Monthly Archives: August 2015

Kigaila kuivunja CDA, Dk Lwaitama ajiunga Chadema

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Dodoma Mjini, kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila amewahakikishia wananchi wa Dodoma kuwa iwapo watamchagua kuwa mbunge wakazi hao watakuwa na uhuru ...

Read More »

Hotuba ya Mgombea Edward Lowassa ya kuzindua Ilani na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015 Ndugu Wana Dar ...

Read More »

Makaidi akampeni kupitia Simba

MWENYEKITI Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi amesema mpira katika nchi hauwezi kuwa mzuri iwapo siasa za nchi ni mbaya. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Uzinduzi wa kampeni UKAWA wafana

UZINDUZI wa kampeni ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa leo ulishuhudiwa na umma mkubwa wa wananchi huku ukipambwa na kila aina ya ...

Read More »

Duni Haji: Tutarejesha Katiba ya Wananchi

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Juma Duni Haji ameahidi Watanzania kuwa serikali itakayoundwa na kundi hilo baada ya kushinda uchaguzi mkuu itasimamia kurudishwa kwa ...

Read More »

Viongozi wa dini: Wezi wa kura wasulubiwe

WATANZANIA wanaofuata zaidi dini mbili kuu za Kiislam na Kikristo, leo walishiriki kuitika dua zilizotolewa na viongozi wao wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya mgombea wa Umoja wa ...

Read More »

Amina Karuma Mwenyekiti TWFA, Somoe Ng’itu Katibu

UCHAGUZI wa Chama cha Mpira wa Miguu nchini (TWFA)  umemalizika ambapo Amina Karuma amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho, kufuatia uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es salaam. Nafasi ya ...

Read More »

Sumaye: Lowassa anastahili urais

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kuwa Edward Lowassa ni mgombea makini asiye doa, na anastahili kuchaguliwa ili aongoze taifa linalohitaji mabadiliko. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Amesema kwamba ...

Read More »

Mshindo wa Lowassa hadharani

NGUVU ya utendaji kazi kimkakati iliyopo Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) inatarajiwa kudhihiri kesho utakaposhuhudiwa uzinduzi rasmi wa kampeni yake ya kushika hatamu za uongozi wa nchi. Anaandika Jabir ...

Read More »

Geita Gold SC yalamba mkataba wa mil 300

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameipongeza klabu ya Geita Gold SC inayoshiriki ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) kwa kupata udhamini wa shilingi milioni ...

Read More »

Twiga Stars kufungua dimba na Ivory Coast

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inayotarajiwa kuondoka nchini mwishoni mwa mwezi Agosti kuelekea nchini Congo-Brazzavile kwenye Fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) imepangwa kufungua dimba na ...

Read More »

Lowassa kuunguruma Jangwani kesho, Slaa hatakuwepo

MRATIBU wa Maandalizi ya Kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Deogratia Munishi amesema maandalizi ya mkutano wa ufunguzi wa kampeni yamekamilika kwa asilimia 90. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

WHO waipiga tafu Tanzania kukabili kipindupindu

SHIRIKA la Afya Duniani imetoa wa msaada wa madawa ya kuzuia ugonjwa wa kipindupindu kwa Wizara ya Afya wenye thamani ya Tsh. 42 milioni. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Msaada ...

Read More »

Mfumo mbovu wa uteuzi chanzo cha matatizo CCM

BAADHI ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wameulalamikia mfumo wa uteuzi ndani ya chama hicho na kudai kuwa ni mbovu na umekisababishia chama hicho kujikuta katika matatizo. Anandika Dany ...

Read More »

Lusinde akumbana na nguvu ya UKAWA Mwanza

MBUNGE wa Jimbo la Mtela (CCM), Livingstone Lusinde amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi na wanaccm, kumtaka atelemke kutoka jukwaani kwa kile walichodai hazungumzi vitu vya msingi. Anaandika Moses ...

Read More »

Wachimbaji wanawake waiangukia serikali ada ya leseni

Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani, Asha Saidi akichekecha mchanga kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite

WANAWAKE wachimbaji wa madini wameiomba serikali ipunguze ada ya leseni ya uchimbaji madini ili kuwawezesha kinamama wanaoanza kazi hiyo ili waweze kukabiliana na changamoto mbalimbali za uchimbaji. Anaandika Ferdinand Shayo, ...

Read More »

‘Kura ya amani tuepushe machafuko’

KATIBU Mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA), Grace Tendega amesihi wanawake wote nchini kushiriki uchaguzi kwa amani na salama ili kuiepusha nchi kuingia katika machafuko. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Walimu Arusha waidai Serikali bil 4, waipa wiki mbili

CHAMA cha Walimu mkoa wa Arusha (CWT-Arusha) wamelalamikia serikali na kuitaka kutekeleza kwa wakati madeni yao la zaidi ya Sh. 4 billioni kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ...

Read More »

Mchungaji wa kanisa atuhumiwa mauaji

MCHUNGAJI wa kanisa la Tanzania Adventist Conference (TACC) lililopo kata ya Kiseke, Ilemela mkoani Mwanza, Hanscolling Exaud (Munuo) anatuhumiwa ya Samwel Makoye. Anaadika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Tukio hilo ...

Read More »

Kubenea afungua pazia Manzese

MGOMBEA ubunge, jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, Saed Kubenea, amezindua kampeni yake ya kutafuta ridhaa ya wananchi, kwa mkutano mkubwa wa hadhara kwenye viwanja vya Manzese, kwa Bakhressa. ...

Read More »

Wapiga kura wamchimbia shimo Mkapa

MUUNGANO wa wapiga kura Tanzania (TANVU), umeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumchukulia hatua, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwa kitendo alichokifanya kuvitukana vyama vya upinzani kwa kuwaita viongozi na ...

Read More »

Serikali yamzuia Lowassa Jangwani, UKAWA wakomaa

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Claud Mpelembwa amezuia mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Urais, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa kufanyika katika viwanja vya Jangwani kwa madai ya uwanja huo ...

Read More »

Agosti 29 Lowassa Jangwani

KAIMU Katibu Mkuu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salim Mwalim amewatangazia wananchi kuwa, Agosti 29 mwaka huu chama hicho kitazindua kampeni. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Mwalimu amesema Lowassa ...

Read More »

Vyomba vya habari vyakumbushwa wajibu

VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuhakikisha vinasimamia wajibu wake ili kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Rai hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Bil 422.8

TANZANIA imesaini mkopo wa Sh. 422.8 Bil kutoka Benki Kuu ya Dunia ili kuimarisha huduma ya afya nchini. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akisaini mkopo huo Katibu Mkuu wa Wizara ...

Read More »

Kikwete: Jumuiya ya Afrika Mashariki itenge bajeti mahakama

RAIS Jakaya Kikwete ameziagiza nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kutenga bajeti katika mahakama zao ili ziweze kujiendesha na kumaliza kero za Wananchi. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kauli ...

Read More »

Polisi wavamia msafara wa Lowassa

JESHI la Polisi Dar es Salaam leo limevamia na kuuzuia msafara wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuingia sokoni Kariakoo. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Serikali yazuia uuzaji maji na vyakula barabarani

SERIKALI nchini imepiga marufuku biashara ya maji na vyakula visivyoandaliwa katika mazingira mazuri ili kupunguza kuenea kwa ugojwa wa kipindupindu uliojitokeza katika Mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro. Anaandika ...

Read More »

Viongozi wa dini wawaasa Watanzania

VIONGOZI wa dini mkoa wa Dodoma wamewataka watanzania kuachana na mihemko ya kisiasa na badala yake wanatakiwa kuwa makini ili kuhakikisha wananchagua kiongozi makini mwenye kujua shida za watu. Anaandika ...

Read More »

Kigaila ampinga Mavunde Dodoma

MGOMBEA Ubunge katika jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila amekata rufaa ya kupinga uteuzi wa mgombea ubunge jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, ...

Read More »

Prof. Mwandosya amchana Mkapa

MWANASIASA mashuhuri nchini, Prof. Mark Mwandosya, amemtolea uvivu, Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mwandosya ambaye alikuwa mmoja wa wagombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ...

Read More »

Kikwete: Barabara za vijijini zitainua uchumi

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa serikali za mitaa kuhakikisha kuwa wanajenga barabara maeneo ya vijijini ili kuchochea maendeleo na kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi zilizoko katika maeneo hayo. Anaandika ...

Read More »

Wasioona wahofia kushindwa kupiga kura

CHAMA cha Wasioona Tanzania (TLB) kimelitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuweka mazingira rafiki kwa watu hao wakati wa Uchaguzi Mkuu 25 Oktoba mwaka huu. Anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

Bodaboda: Tunatumiwa na wanasiasa

UONGOZI wa waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam umekiri kutumiwa na wanasiasa katika harakati zao za kisiasa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Akijibu swali la mwandishi wa Mwanahalisionline aliyetaka kujua ...

Read More »

Kubenea aiumbua NEC, akamata kadi feki za kupigia kura

MGOMBEA  Ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Ubungo,  Saed Kubenea, amedai kuwa zaidi ya kadi milioni mbili za kupigia kura zinatengenezwa na Tume ya Taifa ya ...

Read More »

TEMCO: NEC imeandikisha 23,782,558

TAASISI ya Uangalizi wa Uchaguzi Tanzania (TEMCO) imesema, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeandikisha wapiga kura 23,782,558. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hata hivyo taasisi hiyo imetoa taarifa ya ...

Read More »

Rais Kikwete, Mkapa, Makongoro washambulia UKAWA kwa zamu

RAIS Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjaman Mkapa na Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere wameshambulia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ...

Read More »

Sumaye: Natoka CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga kwenye vuguvugu la mabadiliko kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Anaandika Yusuph Katimba ...

Read More »

Mtikila na Chipaka wakatwa urais

WANASIASA wakongwe nchini, Christopher Mtikila na John Lifa- Chipaka wametupwa nje ya kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kushindwa kutimiza vigezo vya ...

Read More »

Wanawake tushiriki kampeni – Mongela

MTANDAO wa Wanawake, Katiba na Uchaguzi (T-WCP/Ulingo), umehimiza wanawake nchini kushiriki kikamilifu mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera za wagombea zinazohusu masuala ya wanawake na kuzichambua. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). ...

Read More »

Hassanali: Nitavunja ngome ya Zungu

MGOMBEA ubunge katika Jimbo la Ilala (Chadema), Musilim Hassanali amesema, atavunja ngome ya mgombea wa CCM, Mussa Zungu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Anafafanua, maeneo yote ...

Read More »

Wasaka ulwa ndani ya visa Z’bar

ORODHA ya wanasiasa wanaotamani urais wa Zanzibar inaweza kuwa ndefu kuliko ilivyowahi kuwa katika historia ya uchaguzi mkuu chini ya mfumo wa vyama vingi Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Nkurunziza aapishwa ‘chapchap’

PIERRE Nkurunziza wa Burundi, ambaye ameanza kutengwa na jumuiya ya kimataifa, leo aliapishwa kushika upya wadhifa wa rais bila ya shamrashamra. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Sherehe ya kuapishwa kwake, ilihudhuriwa ...

Read More »

James Mbatia: Hatuondoki UKAWA

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema hakuna namna kinaweza kujitenga na ushirikiano na vyama vitatu vilivyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia amesema “Mimi na chama ...

Read More »

NCCR chatangaza majimbo yake

CHAMA cha NCCR – Mageuzi kimetangaza majimbo 19 ambayo kitasimamisha wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Majimbo hayo ni kati ya majimbo 265 ya uchaguzi. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

‘Wilaya fuateni muongozo kuhusu Udiwani’

VIONGOZI wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wa ngazi ya wilaya wamehimizwa kutekeleza maamuzi yaliyofikiwa na viongozi wao wakuu kuhusu utaratibu wa kusimamisha wagombea udiwani ili kuepusha ...

Read More »

Maalim Seif kuanza safari Ikulu

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa Tanzania, ataanza safari ya kutwaa madaraka ya dola Jumapili atakapochukua fomu ya uteuzi ya kugombea urais wa Zanzibar. Anaandika Jabir ...

Read More »

Mahakama Kuu: Lowassa msafi

MGOMBEA Urais wa Tanzania, Edward Lowassa anayewakilisha UKAWA – Umoja wa Katiba ya Wananchi – kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo amewasilisha Hati ya Kiapo mbele ya Mahakama ...

Read More »

Sheikh Kishki aundiwa kiroja mtandaoni

ULAMAA maarufu wa Kiislamu nchini, Sheikh Nurdin Kishki, amesingiziwa taarifa zisizo na msingi na watu waliofungua akaunti katika mtandao wa kijamii wa Facebook na kuandika taarifa zinazomuonesha kama swahiba wa ...

Read More »

Mkuta: Tufanye siasa za kistaarabu

DANIEL Mtuka, mgombea ubunge katika jimbo la Manyoni Mashariki (CCM), amewataka wagombea uongozi katika uchaguzi mkuu ujao, kufanya siasa za kistaarabu. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Anasema, “…hakuna sababu ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube