Monthly Archives: February 2016

Hukumu kesi ya Kubenea, Makonda Machi 3

HUKUMU ya Kesi inayomuhusu Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers na Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kindononi itatolewa tarehe 3 Machi mwaka ...

Read More »

Sh. 300,000 zavuruga mkutano Dar

VUTA nikuvute kati ya wakazi wa Serikali ya Mtaa wa Kibangu iliyoko Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na uongozi wa mtaa huo imesababisha mkutano kuvunjika baada ya Mwenyekiti ...

Read More »

Mashabiki wa Man U, Arsenal wauawa

IDADI ya watu waliofariki kufuatia shambulio la al-Shabab katika mgahawa mmoja ambapo watu walikuwa wakitazama mechi ya Arsenal na Manchester United mjini Baidoa, Ethiopia imefika 30. Shirika la Utangazaji la ...

Read More »

Wamwomba Lukuvi kumaliza utata Kikuyu

WAKAZI wa Kata ya Kikuyu Kusini Manispaa ya Dodoma wamemwomba Williamu Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuingilia kati mgogoro wa ardhi unaotokota kwa sasa, anaandika Dany ...

Read More »

CCM inatikiswa Z’bar

MSIMAMO wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoshiriki uchaguzi uliovurugwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado unatikisa, anaandika Faki Sosi. Taarifa ndani ya chama ...

Read More »

Uchaguzi wagawa majeshi Zanzibar

Baada ya kuwepo fununu za mgawanyiko ndani ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar juu ya usimamizi wa amani katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika machi 20 mwaka huu, uongozi wa ...

Read More »

‘Tutasaka majambazi popote walipo’

IKIWA ni siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuua majambazi watatu jijini Dar es Salaam, jeshi hilo limepanga kuanza msako wa majambazi kwenye misitu wanakofanyia mazoezi,anaandika Regina Mkonde. Jeshi ...

Read More »

Ndalichako ang,oa vigogo watatu taasisi ya elimu

JOYCE Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Bodi ya Taasisi ya Elimu nchini (TET) kwa kushindwa kusimamia   sheria ya manunuzi na kazi ya uchapaji ...

Read More »

CCM, Ukawa ngoma nzito umeya Dar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wanashiriki kuvuruga utaratibu wa uchaguzi wa Meya wa Jiji hilo, anaandika Happyness Lidiwno. Sara Yohana, Kaimu ...

Read More »

Timbwili uchaguzi Meya Dar es Salaam

UCHAGUZI wa Meya wa Jijini la Dar es Salaam umegeuka kitendawili baada ya Kaimu Mkurugenzi wa Jiji kuahirisha kwa mara ya nne, anaandika Happyness Lidwino. Kumekuwepo na sintofahamu ya kupatikana kwa ...

Read More »

Gianni Infantino Rais mpya wa Fifa

GIANNI Infantino, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Fifa, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) katika uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Zurich, Uswisi, anaandika Erasto Masalu. ...

Read More »

TMF yashawishi wanahabari

MFUKO wa Vyombo vya Habari nchini (TMF) umesisitiza azma yake ya kuendelea kusaidia waandishi wa habari katika kuwaongezea umahiri ili kuimarisha sekta ya habari nchini, anaandika Faki Sosi. Katika semina ...

Read More »

Waziri Majaliwa awakomalia Makamba, Ndalichako

MAJALIWA Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewapa saa 12 wa mawaziri ambao hawajarejesha fomu ya kiapo cha utumishi wa umma, kuzirejesha kwenye Ofisi ya Maadili ...

Read More »

Waziri Possi: Ajirini walemavu

DAKTARI Abdallah Possi, Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) amevitaka vyombo vya habari nchini kuandaa sera endelevu ya kuajiri walemavu na kutumia lugha za alama ili ...

Read More »

CCM yashtukiwa uchaguzi wa meya Dar

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wananchi kutohofia vitisho vilivyopangwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salam unaotarajiwa kufanyika kesho, anaandika ...

Read More »

Mgombea wa Afrika ajitoa Fifa

TOKYO Sexwale, ambaye ni Mgombea wa urais wa Fifa kutoka Afrika Kusini amejiondoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa mrithi wa Sepp Blatter. Sexwale, akihutubu kabla ya kura kupigwa, amesema hataki ...

Read More »

Wananchi watifuana na polisi Mwanza

POLISI jijini Mwanza wamewatawanya wananchi kwa mabomu katika eneo la Sinai, Mtaa wa Nyerere ‘A’ Kata ya Mabatini baada ya kutokea vurugu kutokana na mtu mmoja kugongwa na gari, anaandika ...

Read More »

Daladala walalamikia polisi, Halmashauri Kionondoni

HATUA ya Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kushindwa kukamilisha ujenzi wa barabara zinazoingia kwenye Vituo vya Daladala Mawasiliano na Makumbusho jijini Dar es Salaam imendelea kulalamikiwa, anaandika Aisha Amran. Pia ...

Read More »

Soko lajengwa kwa miaka 13

SOKO la Buigiri lililopo katika Wilaya ya Chamwino, Dodoma limeanza kujengwa tangu mwaka 2003 na halijakamilika, anaandika Dany Tibason. Seleman Jafo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na ...

Read More »

Kitete cha simu ‘feki’ chaanza

BAADHI ya wafanyabiashara nchini mwameanza kupaza sauti kwamba, muda uliowekwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kuzifungia mawasiliano simu feki ni mfupi, anaandika Dany Tibason. Hivi karibuni TCRA wameetoa taarifa ...

Read More »

Migogoro ya ardhi Morogoro kukoma

HATUA ya kukomesha migogoro ya ardhi mkoani Morogoro imeanza kuchukuliwa baada ya wataalam watano kutoka Tume ya Taifa inayosimamia migogoro ya ardhi nchini kuwasili, anaandika Christina Raphael. Timu hiyo iliyo ...

Read More »

TBC kuonesha bunge ‘live’

KILIO cha ukosefu wa fedha za kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge la Tanzania kupitia Shirika la Utangazaji nchini (TBC) ambacho kimekuwa kikitolewa na serikali, sasa kimepata ufumbuzi, ...

Read More »

HESLB watoa maelekezo kwa wasiopata mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya wanafunzi ili kuondoa usumbufu wakati wa masomo, anaandika Faki Sosi. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Galawa awashauri wakutubi

WATUNZA kumbukumbu, nyaraka na Takwimu nchini (WAKUTUBI), wametakiwa kutoa taarifa sahihi kwa jamii hususani za kiuchumi badala ya kuzificha makabatini, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa na Chiku Galawa, Mkuu ...

Read More »

Mabilioni ya NSSF yatafunwa

BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Tija la Taifa (NIP) imeishauri serikali kuunda tume ya kuchunguza matumizi mabaya ya fedha za serikali zaidi ya dola za Kimarekani 1.5 bilioni, anaandika ...

Read More »

Katiba mpya sio kipaumbele cha Magufuli

DAKTARI Harrison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria amewataka Watanzania wanaoulizia hatima ya mchakato wa katiba mpya kutambua kuwa suala hilo si sehemu ya vipaumbele vya Dk. John Magufuli, anaandika ...

Read More »

Jengo la Posta Dodoma lateketea kwa moto

JENGO Posta lililopo katika eneo la sabasaba katika Manispaa ya Dodoma limeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa, anaandika Dany Tibason, Dodoma. Akizungumzia kutekeleza kwa jengo hilo Meneja wa Posta ...

Read More »

Jafo afanya ziara ya kushtukiza sokoni

NAIBU Wazari wa TAMISEMI, Seleman Jafo jana alivamia soko Kuu la Majengo mjini hapa na kuanza kukagua stakabadhi za ushuru kwa wafanyabiashara wa soko hilo kama zimetolewa kwa mfumo wa ...

Read More »

Serikali yahimiza NHIF

SERIKALI imezitaka Hospitali za Serikali kutowapuuza wagonjwa wanaotumia Bima ya Afya (NHIF) kwani ni chanzo kikubwa na uhakika cha mapato kwa hospitali hizo, anandika Dany Tibasoni, Dodoma. Kauli hiyo ilitolewa ...

Read More »

Polisi yakusanya mamilioni kwa faini Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa kuwa litaendelea kupambana na uhalifu wa kutumia silaha, kudhibiti dawa za kulevya na kuwatoza faini madereva wanaoendesha kwa uzembe, ...

Read More »

Ilala wataonja tofauti kuchagua Chadema

CHARLES Kuyeko, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, ameahidi kuwatumikia wananchi kwa bidii ili waweze kubaini tofauti kuwa waliwahi kutumikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happyness Lidwino. Kuyeko ...

Read More »

Hatma ya Geita, Polisi Tabora Machi 20

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itatoa maamuzi ya upangaji wa matokeo unaozikabiri timu za Geita Gold Mine na Polisi Tabora, anaandika Regina Mkonde. Jamal ...

Read More »

Walaji fedha za TASAF matatani

TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Morogoro imewaasa viongozi wa Serikali wanaodaiwa kufuja fedha zinazotolewa na mfuko wa kusaidia kaya maskini (TASAF) huku walengwa wakiachwa bila ...

Read More »

Watumishi wa umma chanzo cha migogoro ardhi

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amesema kuwa migogoro mingi ya ardhi inachangiwa kwa kiasi kikubwa na watumishi wa umma wasiokuwa waaminifu kwenye nafasi zao, ...

Read More »

Kambaya ambana mbavu Jecha

BAADA ya kuonekana hajui utaratibu wa sheria, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha amebanwa na CUF aoneshe fomu ambayo Maalim Seif Shariff Hamad alijaza kuingia kugombea ...

Read More »

Kairuki atumbua jipu Chuo cha Utumishi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Angela Kairuki amewasimamisha kazi watumishi watendaji waandamizi watatu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) akiwemo Mtendaji Mkuu, ...

Read More »

CUF:  Kauli ya Jecha haiathiri msimamo wetu  

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema taarifa iliyotolewa jana na Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ya kutotambua uhalali wa kujitoa kwa baadhi ya wagombea ...

Read More »

Mkanganyiko CCM Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeingia tena katika mvutano na wanachama wake waliokabidhiwa vyeti vya ushindi wa uwakilishi na udiwani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, kwa kushikilia kuwa ...

Read More »

Haramu kwa haramu Z’bar

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inasaka wateja wa kushiriki uchaguzi wa tarehe 20 Machi mwaka huu ili kukivusha Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Haramu huende kwa haramu, ndivyo ...

Read More »

Yanga yaibonyeza tena Simba, warudi kileleni

HESHIMA imerudi mahali pake, baada ya Yanga kuituliza tena Simba kwa kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es ...

Read More »

Mshindo wa CUF Z’bar

KIMYA cha viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kina mshindo visiwani Zanzibar, hata hivyo chama hicho kinasema kinapambana na sera za kibabe za Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika ...

Read More »

CCM wapingana kuhusu utawala wa Magufuli

UTAWALA wa Rais John Magufuli umeibua mjadala kwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Rorya, Mara na hata kusababisha kuibuka makundi mawili, anaandika Moses Mseti. Kundi moja ...

Read More »

Museveni atangazwa kuwa Rais wa Uganda

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Dkt Badru Kiggundu amtangaza Rais Yoweri Museveni mshindi wa uchaguzi wa urais. 15:46 Kikao cha kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais kimeanza. Mwenyekiti ...

Read More »

Nape atumbua BMT, Malinzi amteua Kiganja

NAPE Nnauye, ambaye ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya kwa kutowajibika ipasavyo katika usimamizi ...

Read More »

Mashabiki wa Simba, Yanga waonywa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaonya mashabiki wa Simba na Yanga watakaohudhuria kwenye mechi itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kufuata sheria na taratibu za ...

Read More »

Wezi waitia hasara ya 720.5 Mil Tanesco

WIZI wa umeme unaofanywa na baadhi ya watu katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani umeitia hasara ya Sh. 720.5 milioni Shirika la Umeme nchini, anaandika Regina Mkonde. Akizungumza ...

Read More »

Prof. Mbarawa amteua Lomayani Le-kujan TAMESA

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano amemteua Mhandisi Manase Lomayani Le-kujan kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TAMESA) kuanzia tarehe 18 Februali mwaka ...

Read More »

‘Watakiwa kuandika makala za kilimo’

WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imetoa rai kwa waandishi wa habari wanaoandika makala za uzalishaji wa bidhaa za mifugo kuwasiliana na wataalamu bigwa wa mifugo waliopo wizarani ili kupata ...

Read More »

Wanavyuo ‘wamrudi’ Prof. Ndalichako

LICHA ya Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kusimamisha kazi wakurugenzi wanne wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB), wanavyuo nchini wamesema, hatua hiyo ...

Read More »

Marekani ‘yachemsha’ Ugiriki

SERIKALI ya Marekani bado haijaweza kugundua nani ndiye mhusika mkuu wa shambulio lililotokea mapema wiki hii nchini Uturuki katika Mji Mkuu wa Ankara, shambulio hilo liliua watu 28. Akilaani shambulio ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube