Monthly Archives: July 2015

Spika Makinda ahimiza 50/50

SPIKA wa Bunge Anne Makinda amewahimiza wanawake kugombea nafasi za kisiasa  ili ipatikane asilimia 50/50 katika ili kuondoa mfumo dume. Anaandika Faki Sosi na Hamisi Mguta, DSJ … (endelea). Hayo ...

Read More »

Askari Tanapa apata Tuzo Afrika

ASKARI  wa Wanyama pori wa (TANAPA), Patrick Mwita ameshinda tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katika ulinzi wa Faru  kwa mwaka  2015 barani Afrika zinazofahamika kama “2015 Rhino Conservation Award”. Anaandika Ferdinand Shayo, ...

Read More »

Meya Mwanza matatani kwa rushwa

WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM), kesho kikitarajiwa kuingia kwenye mchakato wa kura za maoni, Meya anaemaliza muda wake, jijini Mwanza, Stanslaus Mabula, anatuhumiwa kuwahonga vijana fedha, kuwafanyia fujo na kuwatembezea ...

Read More »

Prof. Baregu: Chadema tuko wamoja

PROF. Mwesiga Baregu amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kingali kimoja na sasa imara zaidi. Mjumbe huyo wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema alikuwa akizungumzia mjadala mkali ndani ya ...

Read More »

CCM waache ‘shingo feni’

WAKATI najiandaa kuandika makala hii, waziri mkuu wa kwanza katika awamu ya nne, Edward Ngoyai Lowasa, ametangaza kukihama chama chake cha CCM na kujiunga na Chadema kilichoko katika muungano wa ...

Read More »

Ujio wa Lowassa Chadema: Maswali mengi yatapata majibu

MJADALA juu ya Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaendelea kushika kasi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). ...

Read More »

Chadema: Hatujakurupuka kumpendekeza Lowassa

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema chama hicho hakikurupuka kumpendekeza Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kuchukua fomu ili kuwania urais wa Tanzania kwa tiketi ...

Read More »

NEC yaongeza uandikishaji BVR Dar

TUME ya Taifa ya uchaguzi (NEC) leo imeongeza siku nne za kuendelea na zoezi la uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kupitia mfumo wa Kielektroniki (BVR), baada ya ...

Read More »

Spika Ndugai kufikishwa mahakamani

Naibu Spika na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai akizungumza kwenye mkutano wa hadhara jimboni kwake

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kwamba limeisha kamilisha jalada la kumshitaki Naibu Spika Job Ndugai kutokana na kumpiga mgombea mwenzake wa CCM, Dk. Joseph Chilongani. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Chadema yawaonya wanaowachafua wenzao

KADA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Philipo Mwakibinga amewakemea baadhi ya watu ambao wanatumia siasa za maji taka kutoa taarifa za uzushi na za kuchafuana. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

TBS yakifungia kiwanda cha maziwa Kilimanjaro

SHIRIKA la Viwango TBS limekifunga Kiwanda cha Maziwa na siagi cha Kilimanjaro Creamers kinachofanya shughuli zake Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro baada ya kubainika kuzalisha bidhaa zisizothibitishwa viwango na ...

Read More »

Si mafuriko tena, ni maporomoko

SIKU mbili baada ya kukihama chama alichokulia, Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwanasiasa machachari nchini, Edward Lowassa, hatimaye amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Lowassa aelekea Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akikabidhiwa fomu ya kuwania Urais na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

MWANACHAMA mpya wa Chadema, Edward Lowassa, ameanza tena safari yake ya kuelekea Ikulu. Leo (Alhamisi) amechukua fomu ya kuwania urais, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Hamis Mguta, ...

Read More »

CCM chamuogopa Lowassa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemuogopa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwa kuogopa kujitokeza hadhara kujibu tuhuma kuwa ni cha majungu, fitna na mizengwe katika hotuba yake baada kutangaza rasmi kujiunga ...

Read More »

Spika Ndugai amshushia kichapo mgombea mwenzake

NAIBU Spika na Mbunge wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai amemshushia kipigo mgombea mwenzake Dk.Joseph Chilongani na kusababishwa kuzirai na kukimbizwa katika hospitali ya Wilaya ya Kongwa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Wanachama 54 wamfuata Lowassa Chadema

SIKU moja baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa kujiunga na Chadema, wanachama 54 wa CCM akiwemo Mwenyekiti wa Tawi la Mlimwa Kusini, Kata ya Ipagala mkoni hapa, Yahaya ...

Read More »

Lissu wanaotaka kuondoka Chadema ruksa

MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga ...

Read More »

Lowassa kuchukua fomu urais kesho

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu kesho saa 5 asubuhi atachukua fomu kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hatua ya Lowassa kuchukua fomu ya ...

Read More »

Lowassa yametimia, aitenga CCM

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) akimkabidhi kadi Waziri Mstaafu, Edward Lowassa alipotangaza kujiunga rasmi na chama hicho

EDWARD Lowassa, amekuwa mwanasiasa wa kwanza nchini aliyefikia ngazi ya Waziri Mkuu katika serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamua kukihama chama hicho alichokitumikia kwa miaka 30. Lowassa amehamia Chama ...

Read More »

Ujio wa Lowassa Chadema Dodoma yazizima

SHUGHULI zimesimama katika mji wa Dodoma kwa muda wote ambao Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeutumia kumtambulisha Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na Chama hicho. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Lusinde, mwenzake watishiwa kuondolewa CCM

KATIBU wa CCM mkoa wa Dodoma, Arbelt Mgumba ametishia kufuta majina ya wagombea wa ubunge katika kura za maoni jimbo la Mtera ambao ni Samuel Malecella na Livingstone Lusinde kupitia ...

Read More »

Profesa Kahigi apeta Bukombe

MBUNGE wa Bukombe (Chadema), Profesa Kulikoyela Kahigi ameibuka kidedea katika kura za maoni kwa kupata 196 huku mpinzani wake Renatus Nzemo aliepata na kura 65. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Wafanyabiashara Jangwani wageukwa, wafukuzwa

MKUU wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi  amewapa siku tatu wafanyabiashara wadogowago eneo la Jangwani Jijini Dar es Salaam walio hamishwa kutoka kariakoo kubomoa vibanda walivyojenga kwa ajili ya bihashara ...

Read More »

BVR Dar yageuka shubiri kwa watoto

ZOEZI la Uandikishaji katika daftari la wapiga kura katika Mfumo wa Kielektroniki (BVR), limegeuka kuwa mateso kwa baadhi ya wazazi wenye watoto wadogo na kujikuta vituoni usiku wa manane kusubiria ...

Read More »

Wananchi walalamikia hospitali ya Mwananyamala

MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Mwananyamala, Sophinias Ngonyani leo amejibu tuhuma za wananchi wakazi wa maeneo hayo waliokuwa wakiilalamikia harufu mbaya inayotoka hospitalini humo. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Aidha, ...

Read More »

Leticia atimkia CCM, Abwao aibukia ACT

WABUNGE Leticia Nyerere na Chiku Abwao – Viti Maalum Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekihama chama hicho. Anaandika Hamisi Mguta, DSJ … (endelea). Wakati Leticia akirudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...

Read More »

UKAWA: Lowassa mtu safi, wamkaribisha rasmi

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umemkaribisha Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli kujiunga na umoja huo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Rai ya kumtaka Lowassa ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu wawakutanisha majaji Arusha

MAJAJI kote nchini wamekutana Jijini Arusha kwa ajili ya kuwajengea uwezo namna watakavyozikabili pingamizi za uchaguzi hasa katika kipindi hiki ambacho Tanzania inaelekea katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Anaandika Ferdinand ...

Read More »

Dk. Shein kufungua maonyesho ya Nanenane

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonyesho ya wakulima Nanenane ambamo kitaifa itafanyika mkoani Lindi kuanzia agosti mosi . Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

TFDA yaipiga tafu Ilala

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imeikabidhi Manispaa ya Ilala madebe 100 ya kuhifadhia takataka. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). Msaada huo umekabidhiwa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, ...

Read More »

Rushwa yavuruga uchaguzi CCM, wagombea wagomea matokeo

WAGOMBEA 19 kati ya 22 wa ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma, wamegoma kusaini matokeo ya uchaguzi huo, wakidai kuwapo kwa mizengwe na rushwa. Anaandika ...

Read More »

Rais wa UKAWA hadharani

JUMUIKO la vyama vinavyounda muungano wa kutetea katiba ya Wananchi (UKAWA), linatarajiwa kumtangaza mgombea wake urais jioni hii, jijini Dar es Salaam. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka ndani ...

Read More »

Yanga yatinga robo fainali Kagame

PRESHA imeshuka. Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya ...

Read More »

Kigaila aula Chadema Dodoma Mjini

Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Oganaizeisheni na Mafunzo ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),imeibuka kidedea katika kura za maoni kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Dodoma Mjini. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

BVR Dar, rushwa nje nje!

IKIWA ni siku ya tatu leo, tangu zoezi la la uandikishaji wa Daftari la upigaji kura kutumia mfumo mpya wa Kielektroniki (BVR) kuingia Jijini Dar es Salaam rushwa imeonyesha kutawala ...

Read More »

RC Dar ahimiza sensa ya viwanda

SAID Meck Sadiq, Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam amevitaka viwanda vya Tanzania Bara kukamilisha taarifa za sensa kabla ya 31 Agosti mwaka huu, kabla ya hatua kali kuchukuliwa. Anaandika ...

Read More »

‘Jitoeni kwa watoto wenye mahitaji’

BALOZI wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku ameyataka mashirika mbalimbali kusaidia watoto wenye mahitaji maalum ili waweze kumuenzi aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela. Anaandika Hamisi Abdallah na Faki ...

Read More »

Zitto apigwa stop UKAWA

ZITTO Kabwe, kiongozi mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepata mapigo mawili kwa mpigo ndani ya kipindi cha wiki moja. Kwanza, chama chake kimezuiwa kujiunga na Jumuiko la vyama vinne vinavyounda ...

Read More »

Chadema yaja na mbinu mpya kudhibiti mamluki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimebuni mbinu mpya ya kudhibiti mamluki wanaochukua fomu za kugombea kupitia chama hicho kisha kutokomea nazo mitini. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Sasa watakaopitishwa ...

Read More »

Serikali yaiweka TABOA njia panda

KITENDO cha serikali kupandisha kodi ya mabasi kutoka asilimia 10 hadi 25, kimezua sintofahamu kwa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) na hata kutishia kugoma. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Awamu ya Pili ‘Wazazi Nipendeni’ yazinduliwa

WIZARA ya Afya imezindua kampeni ya awamu ya pili ya Wazazi Nipendeni inayolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu uzazi salama ili kupunguza vifo vya wajawazito na watoto. Anaandika Faki Sosi, ...

Read More »

Rotary Club yaikabili Maleria Arusha

CHAMA cha kujitolea cha Rotary Club Sunrise kimetoa msaada wa vifaa vya kisasa pamoja na dawa za kuharibu mazalia ya mbu katika Kata ya Elerai, Arusha. Anaandika Ferdinand Shayo, Arusha …(endelea). ...

Read More »

Wananchi waonywa kushabikia vyama

WANANCHI wametakiwa kuwachagua viongozi wenye nia ya kupeleka maendeleo kwao na sio kuchagua viongozi kwa ushabiki wa vyama. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo na mgombea ...

Read More »

Sefue: Watendaji serikalini kumbukeni wajibu wenu

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka watendaji wakuu wa serikali kutimiza wajibu wao katika kufanikisha uchaguzi mkuu ujao. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Ametoa angalizo hilo leo wakati ...

Read More »

RITA kufuta taasisi 76

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetoa siku 30 kwa taasisi ambazo hazijafanya mrejesho wa mwaka wa fedha na kukamilisha taarifa zake, vinginevyo zitafutwa. Anaadika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Waziri wa Fedha ajitosa ubunge Zanzibar

WAZIRI wa Fedha katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Saada Salum Mkuya, kwa mara ya kwanza ameingia katika kinyang’anyiro cha kusaka ubunge kwa uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika ...

Read More »

Lembeli arusha kete Chadema

Mbunge wa Kahama, James Lembeli akizungumza na waandishi wa habari juu uamuzi wake wa kugombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chadema

JAMES Lembeli, Mbunge wa jimbo la Kahama aliyemaliza muda wake, amekihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Pendo Omary … (endelea). Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

TIC kuwakusanya watanzania wa Ughaibuni

SERIKALI nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji (TIC), cha Kimataifa kinatarajia kufanya kongamano la Diaspora jijini Dar es salaam. Anaandika Sosi Faki, DSJ … (endelea). Aidha, kongamano hilo ...

Read More »

Polisi Pwani wanasa silaha

Kamishna wa Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, ACP Jafari Ibrahim akionesha silaha zilizokamatwa na jeshi hilo katika mapori ya mkoa huo

JESHI  la Polisi mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na wasamaria wema, limefanikiwa kukamata silaha mbalimbali zinazotumika katika matukio ya kihalifu katika mapori ya mkoa huo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Mbunge CCM asafiria nyota ya Magufuli

MGOMBEA ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Dodoma Mjini, Dk. David Malole, ametumia kigezo cha kusoma shule moja na mgombea urais kupitia chama hicho Dk. John Magufuli kuomba ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube