Monthly Archives: January 2016

Makunga mwenyekiti mpya TEF

MHARIRI Mtendaji wa Kampuni ya Jambo Concept, Theophil Makunga amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Anaandika Christina Cosmas, Morogoro … (endelea). Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo, ...

Read More »

Serikali yajiondoa ulipaji wa makocha

SERIKALI imesema haitaweza kumlipa kocha yoyote nchini na badala yake wataviwezesha vyama vya michezo kuwa na uwezo wa kulipa garama hizo. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Waziri wa Habari,Utamaduni, ...

Read More »

Wito kwa wapenda michezo kufungua vyuo

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa ametoa wito kwa wadau na wapenda michezo kote nchini kufungua shule za michezo ili kuweza kuibua vipaji mbali mbali kwa manufaa ya taifa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Meya wa Chadema kuanza na kero sugu Ilala

WIKI mbili tangu kuapishwa kwa madiwani wa Halmashauri za Jiji la Dar es Salaam, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko ameanza kazi kwa kutembelea Kata zote zilizopo ...

Read More »

Chadema wampa siku tatu Rais Magufuli

BARAZA la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kwa kushirikiana na Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu Chadema (Chaso) wametoa siku tatu kwa Rais John Magufuli kufuta agizo la Shirika la utangazaji ...

Read More »

Mgogoro huu ni hatari kwa usalama

WANAKIJIJI wa Kisana Kata ya Kyebetembo Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera wameiomba Serikali kuyakomesha mapigano yanayoendelea kati yao na Wanyarwanda wanao saidiwa na serikali wilayani mkoani humo. Anandika Faki Sosi … ...

Read More »

Soko la Dunia kuchangia kushuka kwa bei ya mafuta

MAMLAKA ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia kutaendelea kushusha bei ya mafuta nchini. Anaandika  Eunice Laurian…(endelea) Katika taarifa yake kwa umma, ...

Read More »

TBL yawatunuku wafanyakazi wake

KAMPUNI  ya  bia  ya TBL Group imewatunuku vyeti na zawadi wafanyakazi wake ambao wameitumikia kwa muda mrefu. Anaandika Aisha  Amran …(endelea)  Wafanyakazi walionufaika na  na zawadi hizo ni wanaofanya kazi katika viwanda vya Konyagi, Chibuku na Kampuni ...

Read More »

Chadema: Serikali ya Magufuli ni ya kidikteta

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekosa imani na serikali ya awamu ya tano kwa kuwa na matendo ya kidikteta na kwenda kinyume na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa ...

Read More »

Wananchi watakiwa kutoa taarifa za mafisadi

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini DPP, Biswalo Mganga amewataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi na upelelezi kwa kutoa taarifa za kweli juu ya watu ambao wanafanya makosa ya uhalifu wa kifedha. ...

Read More »

CUF: Hatushiriki Uchaguzi wa marudio Z’bar

BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi CUF lililokutana leo limetoa msimamo wake kuhusu tangazo la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha la kurudia Uchaguzi Machi ...

Read More »

Serikali yatoa taarifa ya kuzama kivuko cha Kilombero

SERIKALI imetoa taarifa juu ya kuzama kwa kivuko cha Mto Kilombero ambapo watu 30 wameokolewa kati ya 31 waliokuwemo katika hicho. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Licha ya kutoa ...

Read More »

Vikwazo kibao biashara Afrika Mashariki

SERIKALI imekiri kuwa, kufanya biashara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki bado kuna changamoto na vikwazo visivyo vya kiforodha ambavyo hujitokeza kwa wafanyabiashara. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo ...

Read More »

Ahadi za Kikwete zaitesa Bunge la 11

AHADI za Rais Jakaya Kikwete bado zinaendelea kulitesa bunge la 11 ambalo liko chini ya utawala wa Rais Dk John Magufuli na wabunge wanaendelea kuhoji utekelezaji wake. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Mbunge CCM akikaba Serikali yake

MBUNGE wa Busokelo, Fredy Mwakibete (CCM) ameitaka serikali kuona umuhimu wa kutengeneza barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu yenye urefu wa km 82 kwa kiwango cha lami kutokana na kuwa mbovu kwa muda ...

Read More »

Serikali kupima maeneo yenye migogoro

WIZARA ya Maliasili na Utalii na Wizara ya Ardhi imeandaa mpango wa kupima maeneo yote ambayo yana migogoro baina ya wananchi na hifadhi nchi nzima katika kipindi cha mwaka 2015/16. ...

Read More »

Halmashauri zaagizwa kujenda nyumba za watumishi

SERIKALI imeziagiza halmashauri kutumia mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri ...

Read More »

Serikali yatenga Sh. 1 trilion kusambaza maji

SERIKALI imesema imetenga kiasi cha sh 1 trilioni, kwa ajili ya kukarabati miradi ya maji katika miji 17 nchini ukiwemo mji wa Njombe na Makambako. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Hamburg yaisaidia Kinondoni mradi bil 3.5

MANISPAA ya Kinondoni kwa ushirikiano na Manispaa ya Jiji la Hamburg, nchini Ujerumani ziko katika hatua za mwisho za ujenzi wa mradi mkubwa kwa ajili ya kukusanya taka zinazooza na ...

Read More »

Benki ya Access yaburuzwa kortini

TAASISI ya Fedha ya Access Bank yenye anwani 95068, inatarajiwa kufikishwa mahakama ya usuluhishi Dar es Salaam kujibu tuhuma mbalimbali dhidi ya mfanyakazi wake. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Nyaraka ...

Read More »

Msimamo wa Ukawa, baada ya kutolewa na mbwa bungeni

VIONGOZI wa Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba (Ukawa), wakiongozana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), walieleza kwamba kamwe hawataacha serikali iendelee kupoka haki ya kikatiba ya wananchi, kwa ...

Read More »

FFU wawashushia kipigo Wabunge wa Ukawa

ASKARI polisi zaidi ya 40 wamevamia ukumbi wa bunge huku baadhi yao wakitembeza kichapo na kutoa maneno machafu kwa wabunge wa Ukawa. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hali hiyo ...

Read More »

Z’bar kudhibiti Dawa za Kulevya

OFISI ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, imeikabidhi Wizara ya Afya vifaa vya maabara vyenye uwezo wa kubaini dawa za kulevya. Anaandika Mwansihi Wetu … (endelea). Akikabidhi vifaa ...

Read More »

Mzozo wa TBC wavuruga Bunge

MWENYEKITI wa Bunge, Andrew Chenge leo ameahirisha bunge mara mbili kutokana na mvutano ulioibuka baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuomba bunge liahirishe kujadili hotuba ya rais na ...

Read More »

BBIO yatambulisha tuzo mpya

ASASI binafsi ya Broad Based Interest Organization (BBIO) inayoratibu mradi wa unaohamasisha na kuimarisha juhudi za utekelezaji mikakati ya maendeleo (AMAN), imetambulisha tuzo zinazolenga ujumbe na dhamira inayobebwa na kazi ...

Read More »

Albino wazindua stika maalum

TAASISI ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ‘Enterprises of Dar es Salaam-AED’ kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, leo jijini Dar es Salaam ...

Read More »

Lisu aichemsha serikali

SERIKALI imeshindwa kutoa majibu yanayoeleweka baada ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) kutaka kujua ni lini serikali itakamilisha ahadi yake kwa kupeleka madawati 708 yaliyotokana na chenji ya ...

Read More »

Serikali kuwapa mitaji wahitimu vyuo vikuu

SERIKALI imesema inaandaa mpango wa kuweza kuwapa mitaji wahitimu ambao wamemaliza vyuo vikuu ambao kwa sasa hawana ajira. Anaandika Danny Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na kuwapatia mitaji midogomidogo wahitimu ...

Read More »

Mbunge CCM ahoji utatuzi tatizo la maji

MBUNGE wa Viti Maalum, Azza Hamad (CCM) ameitaka serikali iweke wazi ni lini itatatua tatizo la maji katika maeneo mbalimbali nchini. Anaandika Danny Tibason, Dodoma … (endelea). Mbunge huyo amesema ...

Read More »

Heche aivaa serikali

IKIWA ni mara ya kwa Mbunge wa Tarime Vijini, John Heche (Chadema) kuhudhuria vikao vya bunge, ameanza kwa kuishambulia Serikali ya CCM kwa madai kwamba inatoa majibu ambayo hayana utafiti. ...

Read More »

Mbowe ahofia vurugu Zanzibar

MBUNGE wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ), Freeman Mbowe ameibana serikali leo na kutaka ieleze ni kwanini askari wa jeshi kutoka bara wanapelekwa Zanzibar ...

Read More »

CUF kuteka Z’bar kwa maandamano

VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani humo kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo licha ya Jeshi la ...

Read More »

Chadema yaishushia tuhuma CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani vitendo vya vurugu vinavyochochewa na viongozi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Kauli hiyo imetokana na kitendo ...

Read More »

Szubin: Rais Putini mla rushwa

RAIS wa Urusi, Vladmir Putini anatajwa kuwa miongoni mwa wala rushwa, kashfa hiyo inatolewa ikiwa ni siku chache baada ya rais huyo kuhusishwa na kifo cha jasusi wa zamani wa ...

Read More »

Maimu wa NIDA matatani

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu anachunguzwa utendaji wake baada ya kusimamishwa kazi rasmi kuanzia leo. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Maimu aliteuliwa kushika nafasi ...

Read More »

Magufuli amteua Mahadhi balozi Kuwait

MWANASHERIA na muandishi wa habari aliyeingia katika siasa miaka ya 2000, Mahadhi Juma Maalim, ametuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kuwait kuanzia leo. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Mahadhi ameteuliwa ...

Read More »

TBS yateketeza bidhaa za Marekani

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa mbalimbali zilizoingizwa nchini kutoka Marekani kwa ajili ya msaada katika Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Musoma kutokana na kutofaa kwa matumizi ya binadamu. ...

Read More »

Cheka atambia kambi ya Zambia

BONDIA Francis Cheka amerejea nchini kutoka Zambia alipoweka kambi na kutamba amemaliza kazi ya kuchakaza mpinzani wake, Geard Ajetovic raia wa Serbia katika pambano la Mabara uzito wa super middle ...

Read More »

Sheikh Khalifa awaweka sawa Waislam

WAISLAM nchini wametakiwa kutunza amani kwa kuendelea kufanya mambo mema na kuachaa mambo ambayo yatapelekea kuchochea vurugu katika jamii. Anaandika Aisha Amran…(endelea). Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam ...

Read More »

Othman: Shein akae pembeni, Jaji Mkuu aongoze

MWANASHERIA Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ametoa rai mpya ya kuondoa mkwamo wa kisiasa unaoikabili Zanzibar, akisema haiwezekani wananchi kuingizwa katika kinachoitwa “Uchaguzi wa marudio.” Anaandika Jabir ...

Read More »

Serikali yakiri kukaukiwa 

SERIKALI imekiri kukaukiwa kwa hazina yake hivyo kusababisha ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwanza kukwama. Anaandika Moses Mseti … (endelea). Katika upanuzi huo, serikalia ilihitajika kuchangia kiasi cha Sh. 85 Bilioni ...

Read More »

CUF wakutana kujadili kurudiwa uchaguzi Z’bar

CHAMA cha Wananchi CUF kinatarajia kimeitisha vikao vya juu vya kitaifa vya Chama ili kujadili marudio ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliotangazwa kurudiwa Machi 20, 2016 na Mwenyekiti wa Tume ...

Read More »

Mbunge CUF ataka rais awajibike

MBUNGE wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya CUF, Selemani Bungara ‘Bwege’ amesema Rais John Magufuli anatakiwa kuwajibika iwapo kutatokea machafuko visiwaniZanzibar kutokana na kurudiwa uchaguzi. Anandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Warioba akosoa mgogoro Z’bar kupuuzwa

WAZIRI mkuu wa zamani, Jajji Joseph Warioba amesema tatizo lililoko Zanzibar linapaswa kutatuliwa chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala sio kuachiwa vyama vinavyovutana. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Kamati Miss Tanzania yajiondoa kuandaaji mashindano

KAMATI ya Miss Tanzania imekataa uteuzi wa kuandaa, kuendesha na kusimamia mashindano ya mrembo wa taifa. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Msemaji ...

Read More »

Waziri Mbarawa atimua wanne Mwanza

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, amewasimamisha kazi watumishi wanne wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSC) mkoa wa Mwanza, kupisha uchunguzi kutokana na matumizi mabaya ya ...

Read More »

Tacaids yatoa tathmini ya mwitikio wa Ukimwi

TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) kwa kushirikiana na Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC) imetoa ripoti inayoonesha tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa Ukimwi nchini. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Wizi mpya wagundulika Bandari

MAMILIONI ya shilingi ya Mamlaka ya Bandari (TPA), yaliyohifadhiwa katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), yamenusurika kukwapuliwa na baadhi ya vigogo serikalini. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »

Simbachawene afanya ziara ya kushitukiza S/msingi

WAZIRI  wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene amefanya ziara ya kushutukiza katika shule ya msingi Dodoma Makulu katika manispaa ya Dodoma baada ya kubaini mkuu ...

Read More »

SSRA yazindua mfumo wa kielektroniki kupokea malalamiko

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imeanzisha utaratibu mpya wa kupokea na kushughulikia malalamiko ya wanachama kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya Habari na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube