Monthly Archives: November 2015

Usalama wa Taifa wawadhalilisha wapambe wa wabunge

WAPAMBE wa Wabunge na Wabunge ambao walikuwa wakiapishwa mjini Dodoma katika Bunge la 11 wameulalamikia utaratibu mbovu uliowekwa na Bunge kwa kuwazuia baadhi ya wapambe wao kutoingia ndani ya ukumbi ...

Read More »

Mashine ya CT-Scan Bugando yaharibika

MASHINE ya CT-Scan katika hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) imeharibika na kusababisha wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kukosa huduma. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Hivi karibuni Rais John Magufuli, alifanya ...

Read More »

Chaguzi ndogo, Madiwani viti maalumu hadharani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi 1393 za vita maalum za madiwani kati ya nafasi 1407 za nafasi hiyo ambapo nafasi 15 hazijatangazwa kutokana na kuwa majimbo nane ...

Read More »

Ndugai Spika Bunge la 11, Mwakyembe atajwa Uwaziri Mkuu

WAKATI Bunge la 11 likiwa limekwishapata Spika, Job Ndugai, jina la Dk. Harrison Mwakyembe limeendelea kupewa nafasi ya kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano inayotarajiwa kutangazwa hivi ...

Read More »

Trafiki 78 watimulia kwa utovu wa nidhamu

ASKARI 78 wa usalama barabarani Mkoa wa Mwanza, wameondolewa katika nafasi zao na kupangiwa kazi nyingine katika vitengo mbalimbali kutokana na utovu wa nidhamu. Anaandika Moses mseti, Mwanza … (endelea). ...

Read More »

Mbaroni kwa kughushi majina ya CCM, M4C

WATU watatu wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa kwa makosa manne ya kutumia vibaya mtandao ili kujipatia fedha isivyo halali huku wakitumia jina la Chama cha Mapinduzi (CCM) na Movement For Change. Anaandika ...

Read More »

Urusi: Ndege iliyoanguka Misri ililipuliwa

URUSI imethibitisha kuwa ajali ya ndege ya Metrojet iliyoanguka na kuua watu zaidi ya 200 katika rasi ya Sinai nchini Misri mwezi uliopita ilikuwashambulizi la kigaidi. Mkuu wa idara ya ...

Read More »

Wakulima watakiwa kuwa makini na pembejeo

SERIKALI imewataka wakulima kuwa makini na ubora wa mbolea za mazao yao na kuhakikisha wanatumia ruzuku za pembejeo kwa kutumia vocha kwa lengo husika kuhakikisha wanafikisha ubora mzuri wa mazao ...

Read More »

Wachimbaji waliofukwa mgodini wapatikana

WACHIMBAJI wadogo wa madini waliopotea kwa kufunikwa na kifusi kwenye mgodi wa Nyangarata, Kahama mkoani Shinyanga, Oktoba 5 mwaka wamepatikana, watano wakiwa hai na mmoja akiwa amefariki. Anaandika Faki Sosi ...

Read More »

Ndugai apita bila kupingwa Uspika CCM

KAMATI ya Bunge ya Chama cha Mapinduzi (CCM) limempitisha bila kupingwa mgombea wa Uspika, Job Ndugai kugombea nafasi hiyo katika Bunge la 11, baada ya wagombea wenzake kujitoa. Anaandika Dany ...

Read More »

Samwel Sitta akatwa Uspika

MKONGWE wa siasa ambaye aliyekuwa Spika wa bunge la tisa, Samuel Sitta ambaye alikuwa wakiwania nafasi ya uspika katika Bunge la 11, Kamati Kuu ya (CCM) imelikata rasmi jina lake ...

Read More »

Marehemu Mawazo apigwa mabomu Bugando

HALI isiyokuwa ya kawaida Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limekiuka sheria na kuanza kupiga mabomu ya macho katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), kuwatawanya wafuasi wa Chadema. Anaandika ...

Read More »

Makinda amwogopa Magufuli

WAKATI akitafutwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wengi wamejitokeza kutaka kiti hiko huku Anne Makinda ambaye alidhaniwa kuwa jina lake litakuwa miongozi mwa mwao ...

Read More »

Ukawa utatoa mgombea Uspika makini

MBUNGE mteule wa jimbo la Hai na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe (Chadema) amesema mchakato wa kumpata spika wa Bunge unaendelea ndani ya umoja ...

Read More »

Mavunde kuanza na ardhi na fidia

MBUNGE mteule wa Dodoma Mjini Antony Mavunde (CCM) amesema pindi atakapoapishwa kuwa mbuge jambo la kwanza ni kushughulikia matatizo ya migogoro ya ardhi. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na ...

Read More »

Prof. Jay aanza kuwapigia debe wasanii

MBUNGE mteule wa Mikumi kupita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule aka Profesa Jay, amemtaka Rais John Magufuli kumteua msanii mmoja kuwa mbunge katika nafasi zake 10, ili ...

Read More »

Watanzania kujifunza tamaduni za kichina

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa amewataka Watanzania kujifunza lugha ya kichina na utamaduni wake ili kukabiliana na fursa za kiuchumi za taifa hilo lililoendelea kiuchumi duniani. Anaandika Dany ...

Read More »

Mama na Baba Lishe waanzisha Saccos

JUMUIYA ya Mama lishe na baba lishe Mkoa wa Dar es Salaam, wameanzisha ‘Mama na Baba Lishe Saccos’ kwa lengo la kutafuta ufumbuzi na kujitatulia mahitaji mbalimbali ya kimaendeleo. Anaandjika ...

Read More »

Subira yachosha Z’bar

MWENENDO wa mambo kuhusu mgogoro wa uchaguzi ulioibuka Zanzibar unazidi kukatisha tamaa wananchi hasa kwa kuhofia ukimya kutawala badala ya hatua za wazi za utatuzi. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Polisi na Mahakama Kilwa watesa wafuasi wa UKAWA

VIJANA watano wafuasi wa UKAWA wilayani Kilwa kwa wiki tatu sasa wanasota mahabusu kwa sababu ya kunyimwa dhamana kutokana na tuhuma za kufanya kosa la uporaji kwa kutumia silaha. Anaandika ...

Read More »

Operesheni ‘Okoa Tembo Tanzania’ yazinduliwa Dar

WANAHARAKATI wa Okoa Tembo wa Tanzania wameitaka serikali kuwakamata na kuwashitaki wafanyabiashara wakubwa wa biashara ya meno ya tembo nchini ili kuokua maisha ya viumbe hao wanaonekana kupungua kwa kasi ...

Read More »

Makonda azindua ‘Sukuma Twende’ Kinondoni

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile leo wamezindua mfumo mpya wa utoaji taarifa ya uzembe unaofanyika katika sekta muhimu zilizopo wilayani humo. ...

Read More »

Taswira ya Dodoma kuelekea Bunge la 11

WAKATI wabunge wateule wakitarajiwa kuwasili mjini Dodoma, mandalizi ya kuwapokea yanaendelea ambapo leo utaanza rasmi utaratibu wa usajili kwa wabunge hao. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na usajili ...

Read More »

Uhaba wa damu waikumba hospitali Dodoma

BAADHI waganga katika hospitali za wilaya mkoani Dodoma, wamelalamikia ukosefu wa damu salama katika hospitali zao, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mmoja ...

Read More »

Gharama za maji zapanda Mwanza

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MWAUWASA) Mkoa wa Mwanza imeongeza bei ya maji kutokana na kupanda kwa gharama ya manunuzi ya mita za maji kuongezeka kufikia Sh. ...

Read More »

Mbunge Anatropia wa Segerea afunguka

MBUNGE wa Viti Maluum (Chadema), kupitia mkoa wa kichama wa Ilala, Anatropia Theonest, amefunguka na kuliambia gazeti la mwanahalisionline kwamba yeye ni ‘jembe’ la uhakika ndani na nje ya Chadema, ...

Read More »

CCM mnahofia nini – Maalim Seif

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa anayepigania haki ya kuongoza Zanzibar baada ya kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa Oktoba 25, amesema hakuna sababu ya viongozi wa CCM kumhofia. Anaandika Jabir ...

Read More »

Wakubwa waendeleza majadiliano Z’bar

VIONGOZI wakuu wa kisiasa Zanzibar wameendelea kukutana kwa faragha katika jitihada za mwisho za kuokoa mvurugiko wa amani kutokana na hatua ya kufuta uchaguzi mzima wa Oktoba 25. Anaandika Jabir ...

Read More »

Polisi waendelea kumchunguza mfuasi wa Chadema

JESHI la Polisi Jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Idara ya ya Uhamiaji inaendelea kumchunguza mtu aliyekamatwa na hati za uraia wa nchi mbili, anayedaiwa kuwa mwanaharakati wa siasa ...

Read More »

Zitto ampa ushauri mgumu Rais Magufuli

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemtaka Rais John Magufuli kuhakikisha matokeo ya visiwani Zanzibar yanatangazwa haraka ili kulinda amani ya nchi. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). ACT-Wazalendo wametoa ...

Read More »

Rais Magufuli umesikia hospitali ya Mwanza

HOSPITALI ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure, inakabiliwa na changamoto ya vifaa pamoja na mtaalamu wa tiba ya mfupa kitendo kinachosababisha wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kukosa huduma. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Nguvu ya mtazamo chanya hubadilisha maisha

ILIKUWA ni mshangao kwa wazazi wangu waliposikia kuwa watazaa mtoto asiyekuwa na mikono, Nick Vujicic anasema. “Nilipozaliwa madaktari waliponiona walisema tunasikitika kuwa hatuna chakusema ni nini kimetokea, haya ni maajabu.’’ ...

Read More »

Rais Magufuli atakiwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ametakiwa kuendeleza juhudi zake za kupambana na wazembe kazini na hali hiyo isiwe nguvu ya soda. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Dodoma wahaha kupata maji

WANANCHI wa mji wa Dodoma wameonja joto ya jiwe kwa kukosa maji kwa siku mbili mfululizo huku wakihofia tatizo hilo linaweza kuwasababishia kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu ambao kwa sasa ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif wateta

WANASIASA wawili wanaogombania kutwaa urais katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 25, walikutana mjini hapa jana na kuamsha upya “imani” miongoni mwa wananchi kwa vile huo ni mkutano wa ...

Read More »

CUF wazidi kuikomalia ZEC kuhusu uchaguzi

WAJUMBE wa Baraza la wawakilishi wa Zanziba kupitia Chama cha Wananchi (CUF), wameitaka tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kutengua tamko la mwenyekiti wa tume hiyo. Anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

Joseph Haule: Ubunge hautaniondoa kwenye muziki

MSANII mkongwe wa muziki wa Bongo fleva nchini Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay ameiambia Mwanahalisi online kuwa hataacha muziki kamwe kwani ni kipaji alichopewa na Mungu. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Ulaya, Marekani zapinga sheria ya mitandao Tanzania

MABALOZI wa Umoja wa Nchi za Ulaya na Marekani wamepinga sheria ya mitandao ya mwaka 2015 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai kuwa hazizingatii haki za msingi za ...

Read More »

Magufuli amtembelea Mkurugenzi LHRC

RAIS wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Awali Rais ...

Read More »

TP Mazembe mabingwa Afrika, Samata atwaa kiatu cha dhahabu

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefunga bao moja na kuseti moja, TP Mazembe ikitimiza dhamira ya kutwaa ubingwa wa Afrika baada ya kuifunga 2-0 USM Alger ya ...

Read More »

Magufuli akikosea kwa Waziri Mkuu, amechemsha

BAADHI ya viongozi wa dini na jamii kwa ujumla wamemtaka Rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli kuhakikisha anampata Waziri Mkuu mchapa kazi na si vinginevyo. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Wafugaji kuanza kunufaika na mifugo yao

KATIKA kuhakikisha kwamba wafugaji wa Tanzania wanaanza kunufaika na shughuli zao, jopo la wataalamu kutoka Taasisi ya Uchunguzi wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wamekutana mkoani hapa kwa siku tatu kwa ajili ...

Read More »

Dodoma washauriwa kuachana na mahindi

WAKULIMA wa mkoani Dodoma wameshauriwa kuacha kulima zao la mahindi na badala yake walime mazao mengine yanayoendana na hali ya hewa ya kanda ya kati. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Mimi ndiye rais wenu – Maalim Seif

KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad amewaasa wananchi wa Unguja na Pemba kutambua kuwa chama hicho ndicho kilichopata ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 na wasihadaike na ...

Read More »

Waandamana wakihofia kipindupindu

WANANCHI wa Mtaa wa Mkuyuni Sokoni, kata ya Mkuyuni Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, wameandamana na kufunga mtaa huo, wakiishinikiza serikali kuondoa dampo la taka wakihofia ugongwa wa milipuko wa ...

Read More »

Julius Kalanga, mfalme mpya wa Monduli

Jimbo la Monduli, Arusha lenye historia ndefu ya kisiasa kufuatia kuwahi kuongozwa na mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao ni hayati Moringe Sokoine na Edward Lowassa sasa lipo chini ya Julius ...

Read More »

Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar

UGONJWA wa kipindupindu wazidi kuwa tishio Jijini Dar es Salaam hadi kufikia leo kuna jumla ya wagojwa 4076 na vifo 53 katika Wilaya zote tatu. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Katika ...

Read More »

Polisi wamwekea ngumu Lowassa

JESHI la Polisi Makao Makuu limepiga marufuku maandamano au mikutano ya hadhara yoyote kufanyika katika kipindi hiki. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Hatua hiyo imekuja baada ya Chama Cha Demokrasia ...

Read More »

Polisi wang’ang’ania vifaa vya LHRC

JESHI la Molisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeendelea kupiga danadana kesi inayoikabili Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kilichopo Mbezi Beach. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Mchakato wa wabunge viti maalum waiva

TUME ya taifa ya uchaguzi imesema kuwa ndani ya siku tatu kuanzia leo itaweka hadharani majina ya wabunge wa viti maalum na kila chama kitafahamu idadi ya wabunge kiliopata. Anaandika ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube