Monthly Archives: October 2015

Diwani awashukuru wapiga kura, ailaumu NEC

ALIYEKUWA mgombea udiwani Kata ya Makurumla kwa tiketi ya CUF, Omary Thabit maalufu kwa jina la ‘Kijiko’ ametoa shukrani kwa wananchi walioshiriki kumpigia kura na kumfanya kuwa diwani wa kata ...

Read More »

Gwajima kukiona, Dk. Slaa kutelekezwa

IKIWA ni siku mbili tangu kutangazwa kwa mshindi wa mbio za Urais 2015, na siku moja tangu John Magufuli kukabidhiwa cheti maalumu cha ushindi watu wanaodaiwa kuwa ni usalama wa ...

Read More »

Kiwia kupinga matokeo mahakamani

ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Highnes Kiwia, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa ushindi, Angelina Mabula (CCM). Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Mgombea ubunge Mbagala kutinga mahakamani

MGOMBEA ubunge katika Jimbo la Mbagala JIJINI Dar es Salaam, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Kondo Bungo amepanga kwenda mahakamani kuzuia ubunge wa Issa Mangungu kutoka CCM. Anaandika Charles William ...

Read More »

Maalim Seif: Tumewashtukia

MGOMBEA wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepanga kughushi malalamiko ili kujipa uhalali wa kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu ...

Read More »

Anna Mghwira ampa Magufuli ilani ya ACT

ALIYEKUWA Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amekubali kushindwa katika kinyang’amyiro cha Uchaguzi Mkiuu na amemtaka Rais mteule, Dk. John Magufufuli kushughuliki uchumi wa nchi kwa maslahi kwa ...

Read More »

Magufuli akumbushwa kuleta Katiba Mpya

ASASI mbalimbali za kiraia (AZAKI) zimemtaka Rais Mteule, John Magufuli kuhakikisha analeta Katiba Mpya ili kubadirisha maendeleo ya nchi na kuondoa matatizo mbalimbali yanayotokana na mfumo mbovu wa katiba ya ...

Read More »

Magufuli ndiye rais wa awamu ya tano wa Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza rasmi Dk. John Pombe Magufuli, kuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo wagombea wanane walikuwa kwenye kinyanyiro hicho. Anaandika Faki ...

Read More »

Ubunge Mbagala giza nene

MSISIMAZI Mkuu wa Uchaguzi katika Jimbo la Mbagala, Fortunatus Kagimbo ameshindwa kutangaza matokeo ya jimbo hilo kwa madai ya kutokuwepokwa maelewano miongoni mwa wagombea waliokuwa katika kinyanyaro hicho. Anaandika Faki ...

Read More »

Ukawa wagomea matokeo ya NEC

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusitisha kutangaza matokeo ya urais yanayoendelea kutangazwa kwani si matokeo halisi bali yamejaa ulaghai na wizi “ni ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar wafutwa

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya uchaguzi wa kisiwani humo bila kutoa sababu za kufanya hivyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Mahakama yawang’ang’ania Vijana Chadema

WASHITAKIWA nane wamefikishwa mahakani kwa kosa la jinai ya kukusanya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Urais mwaka huu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuyachapisha kupitia mitandao ya ...

Read More »

CCM wachukua majimbo yote Dodoma

WAKURUGENZI wa halmashauri mbalimbali katika majimbo ndani ya mkoa wa Dodoma wametangaza matokeo ya majimbo yote ambayo yameenda kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Majimbo ...

Read More »

Maalim Seif ajitangazia ushindi

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kutangaza matokeo ya kura ya urais visiwani ...

Read More »

NEC yaanza kutangaza matokeo ya urais

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameanza kutangaza matokeo ya urais kwenye maeneo ambayo uchaguzi umekamilika na kura kuhesabiwa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Akitangaza leo ...

Read More »

Wakazi Kijitoupele wakosa kura ya mbunge

WAKAZI wa Jimbo la Kijitoupele, Visiwani Zanzibar wameshidwa kupiga kura ya mbunge kutokana na kutokuwepo karatasi yenye majina ya wabunge wanaopaswa kupigiwa kura. Anaandika Pendo Omary …(endelea). Wanaogombea katika jimbo ...

Read More »

Magufuli: Nitarekebisha makosa ya watangulizi

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, yapo makosa yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tatu na ya nne na kwamba, anakwenda kuyapatia ufumbuzi. Anaandika Faki ...

Read More »

Kingunge: Kumekucha

“KUMEKUCHA, mambo yanaenda mpoto mpoto, wananchi wamechoka, wanataka mabadiliko na maisha bora ambayo Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameshindwa kuyatekeleza,” ndivyo anavyosema aliyekuwa kada wa CCM, Kingunge Ngombare-Mwiru. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Sumaye: Ukawa tutaleta katiba ya Wananchi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inatumia vibaya madaraka yake, kutokana na katiba iliyopo kuwa mbovu, hivyo Ukawa ikiingia madarakani itahakikisha inapatikana katiba ya ...

Read More »

Polisi waanza kuibeba CCM

JESHI la Polisi jijini hapa, limeanza kutumika kwa kukibeba Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya askari Polisi, kugeuka wanaccm kwa kuwasimamia wafuasi wa CCM kuchana bendera za Chadema. Anaandika Moses ...

Read More »

Vifaa vya uchaguzi vyakamilika Dodoma

MSIMAMIZI wa uchaguzi, wilaya ya Dodoma Mjini, Augustino Kalinga amesema maandalizi ya vifaa vya uchaguzi katika jimbo hilo limekamilika na hakuna tatizo lolote. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali ...

Read More »

NCCR yaionya serikali

IKIWA ni siku moja kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, Chama cha NCCR – Mageuzi kimevionya vyombo vya serikali kuacha kutumika kukiingiza madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Pendo Omary ...

Read More »

JK amnadi Magufuli

RAIS Jakaya Kikwete (CCM) leo amemnadi mgombea Urais kupitia chama hicho John Magufuli katika viwanja vya Jangwani ikiwa ni siku moja kabla ya mgombea huyo kumalizia kampeni zake mjini Mwanza ...

Read More »

Mahakama Kuu yaamua mita 200

JOPO la Majaji watatu mahakama Kuu ya Dar es Salaam leo limetoa hukumu juu kesi iliyofunguliwa na Ammy Kibatala kupitia wakili Peter Kibatala kuhusu umbali wa mita 200 wa mwananchi ...

Read More »

Prof. Baregu: Tupo tayari kuendesha nchi

Profesa Mwesiga Baregu

MWENYEKITI wa jopo la washauri wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Prof. Mwesiga Baregu amesema wamejiandaa kuunda serikali mpya mara tu watakapoingia madarakani. Anaandika Sarafina Lidwino … ...

Read More »

Lowassa: Ole wenu NEC

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi ...

Read More »

Mgombea Mbagala alia na udini wa CCM

MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala, Kondo Bungo amefunga kampeni zake za kwa kuwata wananchi wamchague yeye na madiwani wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), pamoja na mgombea Urais kwa ...

Read More »

Waislam wagawanyika vipande vipande

WAUMINI wa dini ya kiislamu nchini wmegawanyika katika makundi mawili ya siasa ambapo upande mmoja wanaunga wa Umoja wa Katiba ya Wananchi na upande mwengine wanasapoti Chama cha Mapinduzi CCM. Anaandika ...

Read More »

Gallawa: Jitokezeni kwa wingi kupiga kura

MKUU wa mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa ametoa agizo kwa wananchi wote ambao wanasifa za kupiga kura wapige kura katika vituo ambavyo walijiandikishia. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Ghallawa ...

Read More »

Serikali awamu ya tano itekeleze haya – Wanawake

KWA kuwa wanawake wanapenda uhuru na hawapendi kukandamizwa, ni lazima wapigane bila kupumzika mpaka madai yao yatakapotekelezwa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hapa ndipo mkazo unawekwa na wanawake walio kwenye ...

Read More »

Majaji waahidi uamuzi leo

MABISHANO ya kisheria yaligubika shauri linalohusu mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupigakura lililofunguliwa katika Mahakama Kuu na wakili anayetetea upande wa Chama cha Demokrasi ...

Read More »

Kingunge kuibomoa CCM Mara

MWANASIASA mkongwe Kingunge Ngombare -Mwiru, anarajiwa kufunga kampeni za Mgombea ubunge Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere (Chadema), Oktoba 24 mwaka huu ikiwa ni siku moja kabla ya uchaguzi mkuu. ...

Read More »

Bawacha: Wanawake lindeni kura zenu

BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria. Anaandika ...

Read More »

Wanaoidai Uchumi Supermarket waiangukia serikali

WASAMBAZAJI bidhaa za kampuni mbalimbali zilizokuwa zikifanya kazi na kampuni ya Uchumi Supermarket ya Uchumi wameitaka Serikali kuwasaidia kulipwa madeni wanayoidai kampuni hiyo baada ya kufungwa bila ya kupewa taarifa ...

Read More »

Mkurugenzi ahamishwa kwa kukataa ‘bao la mkono’

MKURUGENZI wa Jiji la Mwanza, Hassan Hida, anadaiwa kuhamishwa katika jiji hilo kwa kile kinachodaiwa ni kukataa kucheza ‘bao la mkono’ katika Jimbo la Nyamagana. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … ...

Read More »

Polisi: Haitakibeba chama chochote cha siasa

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limesema halipo tayari kukipendelea chama chochote kile cha siasa katika kipindi hiki cha uchaguzi utakaofanya Oktoba 25 mwaka huu. Anaadika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). ...

Read More »

Siri za kuvuruga uchaguzi zaanikwa

ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefichua mikakati iliyopangwa kuvuruga uchaguzi huo. Anaandika Charles William … (endelea). ...

Read More »

Ukawa watishia kutoshiriki Uchaguzi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetishia kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Hali yazidi kuwa tete Congo Brazaville

POLISI nchini Congo Brazaville wamefyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi kwa waandamanaji walioitikia mwito wa upinzani wa kuendelea na siku ya pili ya maandamano ya kupinga nia ya rais ...

Read More »

Heshima za mwisho zatolewa kwa Dk. Makaidi

VIONGOZI mbalimbali wametoa salamu za rambirambi kwenye shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanel Makaidi katika viwanja vya Kareem ...

Read More »

CCM yapuuza msiba wa Dk. Makaidi

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepuuza kushiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Nation Legue For Demokracy (NLD), Dk. Emmanuel Makaidi kwenye Ukumbi wa ...

Read More »

RPC, RC Dodoma wawatisha wapigakura

JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Ghallawa wamewatishia wananchi kuwa watawadhibiti wakati wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Kesi ya wapiga kura kukaa mita 200 yaahirishwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imehairisha kesi namba 37 ya mwaka huu, ya mlalamikaji kuiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ...

Read More »

Watangaza matokeo sivyo kukiona – TCRA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya vyombo vya habari vitakavyotangaza matokeo ya uchaguzi mkuu kinyume cha sheria na taratibu kwamba haitasita kuviadhibu. Anaandika Charles William … (endelea). Mbele ya wanahabari leo ...

Read More »

Hatuna kampeni kesho – UKAWA

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitasitisha kampeni zake ngazi zote kesho tarehe 20 Oktoba kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel Makaidi. ...

Read More »

Mfumo wa kuhesabu kura wahojiwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetaka kukaguzwa mfumo wa kuhesabu na kujumlisha kura utakaotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kuingia katika uchaguzi kwa maridhiano. Anaandika Hamisi ...

Read More »

Mbowe anazushiwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshangazwa na tuhuma za uongo na uzushi zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe za kuhamisha ...

Read More »

Serikali yatakiwa kudhibiti viashiria vya uvunjifu wa amani

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki. Anaandika Ferdinand Shayo, Arusha … ...

Read More »

Chadema yaweka wazi msimamo kuhusu midahalo

CHAMA cha Demokrasi na Maelendeleo (Chadema), kimetoa ufafanuzi wa suala la kutohudhuria kwa mgombea urais kupitia mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa tiketi ya chama hicho, Edward ...

Read More »

Mafunzo TaGLA yanufaisha 20,322

WAKALA wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao Tanzania (TaGLA) wameendesha mafunzo kwa washiriki 20,322 ambapo jumla ya midahalo 783 imefanyika kuanzia 2005 mpaka Juni 2015. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube