Monthly Archives: December 2015

CUF: Hatutoshiriki sherehe za Mapinduzi

VIONGOZI wakuu wa Chama cha Wananchi (CUF) hawatashiriki shughuli za kiserikali zilizopangwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutokana na serikali iliyopo kutokuwa na ridhaa ...

Read More »

Bil 500 zahitajika kusambaza dawa nchi nzima

BOHARI Kuu ya Dawa nchini (MSD) imedai kuwa licha ya Serikali kuilalamikia kwamba hushindwa kupeleka dawa za kutosha katika vituo vya afya na hospitali za wilaya na mikoa, imedai kikwazo ...

Read More »

Walimu wamshika shati Rais Magufuli

CHAMA cha walimu wilayani Bahi mkoani Dodoma (CWT), kimemtaka Rais Dk, John Magufuli, kuhakikisha anasimamia madeni ya walimu wanayoyadai kwa kipindi kirefu ili waweze kulipwa katika awamu hii ya tano ...

Read More »

Seif rais Zanzibar, maandalizi ya kutangazwa yaiva

USHINDI wa Maalim Seif Shariff Hamad katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, ungali salama. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). MAWIO limeelezwa kuwa ushindi huo utadhihirishwa kabla ya Zanzibar ...

Read More »

Chadema yabaini rafu za CCM uchaguzi wa Meya Ilala, Kinondoni.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimebaini njama zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na viongozi wa serikali za kutaka kuharibu uchaguzi wa Mameya na uapishwaji wa madiwani wa ...

Read More »

Serikali wasilikiza mapendekezo ya walemavu

SERIKALI ya Tanzania imeendelea kusikiliza changamoto na mapendekezo ya makundi mbalimbali ya walemavu kwa lengo la kutekeleza mahitaji maalum kwa kila kundi. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Mapendekezo hayo yamepokelewa ...

Read More »

Nyumba 100 zawekwa X Jangwani, vurugu zatawala

ZOEZI la uwekaji alama nyekundu katika zaidi ya nyumba 100 zinazotakiwa kubomolewa kwenye bonde la Mto Msimbazi, Jangwani limemalizika chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya vurugu za wananchi ...

Read More »

Simbachawene atimua maofisa biashara Dodoma

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene amewasimamisha kazi Maofisa Biashara wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kosa la urasimu katika utoaji wa leseni za biashara. Anaandika Dany ...

Read More »

Serikali watangaza kiama kwa waajiri

SERIKALI  imetangaza kiama kwa waajiri wote nchini ambao watakuwa kikwazo katika uanzishwaji wa vyama vya wafanyakazi katika sehemu za kazi. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na kutangaza kiama, ...

Read More »

Elimu bure kutumia Sh. 18.7 bil kwa mwezi

SERIKALI imepanga kupeleka Sh. 18.77 bilioni kila mwezi katika shule za sekondari na msingi kwa ajili ya kugharamia elimu ili kutekeleza dhana ya elimu bure kuanzia Januari, 2016. Anaandika Dany ...

Read More »

Wananchi waivimbia serikali

WANANCHI wanaotumia usafiri wa daladala jijini Dar es Salaam, wamepinga kauli ya serikali inayopiga marufuku abiria kusimama kwenye daladala ifikapo tarehe Mosi Januari, 2016. Anaandika Faki Sosi … (endelea) Wakizungumza ...

Read More »

Serikali kukagua vibali vya ajira kwa wageni

MUDA wowote kuanzia sasa serikali imepanga kuanza ukaguzi wa vibali vya ajira za wageni nchini. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Uamuzi huo unatokana na kuisha kwa muda wa siku 14 ...

Read More »

Sadaka ya Mkesha wa Mwaka Mpya kuweka umeme Tabora

KANISA la ‘Tanzania Fellowship of Churches’ ambao ndio waandaaji wa mkesha mkubwa kitaifa wa mwaka mpya wa 2016 limeeleza kuwa fedha zitakazotokana na sadaka za siku hiyo zitaelekezwa kusaidia upatikanaji ...

Read More »

Zito Kabwe, kutoka uzalendo hadi usaka tonge

ZITTO Zuberi Kabwe, kiongozi mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, ni ndumilakuwili. Ni kigeugeu. Haaminiki. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Anataka kupanda farasi wawili kwa wakati mmoja; lakini kwa barabara ...

Read More »

Wakurugenzi Jiji la Mwanza kukiona cha moto

SERIKALI mkoani Mwanza imewapa wiki moja wakurugenzi wa halmashauli ya Jiji la Mwanza na manispaa ya Ilemela mkoani hapa kuhakikisha wanakarabati na kujenga barabara ambazo ni sugu na mbovu. Anaandika ...

Read More »

Yanga yamtimua Niyonzima, kumdai fidia

YANGA SC imevunja Mkataba na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima kutokana na mchezaji huyo wa Amavubi kukiuka vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo. Anaandika Erasto Masalu … ...

Read More »

CCM yapata pigo Mpwapwa

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya kufariki diwani wa chama hicho, Dk. Dustan Dalogo diwani kata ya Ng’ambi wilaya Mpwapwa, Dodoma. Anandika Dany Tibason, Mpwapwa … (endelea). Akizungumzia kifo ...

Read More »

Baa la njaa Mpwapwa, wananchi wala pumba

WAKAZI wa mkoa wa  Dodoma hususani wilaya ya Mpwapwa wanakabiliwa na njaa hadi kufikia hatua ya wakazi hao kula pumba, ubuyu na matunda ya porini huku serikali ikichelewa kupeleka chakula ...

Read More »

JKT wachafuliwa kupitia mavazi yao

JESHI la Polisi wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma linamshikilia mtu mmoja ambaye alikutwa amevaa sare za jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kijana huyo ambaye jina ...

Read More »

Katibu mkuu Bakwata Taifa amkana Kitundu

KATIBU  mkuu wa Bakwata Taifa, Seleman Lolila amemkana Meneja wa shule za El-Hijra, Mashaka Kitundu, kwamba hausiki kwa jambo lolote la kumkingia kifua pale anapolalamikiwa na wafanyakazi. Anaandika Dany Tibasom, ...

Read More »

Majipu yasababisha Rais Magufuli aongezewa ulinzi

MAASKOFU Mkoani Dodoma wamewaomba Watanzania kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli kwa lengo la kumuongezea ulinzi ili aendelee kuisafisha nchi ambayo iligubikwa na harufu ya ...

Read More »

Siri ya Polisi waliouana yabainika

SIRI ya askari polisi wawili waliofariki jijini hapa imefahamika baada ya kudaiwa kuwa wawili hao walikuwa wanakopeshana fedha za mishahara na posho zao za kila miezi miwili. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Magufuli amsafisha Injinia Masauni

YULE mwanasiasa ambaye mwaka 2010 alinyang’anywa uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa kutuhumiwa kugushi umri, ndiye Naibu Waziri mpya wa Mambo ya Ndani. Anaandika Jabir Idrissa … ...

Read More »

Polisi wa Mafia tuhumani

POLISI Wilaya ya Mafia inatuhumiwa kumpiga na kumtesa kijana mwendesha pikipiki (bodaboda) na kumnyima fomu ya kupatia matibabu (PF3) hospitalini na hivyo kuendelea kuishi na maumivu. Anaandika Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Watumishi shule za Bakwata Dom, wamlilia Mufti

WATUMISHI na walimu wa shule ya sekondari ya Hijra pamoja na sekondari ya Jamhuri  ambazo zinamilikiwa na Baraza Kuu la Waislam (Bakwata) wamemuomba Mufti wa Tanzania, Shekhe Abuobakari Zuberi kumsimamisha ...

Read More »

Kusimamisha bomoabomoa ni ‘danganya toto’

WAHANGA wa sakata la bomoabomoa lililoanza wiki iliyopita katika bonde la Mto Msimbazi, Kinondoni Mkwajuni wamesema agizo la kusimamisha zoezi la ubomoaji huo hadi Januari hautasaidia lolote. Anaandika Hamisi Mguta … ...

Read More »

Rais Magufuli apitisha fagio RAHCO, TRL

RAIS John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Hodhi ya Rasilimali ya Reli Tanzania (RAHCO), Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatiwa ukiukwaji mkubwa wa taratibu ...

Read More »

Kova: Krismasi, Mwaka mpya Disko toto marufuku

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amepiga marufuku disko toto na milipuko ya baruti katika kusherehekea sikukuu za krismass na mwaka mpya. Anaandika Hamisi Mguta ...

Read More »

Wawili wakamatwa na meno ya Tembo

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata watuhumiwa wawili waliokutwa na meno ya Tembo 156. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na wanahabari Kamanda wa Kanda Maalumu ...

Read More »

‘Magufuli hajatekeleza ahadi’

AHADI ya Rais John Magafuli kutangaza maeneo kwa ajili ya wafanyabiashara wadogowadogo, bado haijatekelezwa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Ahadi ya Rais Magufuli ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar ...

Read More »

Prof. Muhongo aibua madudu Tanesco

WAZIRI wa Nishati na Madini, Professa Sospeter Muhongo, ameibua madudu makubwa katika Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Mwanza baada ya kubaini kuwepo kwa mitambo mibovu mitatu yenye uwezo ...

Read More »

Mbunge, Diwani na Wenyeviti wapinga bomoa bomoa Dar

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia, Diwani wa Kata ya Hananasifu pamoja na wenyeviti wa kata 13 zilizopo Kinondoni wamekwenda kwa mkuu wa Mkoa Meck Sadiki ili kuomba zoezi ...

Read More »

Chadema wamavaa Magufuli uchaguzi wa meya

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Rais John Magufuli kutumbua majipu yaliyopo ofisini kwake kutokana na watumishi wa serikali kutumika kuvuruga chaguzi za mameya kwenye miji mbalimbali nchini. Anaandika Faki ...

Read More »

Makontena ya vifaa vya walemavu hatarini kuuzwa

TAASISI isiyokuwa ya kiserikali ya (Unity in Diversity Foundation) inayojishugulisha na huduma za kijamii za kugawa misaada ya walemavu imeiomba serikali kuondoa kodi kwenye bidhaa hizo. Anaandika Michael Sarungi … ...

Read More »

Magufuli amwita Maalim Seif Ikulu

MAALIM Seif Shariff Hamad ambaye anapigania haki yake ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar baada ya uchaguzi huo kufutwa kihujuma, amekutana na Rais John Magufuli leo Ikulu jijini ...

Read More »

Blatter, Platini watupwa jela miaka nane

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa) limewafungia kutojihusisha na na mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka nane, aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo, Sepp Blatter ...

Read More »

Bakwata Dodoma watangaza nafasi zinazogombaniwa

BARAZA Kuu la Waislamu (BAKWATA), Mkoa wa Dodoma limewataka waislamu kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Baraza hilo. Anandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Akizungumza na Waandishi wa Habari, ...

Read More »

Jenister ataka wafanyakazi wote wawe na mikataba

WAZIRI wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenister Mhagama leo ametembelea ofisi za kazi mkoani hapa ili kuona utendaji wa ofisi hiyo. Anandika Dany Tibason, ...

Read More »

Taasisi ya Kiislam yafikia lengo uchangiaji damu

JUMUIYA ya Alhalaki Islam (JAI) imefanikisha zoezi la uchangiaji damu leo kwenye Hospitali ya Wilaya ya Temeke na Mbagala Zakiem Jijini Dar es Salaam ambapo zaidi ya lita 130 zimepatikana, ...

Read More »

Uchaguzi wa Meya Dodoma, Chadema, CCM nusura wazichapa kavukavu

UCHAGUZI wa kuwachagua Meya na Naibu Meya katika Manispaa ya Dodoma jana uligubikwa na vurugu baada ya wanaodaiwa kuwa makada wa chama cha Mapinduzi na wale wa Chadema kutaka kuzichapa ...

Read More »

Lissu awagalagaza wapinzani wake

JAJI wa mahakama kuu ya Dodoma jaji Seheni, ametupilia mbali maombi ya Jonathan Njau  (CCM) ya kutaka apunguziwe gharama ya uendeshaji wa keshi ya kupinga uchaguzi nafasi ya ubunge dhidi ...

Read More »

Mourinho atimuliwa Chelsea

KOCHA Mkuu wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo baada ya kupata msururu wa matokeo mabaya. Anaandika Erasto Masalu … (endelea). Chelsea walishinda Ligi ya Premia ...

Read More »

Kubenea: Ili tufanikiwe tuweke pembeni itikadi zetu

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amefanya ziara katika Kata ya Makurumla iliyoko jimboni kwake na kutembelea masokoni, Zahanati na shuleni. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Katika ziara hiyo aliwaomba viongozi ...

Read More »

Bomoabomoa yaingia Bonde la Msimbazi

UVUNJAJI makazi ya wananchi au bomoabomoa katika Mkoa wa Dar es Salaam leo umeingia rasmi maeneo ya watu fukara kwenye Bonde la Msimbazi na kuzusha kilio na malalamiko na shutuma ...

Read More »

Magufuli amtimua kazi Hoseah TAKUKURU

RAIA wa Tanzania, John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kutokana kutoridhishwa na utendaji wa taasisi chini ...

Read More »

Waziri wa Afya atoa mwarobaini wa kipindupindu

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa, wilaya na kata kuhakikisha wanakuwa na kikosi kazi cha kupambana na kipindupindu na kutoa ...

Read More »

Wafugaji watoa tamko zito kwa serikali

JUMLA ya Asasi 45  zinazofanya kazi na wafugaji wa asili kuhusu migogoro ya ardhi Tanzania, wamelaani na kutoa tamko la kuitaka serikali kuwawajibisha watumishi wote wa serikali na baadhi ya ...

Read More »

TAA wawakomalia wahasibu

CHAMA cha Wahasibu Tanzania (TAA) kimetishia kuwaondoa wahasibu waliokuwepo kwenye daftari la chama hiko endapo watakiuka taratibu na maadili ya kazi kulingana na matakwa ya chama hicho ikiwemo ya rushwa, ...

Read More »

Cosota yawataka wachoraji kupanua soko

CHAMA cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), kimetoa rai kwa wasaniii wa sanaa za uchoraji kupanua soko la sanaa kwa kutafuta mikataba ya kimataifa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Mbunge wa Ubungo mbaroni kwa amri ya Makonda

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Tukio ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube