Monthly Archives: September 2015

Mnyika: Tutatangaza matokeo kabla ya Tume

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi nzima. Anaandika Charles William … (endelea). ...

Read More »

Uvinje wampigia kelele Rais Kikwete

WAKAZI wa kitongoji cha Uvinje wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani wanamlalamikia Rais Jakaya Kikwete kwamba anaondoka madarakani bila ya kutatua mgogoro wa ardhi uliopo kwa zaidi ya miaka kumi sasa ...

Read More »

Kigaila awachimba mkwara polisi Dodoma

MGOMBEA ubunge jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chadema, Benson Kigaila amelitaka jeshi la polisi kufanya shughuli za kwa kufuata misingi ya kisheria na wasikubali kutumiwa na wanasiasa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Vijana wawalee wazee

VIJANA wametakiwa kuwa karibu na wazee ili kujifunza maadili mema yatakayowasaidia kujenga uelewa wa kuwajibika juu ya kuwahudumia ipasavyo wazazi wao kimaisha wanapoingia uzeeni. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Hayo ...

Read More »

Makaidi akaidi UKAWA

MWENYEKITI wa National League for Democracy (NLD), Dk. Emmanuel Makaidi ameshikilia kuendelea na kampeni ya kugombea ubunge jimbo la Masasi mkoani Mtwara, licha ya wananchi kueleza wazi watamchagua Ismail Mapembe ...

Read More »

Wananchi shirikianeni na asasi kuleta maendeleo-Kibamba

WANANCHI wametakiwa kuungana na tathimini zinazofanyika na asasi za kiraia katika kuimarisha maendeleo ya nchi kidemokrasia, uchumi na masuala utawala bora. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Hayo yamesemwa leo wakati ...

Read More »

Job Ndugai amuunga mkono Lowassa

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kogwa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amesema iwapo atachaguliwa kuliongoza jimbo hilo kwa awamu ya nne, atahakikisha anatatua mgogoro kati ya wakulima ...

Read More »

NEC waapa kula sahani moja na wabaya wa Lowassa

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametoa ovyo kali na kuahidi kuwachukulia hatua za kisheria, wanasiasa na wagombea wanaofanya kampeni chafu kwa kutaja majina ya ...

Read More »

Rungwe: Umaskini wa Tanzania ni akili finyu za watawala

MGOMBEA Urais wa Chama cha Ukombozi ( Chaumma), Hashim Rungwe amesema umasikini unaowakabili unatokana na akili finyu ya watawala waliopo madarakani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na hilo ...

Read More »

SSRA yatoa somo kwa watumishi

WANACHAMA wa mifuko ya hifadhi ya jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kutokana na kuwepo kwa vitendo vya waajiri kuchelewesha upelekaji mafao hayo. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na ...

Read More »

Bungo ahimiza wananchi kuchagua Ukawa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia CUF, Kondo Bungo amehamasisha wakazi wa jimbo hilo kumchagua yeye pamoja na madiwani wa waliopitishwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ...

Read More »

Huzuni yatawala akiagwa Kombani

HALI ya huzuni imetawala wakati wa kuagwa kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani. Anaandika Charles William … (endelea). Mwili wa Kombani umeagwa ...

Read More »

Albanie kurejesha viwanda Morogoro

MGOMBEA ubunge Jimbo la Morogoro Mjini Chadema, Marcossy Albanie amesema iwapo wananchi watamchagua, ndani ya miaka mitano ya uongozi wake atahakikisha anafufua viwanda ili kuchochea maendeleo mkoani humo. Anaandika Pendo ...

Read More »

Abood aonesha jeuri ya fedha

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abood Abdul-Aziz amesema, yupo tayari kumchangia fedha za kuweka mabango mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Chiragwile: Professa Muhongo ni mzigo usiobebeka

MGOMBEA ubunge Jimbo la Musoma Vijijini (Chadema), Mburaa Chiragwile amesema aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ni mzigo usiobebeka kutokana na kulisababishia Taifa hasara ya Sh. 320 ...

Read More »

Mgombea wa Chadema kufikishwa mahakamani kesho

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chadema, Benson Kigaila na wenzake 10 wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Watuhumiwa hao ambao wamewekwa lumande tangu ...

Read More »

Mgombea Chadema alia na ‘bao la mkono’

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Bukombe kupitia Chadema, Prof. Kulikoyela Kahigi amelalamikia rafu zinazofanywa na wagombea wa CCM kuwahonga wananchi. Anaandika Dany Tibason, Bukombe … (endelea). Prof. Kahigi ameliambia Mwanahalisi ...

Read More »

Wananchi wamgomea Mgombea Urais, ahairisha mkutano

MGOMBEA Urais Kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe jana alishindwa kufanya mkutano wake wa kampeni mjini Dodoma baada ya kukosa watu wa kuwahutubia. Anaandika Dany Tibason, Dodoma ...

Read More »

Yanga yatakata, Tambwe, Busungu wapeleka msiba Msimbazi

MABAO ya Amissi Tambwe na Malimi Busungu yamemaliza uteja wa klabu ya Yanga kwa Simba kwa miaka miwili, kwani ushindi wa mwisho ulipatikana Machi 18, 2013. Anaandika Erasto Stanslaus … ...

Read More »

Mwili wa Waziri Kombani kuzikwa J’tatu Morogoro

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, Celina Kombani unatarajiwa kuwasili ...

Read More »

Mgombea Chadema atiwa mbaroni Dodoma

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema, Benson Kigaila pamoja na wenzake kumi ambao ni wafuasi wa chama hicho. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Wahadhiri UDOM kugoma, wadai mishahara

WAHADHIRI takriban 800 waliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameazimia kutoingia madarasani kufundisha kuanzia Novemba 2 mwaka huu mpaka hapo serikali itakaposhughulikia suala la muundo mpya wa mishahara. Anaandika ...

Read More »

Matusi ya Makongoro yachafua hali ya hewa Dodoma

BAADHI ya wakazi wa mji wa Dodoma wameeleza masikitiko yao juu ya matusi na kashifa zinazotolewa na viongozi wa CCM dhidi ya wahasimu wao Chadema. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Wanafahamiana tena wamoja

RAISI anajidhalilisha kwa kukithiri mizaha. Anajisahau akidhania Saigoni – kijiwe cha maalwatan wa Da’Salama, wehu kwa utani wa Simba na Yanga. Alikuwa maarufu miaka ile ya 1980. Niliwahi kumsikia akisema ...

Read More »

Mgombea CCM akitabiria anguko chama chake

MGOMBEA ubunge Jimbo la Tarime Mjini, Michael Kembaki (CCM), amesema chama hicho kilikuwa hakina uwezo na nguvu ya ushindi katika jimbo hilo, kabla ya kumteua Dk. John Magufuli, kuwania nafasi ...

Read More »

Kuziona Simba, Yanga 7,000, kuanza kuuzwa Ijumaa

VIINGILIO vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ...

Read More »

Lukuvu kushughulikia matapeli wa ardhi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi imesema itahakikisha wananchi wote wenye malalamiko ya ardhi wanasaidiwa kwa kuwashughulikia matapeli na wavamizi wa viwanja na makazi ya watu ikiwa ni pamoja na ...

Read More »

ACT-Wazalendo waunga mkono utafiti Twaweza

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimekubaliana na matokeo ya utafiti yaliyotangazwa jana na Taasisi ya Twaweza. Utafiti huo ulihusu maoni ya wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika Sarafina ...

Read More »

Wagombea Hanan’g wamgomea Msimamizi wa Uchaguzi

WAGOMBEA wa nafasi za Ubunge na Udiwani katika Wilaya ya Hanang, Manyara wamedai kutokua na imani na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang, Felix Mabula ambaye ni Msimamizi mkuu wa uchaguzi ...

Read More »

Walimu wavamia ofisi ya Mkurugenzi, kudai fedha zao

SHUGHULI katika Ofisi za Jiji la Mwanza, jana zilisimama kwa muda wa saa 6, baada ya Walimu zaidi ya 300 kuandamana hadi katika ofisi hizo, wakidai kulipwa fedha zao. Anaandika ...

Read More »

CHAVITA kuadhimisha ya wiki Viziwi Duniani

CHAMA Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kupitia tawi la Mkoa wa Pwani wapo katika Maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani ambayo yameanza Agosti 21 na kumalizika Agosti 27 mwaka huu, kwa ...

Read More »

Bonanza la Shimmuta kufanyika Oktoba

BONANZA la Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), ambalo lilipangwa kufanyika Septemba 26 mwaka huu limesogezwa mbele na kufanyika Oktoba 10 mwaka huu. anaandika ...

Read More »

Star Times yadhamini Ligi daraja la kwanza

KAMPUNI ya StarTimes Media ya jijini Dar es salaam leo imeingia mkataba wa udhamini na TFF kudhamini Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) inayoshirikisha timu 24 kutoka katika mikoa 16 ...

Read More »

TFDA yaeleza mafanikio ndani ya miaka 10

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imesema imeimarisha mifumo ya udhibiti wa bidhaa mbalimbali katika miaka 10 ya serikali ya awamu ya nne. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Hayo ...

Read More »

Kubenea ‘avamia’ Shekilango, Manzese

MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea leo asubuhi ametembelea masoko ya Shekilango na Big Brother ya Kata ya Mabibo ikiwa ni sehemu ...

Read More »

Mgombea Chadema amchimba mkwara Chegeni

MGOMBEA ubunge jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk. David Nicas (Chadema), amewataka wagombea wenzake akiwemo Raphael Chegeni (CCM) kuacha kujipatia matumaini ya ushindi na badala yake wanapaswa kufungasha mizigo yao ...

Read More »

Twaweza: Magufuli ni zaidi ya Lowassa

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza umeonesha kuwa, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anayo fursa ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa zaidi ya asilimia ...

Read More »

CCM wazidi kuweweseka, wananchi wawaonya

BAADHI ya wananchi jimbo la Dodoma Mjini wamewataka viongozi wa kampeni pamoja na mgombea ubunge wa CCM, Antony Mavunde kuweka sera zao hadharani badala ya kujadili matatizo ya mtu binafsi. ...

Read More »

Viongozi ADC watimka wajiunga UKAWA

VIONGOZI wa Chama cha Alliance for Democrat (ADC) mkoa wa Dodoma wamejiengua katika uongozi huo kwa madai chama hicho hakina nia ya dhati ya kufanya mageuzi kwa manufaa ya Umma. ...

Read More »

Treni ya umeme yaanza kutumika Ethiopia

NCHI ya Ethiopia imezindua rasmi usafiri za treni ya umeme ya kubeba abiria mijini, ambayo ndiyo ya kwanza katika nchi za Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara. Treni hiyo itatumika ...

Read More »

Mahakama imeishuhudisha haki

KUFUNGULIWA kwa gazeti la MwanaHALISI kupitia hukumu ya mahakama kumetajwa kama hatua muhimu inayoongeza kitu katika dhana ya udumishaji wa uhuru wa kujieleza nchini. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Mratibu ...

Read More »

Vyombo vya habari vyatathminiwa

VYOMBO vya habari hasa vile vinavyoendeshwa kwa kutumia kodi za Watanzania vimetakiwa kutoa habari bila ya upendeleo hasa zinazojenga na sio kuliingiza taifa katika machafuko. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Kubenea aongoza promosheni ya MwanaHALISI

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Hali HALISI Publishers, Saed Kubenea leo ameungana na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kufanya promosheni ya kutangaza gazeti la MwanaHalisi barabarani ikiwa ni toleo ...

Read More »

Lowassa karibu Kilwa J’tano

WAKAZI wa wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, Jumatano watashuhudia ugeni mzito wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, anayewakilisha Ukawa, Edward Lowassa, atakapowasili kwa ajili ya kampeni ya kuomba kura. ...

Read More »

MwanaHALISI mtaani kesho

GAZETI la MwanaHALISI limerudi. Tayari limechapwa. Kesho litakuwa mtaani nchi nzima. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Kwa mujibu wa Meneja Mkuu wa Hali Halisi Publishers (HHPL) inayomiliki na kuchapisha gazeti ...

Read More »

Lowassa amtingisha JK

NI Lowassa kina kona. Kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, sherehe za harusi, msiba, usafiri wa daladala, meli na ndege, jina la Edwad Lowassa, mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya ...

Read More »

Kubenea kuboresha huduma za afya

MGOMBEA ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea ameahidi kuboresha zahanati iliyopo kwenye Kata ya Kimara, Dar es Salaam ili iwe na hadhi ya ...

Read More »

Lowassa kuiteka tena Dar kesho

MGOMBEA urais wa Chadema na anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa anatarajia kuliteka tena Jiji la Dar es Salaam kesho Septemba 20 katika ...

Read More »

Chadema yamvaa Bulembo

KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo kwamba “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” imezua mjadala. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Bulembo ...

Read More »

Mbowe awaumbua Ghati, Nyambabe

MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo walitaka ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube