yusuph Katimba. Uchambuzi wa kisheria unaonesha kuwa utawala wa sasa wa Zanzibar haufuati katiba, na kwamba hata ...

Read More »

Msife moyo, uchaguzi ni mchakato, si tukio – Mbowe

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri Watanzania wasife moyo kwa matokeo mabaya ya uchaguzi yaliyopinduliwa; na kwamba matokeo hayo yawe chachu ya kufanya  vizuri zaidi ...

Read More »

Wapaza sauti kuomba msaada

FAMILIA zilizoathirika na mvua zilizoambatana na upepo mkali katika kata tatu za Manispaa ya Dodoma, zimeomba msaada wa vyakula na mapaa, anaandika Dany Tibason. Wakizungumza wakati wa kupokea msaada wa ...

Read More »

Mgogoro wa Zanzibar, kumuumbua Kikwete?

HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio” Visiwani uliofanyika 20 ...

Read More »

Kutolala ni hatari kwa afya

KATIKA siku za hivi karibuni Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti inayoelezea kuwa, usingizi ni moja ya jambo muhimu na kutopatikana kwake kunaathiri zaidi afya ya mtu, anaandika Michael ...

Read More »

Meya wa Jiji Dar atia kiwewe vigogo

DAHIRA ya Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam kukamata wakwepa kodi na kuwafikisha mahakani inatia kiwewe vigogo wengi, anaandika Happyness Lidwino. Amesema, amepanga kukamilisha mambo mengi katika ...

Read More »

Rais Magufuli atajwa mgogoro Chuo cha Ualimu Mpwapwa

RAIS John Magufuli anatajwa kuwa mwenye suluhu katika mgogoro unaoendelea katika Chuo cha Ualimu Mpwapwa kilichopo Dodoma, anaandika Dany Tibason. Mgogoro huo unamuhusisha Victoria Komanya, mkufunzi wa chuo hicho kilichopo katika ...

Read More »

CUF yauona ugaidi Z’bar

JOTO la kisiasa visiwani Zanzibar halijapoa na sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinakuja na tamko zito hivi karibuni, anaandika Michael Sarungi. Chama hicho kinaeleza kuwa, maisha ya dhiki, wasiwasi, mashaka na ...

Read More »

Misri, Nigeria zaishusha pumzi Stars

SARE waliyoipata Nigeria na Misri imepunguza presha ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa Afrika 2017 (AFCON)zilizopangwa kufanyika nchini Gabon, anaandika Kelvin Mwaipungu. Mchezo ...

Read More »

Fatma Karume: Dk. Shein siyo rais Zanzibar

MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary. Fatma Amani ...

Read More »

Bilioni 12 kufikisha maji Magu

JUMLA ya Sh. 12 Bilioni zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ili kutatua tatizo hilo, anaandika Moses Mseti. Hayo yamebainishwa ...

Read More »

Namuona Kikwete ndani ya Magufuli

PIGA picha. Vuta hisia na kumbukumbu. Unakumbuka nini katika wakati kama huu, miaka 10 iliyopita? Mimi nakumbuka machache, yaliyotangulia na yaliyofuata baadaye. Nyakati zinashindana na kupingana; lakini zinafanana, anaandika Ansbert Ngurumo. ...

Read More »

AFD kuongeza ufadhili zaidi Tanzania

  SHIRIKA la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limetoa jumla ya Euro milioni 321 kuanzia mwaka 2009 mpaka sasa kwa ajili ya shughuli za maendeleo nchini,anaandika Aisha Amran. Shirika hilo limeeleza ...

Read More »

Sita wanaswa wakiiba maji Dawasco

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasco) linawashikilia mama ntilie sita kwa madai ya kutumia huduma ya maji kinyume cha utaratibu,anaandika Eunice Laurian. Mama hao wanadaiwa kujiunganisha ...

Read More »

NEC yaiongezea ‘power’ Chadema

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekiongezea nguvu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kukipa mbunge mmoja mpya, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Jimbo la Kijitoupele visiwani ...

Read More »

Dk. Shein aiomba radhi CUF

DAKTARI Ali Mohammed Shein amekiomba radhi Chama cha Wananchi (CUF) kiaina wakati wa sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Zanzibar leo kwenye Uwanja wa Aman Abeid Karume, Zanzibar, anaandika ...

Read More »

Kenya ‘yatumbua jipu’ la elimu

MAOFISA wakuu wa Baraza la Mitihani nchini Kenya wamefutwa kazi kwa madai ya vitendo vya udanganyifu uliofanywa wakati wa mitihani ya kitaifa mwaka jana. Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ...

Read More »

Mchina adakwa kwa kuiba siri za Marekani

MTU mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Su Bin amekiri kuhusika katika njama za kuiba siri za mifumo ya ndege za kijeshi za Marekani, anaandika Shirika la Utangazaji ...

Read More »

‘Rais Magufuli ni mchochezi’

RAIS John Magufuli anatajwa kuwa ni rais mchochezi na anayefanya mambo yake ili kuonesha anaendesha mapambano dhidi ya wapinzani wake, anaandika Happyness Lidwino. Dk. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri wa Josiah Kibira ...

Read More »

Watumia maji pamoja na mifugo

WAKAZI wa Kijiji cha Ndulugumi kilichopo mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanalazimika kuchangia maji na mifugo ambayo wanayapata kwenye mabwawa ya kienyeji kutokana na kuharibika kwa kisima ...

Read More »

Serikali yapiga marufuku udalali wa ardhi

SERIKALI wilayani Kilosa imepiga marufuku tabia ya udalali wa ardhi na badala yake anayehitaji ardhi kufuata sheria na taratibu za umiliki wa ardhi lengo likiwa ni kuthibiti migogoro ya ardhi, ...

Read More »

Maalimu Seif afunguka

SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Hamad, Mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi ...

Read More »

TAMWA: Pombe chanzo cha ukatili

CHAMA cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA) kupitia Kituo cha Usuluhishi (CRC) kimeitaka serikali kurekebisha baadhi ya vifungu vya sheria ya vileo, kuandaa sera ya kitaifa ya masuala ya matumizi ya ...

Read More »

Kibano watumishi hewa chaanza

JORDAN Rugimbana, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amewaagiza wakurugenzi na wakuu wa idara katika mkoa huo kutoa maelezo ya kina sababu za kuruhusu kuwepo kwa watumishi hewa 144, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Lowassa amshinda Magufuli

EDWARD Ngoyai Lowassa, sasa anaongoza rasmi jiji la Dar es Salaam. Ni baada ya Isaya Chares Mwita, aliyekuwa mgombea wa kiti cha umeya, kutangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho, anaandika ...

Read More »

Maofisa madini watakiwa kujituma

MAOFISA madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini nchini wametakiwa kujituma na kuwa wazalendo wa nchi yao, anaandika Christina Raphael. Kufanya hivyo kunaelezwa kutasaidia kukusanya mapato ya tozo na kodi ...

Read More »

Ukawa wainyuka CCM umeya Dar

ISAYA Mwita Charles, mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameshinda Umeya wa Jiji la Dar es Salaam, anaandika Hapyyness Lidwino. Kwenye uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee ...

Read More »

Mlipuko watokea uwanja wa ndege Brussels

WATU 11 wanahofiwa kufariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea milipuko miwili kwenye Uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels, nchini Ubelgiji. Bado haijafahamika chanzo cha milipuko hiyo, lakini moshi ...

Read More »

Niyonzima kuwakosa Al-Ahly

HARUNA Niyonzima ataukosa mchezo wa kwanza wa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati kikosi chake cha Yanga kitakapovaana na Al-Ahly ya Misri Aprili 9, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, ...

Read More »

Trump kuvunja mkataba wa nyuklia

DONALD Trump Mgombea urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, amesema endapo atachaguliwa kuwa rais hatua ya awali ni kuvunja mikataba ya nyuklia. Mkataba anaodai kuwa utakuwa wa ...

Read More »

‘Dk. Shein haiwezi Z’bar bila CUF’

WAKATI Dk. Ali Mohamed Shein akisubiri kuapishwa kuendelea na wadhifa wake wa urais, imeelezwa kwamba hawezi kuiendesha Zanzibar bila Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Faki Sosi. Kitila Mkumbo, Mhadhiri wa ...

Read More »

Ofisa wa TRA ashikiliwa kwa rushwa

FLAVIAN Chacha (33), Ofisa Kodi Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dodoma ametiwa mbaroni na Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa madai ya kuomba ...

Read More »

Salma: Sitarudi nyuma

SALMA Said, Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji la Ujerumani (DW) pia Gazeti la Mwananchi amesema, licha ya kutekwa na kuteswa hatorudi nyuma, anaandika Regina Mkondo. Amesema, kazi yake ya ...

Read More »

Waadventista wachangia chupa 253 za damu

KANISA la Waadventista wa Sabato mkoani Dodoma leo limechangia chupa 253 za damu katika kitengo cha damu salama Kanda ya Kati, anaandika Dany Tibason. Akizungumza na mtandao huu Bunga Dettu, ...

Read More »

Mwambene ang’olewa Maelezo

Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene

ASSAH Mwambene, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kwamba, atapangiwa kazi nyingine, anaandika Faki Sosi. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Prof. ...

Read More »

Kisasi cha Uchaguzi Mkuu CCM chaanza

KISASI cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kushughulikia wanachama na viongozi wake wanaotuhumiwa kusaliti chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu kimeanza kutekelezwa, anaandika Christina Raphael. Mkoani Morogoro viongozi 21 wameng’olewa madarakani kutokana ...

Read More »

Rais Magufuli aishiwa pumzi Umeya Dar

HEKAHEKA zinazofanywa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutaka Umeya wa Jiji hilo kwenda kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hazitafanikiwa,anaandika Faki Sosi. Raia John Magufuli amesema kama chama ...

Read More »

Wanakijiji wajipanga kumng’oa mwenyekiti wao

WANANCHI wa Kijiji cha Kisemvule wilayani Mkuranga, Pwani wamepanga kumng’oa Omar Makunga, mwenyekiti wa kijiji hicho kwa madai ya kutokuwa muadilifu pia kufanya uamuzi bila kushirkikisha wanakijiji, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Mahaba ya Jecha kwa Dk. Shein yatimia

KILELE cha mahaba ya Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yametimia baada ya kumtunuku Dk. Ali Mohammed asilimia 91 ya ushindi, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube