Monthly Archives: November 2015

Wanasheria wakemea udhalilishaji wa wafanyakazi

BAADHI ya wanasheria mkoani Dodoma wamepinga vikali vitendo ambavyo vinafanywa na baadhi ya watumishi wa serikali kwa kuwaweka wenzao ndani au kuwapiga. Anaandika Dany Tibason, Dodoma …. (endelea) Wanasheria hao wamelazimika ...

Read More »

Dk. Mwinjaka kutumbua jipu TRL

KUKOSEKANA kwa nyongeza ya mishaha, makato yao kutopelekwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na kukosekana kwa mkataba wa hali bora, kumechochea mgogoro kati ya wafanyakazi wa Kampuni Reli ...

Read More »

Wizara Nishati yasikia kilo cha wachimbaji wadogo

WIZARA ya Nishati na Madini Tanzania inadhamiria kusaidia wachimbaji wadogo wa madini kwa kuwatengea hekali 197,432 na Dola za Marekan 3.4 milioni kama ruzuku. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Kauli ...

Read More »

Utamwa, Fungamtama uso kwa uso na Kafulila

KESI ya matokeo ya ubunge katika Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na David Kafulila, inamkutanisha uso kwa uso na Jaji John Utamwa lakini pia wakili Kennedy Fungamtama. Anaandika Charles William ...

Read More »

NHIF yazindua huduma mpya ya TIKA

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo umezindua mfuko wa afya ya jamii ambapo wananchi watapata fursa ya kuchangia huduma za matibabu kwa hiari kwa njia ya kadi ...

Read More »

Sheikh Ponda huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro imemwacha huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). ...

Read More »

Lowassa awapa masharti magumu polisi

ALIYEKUWA mgombea Urais wa Chadema, Edward lowassa, amelitaka jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wale wote wanadaiwa kumuua, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na kwamba ...

Read More »

Jaffo ataka Magufuli aungwe mkono

MBUNGE wa jimbo la kisarawe Selemani Jaffo (CCM) amesema kasi ya rais John Magufuli inatakiwa kuungwa mkono na yoyote atakaye kwamisha spidi hiyo achukuliwe hatua. Anaandika Dany Tibason, Dodoma …. (endelea). ...

Read More »

Msama ahudumia vituo 10

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion, Allex Msama leo ametoa msaada wa Sh. 7,000,000 katika vituo 10 vya kulelea watoto yatima vilivyopo jijini Dar es Salaam. Anaandika Sarafina Lidwino… ...

Read More »

Ufisadi watafuna watano TRA

MAOFISA watano waandamizi kwenye Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamesimamishwa kazi na italazimu kushitakiwa iwapo itathibitika wametumia vibaya madaraka na kusababisha serikali kukosa mapato ya zaidi ya Sh. bilioni 80 ...

Read More »

Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni Ufisadi

MBUNGE wa  Ubungo, Saed Kubenea, amesema anatarajia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kuzuia kuhamishwa kituo cha mabasi yaendayo mikoani (UBT). Kwani kwa kuhamisha kituo hicho ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi, ...

Read More »

Chuo cha Kiislam chachomwa moto

Chuo cha elimu ya dini ya kiislam kwa acha Mus’ab kilichopo Manzese kinadaiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana. Anaandika Josephat Isango … (endelelea). Akizungumza mbele ya Mbunge wa Jimbo la ...

Read More »

Kubenea aibua Ufisadi Manispaa ya Kinondoni

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea ameibua ufisadi wa Shilingi bil. 1.2 kwa mwaka katika Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam unaofanywa kupitia ufuaji wa majoho ya madiwani. ...

Read More »

Wabunge watakiwa kuweka maslahi ya Taifa mbele

CHAMA cha Wakulima Tanzania (AFP) kimewataka wabunge wanapokuwa bungeni waweke maslahi ya taifa mbele badala ya kupigania vyama vyao. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Afisa Mahusiano wa chama hicho, Peter ...

Read More »

Wizara ya elimu waja na mwarobaini wa ajira

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania imeandaa mkakati wa kitaifa wa maendeleo ya stadi za kazi kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa ajira kwa vijana. Anaadika Hamisi Mguta ...

Read More »

Mpambe wa Lowassa aenguliwa UDOM

BALOZI Dk. Agustine Mahiga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutokana na aliyekuwa ameshika nafasi hiyo Balozi Juma Mwapachu kumaliza muda wake. Anaandika Dany ...

Read More »

Waliopata mimba za utotoni kurudi shuleni

SERIKALI ya Tanzania imeandaa mikakati ya kuwarudisha mashuleni wanafunzi wa kike walioathilika kwa kupewa mimba za utotoni na kuwachukulia hatua wote wanaojihusisha na kufanya ukatili wa kijinsia kwa wasichana hao. ...

Read More »

Serikali yajipanga kudhibiti kemikali

SERIKALI imeandaa mkakati wa udhibiti wa kuingia kemikali hatari zenye madhara kwa afya ya binadamu kwenye maeneo ya bandari. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli ...

Read More »

Maaskofu, Masheikh wampa neno Rais Magufuli

RAIS mpya wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameambiwa kama ni kweli amenuia kukomesha biashara ya madawa ya kulevya nchini, basi awashughulikie wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza bidhaa hiyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

Mbunge Bashungwa aanza kazi Karagwe

INNOCENT Lugha Bashungwa (37), aliyeshinda ubunge katika Jimbo la Uchaguzi la Karagwe, Mkoani Kagera, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hatimaye amekula kiapo cha ubunge mjini Dodoma, mnamo 17 ...

Read More »

TEHAMA kutumika kuendesha vikao

SERIKALI kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais imesema haitagharamia gharama zozote za kuendesha vikao kazi na watendaji wake kuanzia sasa, badala yake vikao hivyo vitaendeshwa kwa kutumia ...

Read More »

Uchafu kikwazo kwenye vivuko nchini

WAKALA wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) wameeleza changamoto mbalimbali inazovikabili vivuko nchini kuwa ni uchafu uliopo kwenye injini hivyo kusababisha mitambo kukwama, Anaandika Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa ...

Read More »

Maamuzi kesi ya Mawazo kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, jana ilishindwa kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita, Marehemu ...

Read More »

CHAVITA waishushia tuhuma NEC

CHAMA cha watu wenye ulemavu wa kusikia nchini (Chavita) kimelalamikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutowaandalia mazingira mazuri wakati wa kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu uliofanayika Oktoba 25 mwaka ...

Read More »

Waziri Mkuu apiga mkwara watumishi

WAZIRU Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kasim amewataka watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) kufanya kazi kwa weledi ili kushughulikia matatizo yote yaliyotajwa ...

Read More »

CDA yakopa Bil 3.4 kulipa fidia

MAMLAKA ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA), imelazimika kukopa jumla ya Sh. 3.4 bilioni kutoka katika taasisi za kifedha kwa lengo la kulipa fidia wananchi 5500 wa eneo la Mkonze na ...

Read More »

Dk. Kashililah amuumbua mbunge wa Singida

KATIBU wa Bunge Dk.Thomas Kashilillah amesema kuwa, hadi sasa hajapokea barua ya mbunge yeyote ya kukataa kupokea posho za vikao vya Bunge (Sitting alowances). Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Lowassa aibua makubwa Kahama

WAZIRI mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amezua taharuki mjini Kahama, baada ya maelfu ya wananchi kujitokeza kumlaki. Anaandika Alli Litya, Kahama … (endelea). “Mara baada ya kufika katika hospitali ya Kahama, ...

Read More »

Kubenea kuboresha kituo cha Afya Palestina

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amewahurumia akina mama wanaolazwa kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya Sinza Palestina baada ya kufika kujionea hali ya hospitali hiyo na kubaini uwepo ...

Read More »

Kubenea ataka waliotoa vibali maeneo ya wazi wawajibishwe

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ameitaka serikali kutowaacha wahusika waliotoa vibali vya ujenzi katika maeneo ya wazi na yale yasiyoruhusiwa ambayo sasa waliojenga wanaathirika na bomoabomoa. Anaandika Josephat Isango ...

Read More »

Sefue: Mchakato wa vitanda haukuanzia bungeni

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema mchakato wa kununuliwa vitanda katika hospitali ya Taofa ya Muhimbili, haukuanza mara baada ya kauli ya Rais John Magufuli. Anaandika Hamisi Mguta … ...

Read More »

Rais Magufuli afuta sherehe za 9 Desemba

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesitisha sherehe za maadhimisho ya Uhuru za mwaka huu na ameagiza siku hiyo itatumiwa kwa kusafisha mazingira kutokana na nchi kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu. ...

Read More »

Familia ya Mawazo yatinga kortini, muafaka kesho

KESI ya kuagwa kwa heshima kwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita, Marehemu Alphonce Mawazo, imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mwanza. Anaandika Moses ...

Read More »

Kubenea kumburuza Spika kortini, alia na bomoabomoa

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea amesena anatarajia kwenda Mahakama Kuu kwa ajili ya kuomba tafsiri ya vifungu vya sheria kutokana na Spika wa Bunge, Job Nduga kuwaruhusu askari wa uraiani kuingia ndani ...

Read More »

CUF: ZEC tangazeni matokeo, haturudii uchaguzi

WABUNGE wa Chama Cha Wananchi (CUF) wameitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi halali wa Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika ...

Read More »

Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo

WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ...

Read More »

Rais Magufuli azuia mil 250 za wabunge wa CCM

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Rais John Magufuli amezuia matumizi ya Sh 250 milioni zilizochangwa na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa ajili ya mchaparo wa kupongezana. Anaandika Dany ...

Read More »

Ukawa wamgomea Magufuli, Shein, Ulinzi mpaka bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesema mipango yao ya kutomruhusu Rais Dk. John Magufuli kulihutubia Bunge akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, imefanikiwa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

LHRC wawakumbusha polisi kuachia vifaa vyao

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezidi kulipigia kelele Jeshi la Polisi kwa kuendelea kuvishikiria vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na wadau mbalimbali katika uchunguzi wa ndani kwenye uchaguzi mkuu ...

Read More »

Tamisemi yaboresha ukusanyaji wa kodi

OFISI ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI, imeboresha huduma ya makusanyo ya kodi na tozo mbalimbali za mamlaka za serikali za mitaa kwa kutumia mfumo ...

Read More »

Chadema, Polisi wavutana msiba wa Mawazo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema pamoja na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kupiga marufuku uagaji wa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, mkoa wa Geita, Alphonce ...

Read More »

Mahakama yawaita walioibiwa kura

WANASIASA ambao walikuwa wakigombea nafasi za ubunge na udiwani, wenye mashaka na kushindwa kwao wanatakiwa kuwasilisha mashauri yao katika mahakama husika ndani ya siku tatu baada ya kutangazwa kwa matokeo. ...

Read More »

Majokofu hospitali M’nyamala kukaguliwa

MAJOKOFU ya kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mwananyamala, yaliyoharibika kwa zaidi ya wiki mbili yanatarajiwa kufanyiwa ukaguzi kesho, baada ya matengenezo yaliyofanyika juzi. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Prof. Lipumba ampa rai Rais Magufuli

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amemtaka Rais John Magufuli kuishauri Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kabla ya kuhutubia ...

Read More »

Rais Magufuli atwishwa zigo la Katiba

JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limeitaka Serikali ya Awamu ya Tano kuanza kazi ya kukamilisha mchakato wa Katiba Mpya. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Ni kutokana na serikali ya Rais ...

Read More »

Ukawa wazua hofu bungeni, Polisi wajipanga kuwakabiri

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umezua hofu kubwa bungeni kutokana na hali ya kutangaza msimamo wao wa kutokukubaliana na Rais John Magufuli kulihutubia Bunge. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Kubenea atoa ahadi nzito Ubungo

MBUNGE wa Ubungo na Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea (Chadema) amewahakikishia wakazi wa jimbo la Ubungo kuwa atawapatia maendeleo katika jimbo hilo. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Kassim Majaliwa ndiye Waziri Mkuu awamu ya tano

RAIS Dk. John Magufuli leo amewasilisha bungeni jina la Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano. Spika wa Bunge, Job Ndugai alipokea barua ...

Read More »

DK. Shein apingwa kushiriki uzinduzi wa Bunge la 11

WAKATI kungali na usiri mkubwa hapa wa vikao vya majadiliano vinavyohusisha viongozi wakubwa wa kisiasa Zanzibar, mpango wa Dk. Ali Mohamed Shein kuomba udhuru ili ashiriki hafla ya uzinduzi wa ...

Read More »

ASASI za kiraia zalalama Z’bar

ASASI za kiraia za Zanzibar zimetoa tamko la kutaka dhana ya utawala bora iheshimiwe katika muendelezo wa vikao vya majadiliano vinavyofanyika miongoni mwa viongozi wakubwa Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube