Monthly Archives: June 2015

Mnyika alianzisha bungeni

Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) leo ametibua upya mgogoro wa upatikanaji wa mafuta katika vituo vya kuuza mafuta nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mnyika aliibua suala hilo ikiwa ...

Read More »

Mramba, Yona kiporo

Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Fedha na Mipango, Gray Mgonja (kushoto), Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona (katikati) na Waziri wa zamani wa Fedha Bazil Mramba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam leo imeweka kiporo hukumu ya mawaziri waandamizi wa zamani, Basil Mramba, Daniel Yona na aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina, Gray Mgonja mpaka ...

Read More »

Mbunge CUF aichokonoa serikali

MBUNGE wa Mji Mkongwe, Muhammad Ibrahim Sanya (CUF) akizungumza na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli

MBUNGE wa Mji Mkongwe, Muhammad Ibrahim Sanya (CUF), ameitaka serikali kupiga marufuku unywaji wa pombe za kienyeji na za viwandani ili kuepuka ulevi uliopindikia nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika kimabavu

Maofisa wa Uchaguzi Burundi wakiwa tayari na vifaa vyao

HATIMAYE uchaguzi mkuu wa Burundi uliopingwa sio tu na wananchi bali nchi mbalimbali, umefanyika siku ya Jumatatu. Uchaguzi huu una utata kwani haukupata baraka za kimataifa, Umoja wa Afrika (AU), ...

Read More »

‘Zahanati Potea haikufuata ramani’

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Steven Kebwe

UJENZI wa Zahanati ya Kijiji cha Potea, Kata ya Pahi katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ulianzishwa kwa nguvu ya wananchi takiribani miaka 10 iliyopita. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Serikali yaonya vituo vya malezi ya watoto

Watoti wa kituo cha Mwandaliwa Orphanage kilichopo Bunju wakipokea msaada kutoka PSPF

SERIKALI imesema kuwa, itaendelea kuvifungia vituo vyote vya kulelea watoto waishio katika mazingira magumu ambavyo vinaendeshwa kwa kukwepa taratibu na kanuni za uanzishwaji wake. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli ...

Read More »

Wabunge 37 wapitisha muswada bungeni

Bunge likiwa halina wabunge wa kutosha

KATIKA hali inayoonesha wabunge wengi kuwa na homa ya uchaguzi, jana ni wabunge 37 pekee kati ya 354 ndio waliopitisha Mswada wa Sheria ya Masoko ya Bidhaa ya Mwaka 2015. ...

Read More »

Kamukara azikwa kifalme Muleba

Dada mkubwa wa marehemu Kamukara, Joyce akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga mdogo wake

HATIMAYE mwili wa Mhariri wa MwanaHALISI Online, Marehemu Edson Kamukara umezikwa leo nyumbani kwao katika kijiji cha Ihangiro, Muleba Kusini, mkoani Kagera. Anaandika Deusdedit Kahangwa, Muleba … (endelea). Katika mazishi ...

Read More »

Muswada Benki ya Posta wapita

Mwigulu Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani

KWA pamoja bunge limeridhia Muswada wa Sheria ya Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa mwaka 2015 uliolenga kufuta sheria iliyosajili benki hiyo ili sasa isajiliwe chini ya Sheria ya Makampuni. ...

Read More »

Soko Mawasiliano kufunguliwa Julai

Kituo cha daladala Mawasiliano

MENEJA wa Vituo vya Mabasi katika maeneo ya Mawasiliano, Makumbusho na Tegeta, Elichilia Hamis amesema, Soko Kuu la Mawasiliano linatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa Julai mwaka huu. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Bil 3.91 kusambaza umeme vijiji 13 Meatu

Mafundi umeme wakiwa kazini

SERIKALI imesema, kiasi cha Sh. 3.91 bilioni zinatarajia kutumika kwa ajili ya kupeleka umeme kwenye vijiji 13 vilivyopo katika Jimbo la Meatu. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Vijiji vitakavyonufaika na mradi ...

Read More »

‘Bia chupa 2-4 kwa siku basi’

Dk. Stephen Kebwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro

SERIKALI imesema, unywaji pombe kupindukia unasababisha watoto wengi kuzaliwa katika hali isiyo ya kawaida kiafya na kiakili. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mbali na hilo serikali imesema, unywaji mzuri wa ...

Read More »

Wabunge waumbuana bungeni

Mbunge wa Msoma Mjini (Chadema), Vicent Nyerere

MBUNGE wa Msoma Mjini, Vicent Nyerere (Chadema) amempa wakati mgumu Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeti Mbene kwa kumtaka kuthibitisha kauli yake bungeni kuwa, Serikali ya CCM imewadhulumu waliokuwa ...

Read More »

Mwelekeo Z’bar unatisha

Mbunge wa Jimbo la Mkanyageni, Injinia Mohamed Habib Mnyaa

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema, hali ya kisiasa Zanzibar inatisha baada ya vikosi vya ulinzi visiwani humo kupewa silaha kisha kuwapiga wananchi wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu ...

Read More »

Steve Nyerere atangaza nia ya kumng’oa Idd Azan Kinondoni

Steven Mengere 'Steve Nyerere'  (aliyenyoosha mkono) akiwa na mke wake na wanachama wengine wa CCM alipokuwa anatangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la ...

Read More »

Rais Karume ahofia vurugu Z’bar

Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume

RAIS Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume amesisitiza haja ya kulinda na kuendeleza amani iliyopo visiwani humo. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, suala la amani si jambo la ...

Read More »

Wasaka Urais CCM wafika 42

Kamati Kuu ya CCM itakayokuwa na jukumu la kuwachuja watia nia hao 42 na kumpata mmoja

ZIKIWA zimebaki siku nne kabla ya kufungwa kwa pazia la kuchukua fomu na kurejesha kwa ajili ya kutafuta wadhamini katika harakati za kugombea nafasi ya kuteuliwa kuiwakilisha CCM kwenye Urais Oktoba ...

Read More »

Wafanyabiashara magogo walia na serikali

Magogo yakiwa tayari kwa kusafirishwa baada ya kuvunwa

WAFANYABIASHARA wa mbao na magogo mkoani Lindi na Tanga wameiomba serikali kupunguza utitiri wa kodi. Anaandika Jimmy Mfuru, aliyekuwa Kilwa … (endelea). Ni kutokana na usumbufu unaochochea baadhi ya wafanyabiashara hao kufilisika ...

Read More »

Green guard wafunga ofisi UVCCM

Vijana wa Ulinzi wa CCM (Green Guard) wakiwa mafunzoni

HALI si shwari ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Magu, Mwanza (Green guard) baada ya umoja huo kufunga ofisi hizo kwa kufuli kuzuia katibu wake ...

Read More »

Kamukara afikishwa salama Muleba, kuzikwa kesho

Mwili wa aliyekuwa Mhariri wa MwanaHALISI Online, Edson Kamukara

MWILI wa aliyekuwa mhariri mwanzishi wa gazeti hili – MwanaHALISI Online – Edson Kamukara, umefikishwa salama kijijini kwao, Ihangiro, Muleba, mkoani Kagera. Anaripoti Desus Kahangwa, kutoka Muleba … (endelea).  Mwili ...

Read More »

Kafulila achukuliwa fomu ya Ubunge

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila

DAVID Kafulila, Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) anatarajiwa kupewa zawadi Sh. 5 milioni na Mtandao wa kampeni ya ” IPTL – Bring Back Our Money”. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Vigogo wamuaga Edson Kamukara

Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi akiaga mwili wa Marehemu Edson Kamukara

VILIO vimetawala katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakati wa kuaga mwili wa Edson Kamukara, Mhariri mwanzilishi wa MwanaHALISI Online. Anaripoti Sarafina Lidwino … (endelea). Kila ...

Read More »

Kubenea ammlilia Edson Kamukara

Mkurugenzi wa HHPL, Saed Kubenea akishindwa kujizuia akiwa anamuaga aliyekuwa mfanyakazi wake, Edson Kamukara

MKURUGENZI mtendaji wa Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), Saed Kubenea, ametaka waaandishi wa habari kuchunguza kifo cha Edson Kamukara, aliyekuwa mhariri mwanzishi wa gazeti hili. Akizungumza wakati wa kutoa heshima ...

Read More »

Wabunge, waandishi wamlilia Kamukara

Marehemu Edson Kamukara enzi za uhai wake

WAANDISHI pamoja na wabunge kwa ujumla wao wamesikitihwa na kifo cha mwandishi wa habari Edson Kamukara kilichotokea jana nyumbani kwake Mabibo jijini Dar Es Salaam. Wabunge wameonesha hisia zao juu ...

Read More »

Mhariri wa MwanaHALISI, Kamukara kuagwa kesho Leaders

Mwandishi Edson Kamukara enzi za uhai wake

MHARIRI mwanzilishi wa gazeti la hili, Edson Kamukara, anatarajia kuagwa kesho kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa nne asubuhi. Marehemu Kamukara ambaye alifariki dunia ...

Read More »

Mhariri MwanaHALISI Online afariki dunia

Marehemu Edson Kamukara enzi wa uhai wake akiwa kazini

MHARIRI mwanzilishi wa gazeti la hili, Edson Kamukara, amefariki dunia leo Alhamisi, majira ya saa 12 jioni, nyumbani kwake, Mabibo jijini Dar es Salaam.  Msiba wa marehemu Kamukara uko nyumbani kwa ...

Read More »

BVR yageuzwa biashara

Waandikishaji wakiwa kwenye foleni wa BVR

UANDIKISHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR), umechukua sura mpya kutokana na baadhi ya watu kuwauzia nafasi wengine katika vituo vya kujiandikishia. Anaandika Ferdinand Shayo ...

Read More »

Kasulumbayi: Serikali imeishiwa mbinu

Mbunge wa Maswa Mashariki (CHADEMA) Sylvester Kasulumbai

MBUNGE wa Maswa Mashariki, Slyvester Kasulumbayi (Chadema) amesema, serikali imeishiwa mbinu katika kubuni vyanzo vipya vya mapato. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na MwanaHALISIonline baada ...

Read More »

NACTE yafuta vyuo vitatu

Kaimu Katibu Mtendaji wa baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dk. Adolf Rutayuga akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Mitaala wa NACTE, Twilumba Mponzi

KATIKA jitihada za kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo vitatu na kuvishushia hadhi vyuo 16. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

JK mgeni rasmi vita dawa za kulevya

Rais Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasm katika siku ya maadhimisho ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Maadhimisho hayo ambayo kilele chake kitakuwa Juni ...

Read More »

Kamati za maafa zakumbushwa wajibu wao

Mji wa Bukoba, mkoani Kagera

KAMATI za kuratibu maafa katika ngazi ya Serikali za Mitaa zimetakiwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu ya menejimenti ya maafa ili kuweza kujenga jamii yenye uwezo wa kuzuia na kukabili maafa ...

Read More »

Simanjiro wachangia maji na wanyama

Mifugo ya Ng'ombe

WAFUGAJI kutoka Kata za Narakawo na Lobosiret zilizopo wilayani Simanjiro, wamelalamikia tatizo la uhaba wa maji hivyo kulazimika kuchangia maji na mifugo katika Bwawa la Narakawo. Anaandika Ferdinand Shayo … (endelea). ...

Read More »

Profesa Ngowi: Bajeti ya Serikali haitekelezeki

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Honest Ngowi

MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Honest Ngowi amesema anawasiwasi kuwa, bajeti ya serikali  2015/16  iliyopitishwa kwa kishindo bungeni haitatekelezeka. Anaandika Jimmy Mfuru … (endelea). Aidha, Ngowi amesema itakuwa ngumu ...

Read More »

Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameanza vibaya ziara yake wilayani Sengrema, Mwanza baada ya wananchi kumzomea. Anaandika Moses Mseti … (endelea). Hata hivyo, ...

Read More »

Nchi 25 kushiriki Sabasaba

Kiwanja cha Maonyesho cha Sabasaba

MAANDALIZI ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Sabasaba yamekamilika kwa asilimia 80 huku nchi 25 zikithibitisha kushiriki. Anaandika Jimmy Mfuru … (endelea). Mkurugenzi wa Mamlaka na Maendeleo ya Biashara Tanzania, ...

Read More »

Wajane wapaza sauti

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe (mwenye mawani) akiongoza maandamano ya Siku ya Wajane Duniani

LEO ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wajane Duniani, Chama Cha Wajane Tanzania (TAWIA) kimewataka wadau mbalimbali kujitokeza na kuwasaidia wajane. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Mwenyekiti wa ...

Read More »

Malkia Elizabeth awapa tuzo Watanzania

Malkia Elizabeth wa Uingereza

MALKIA Elizabeth wa Uingereza jana jioni aliwatunuku vijana wawili wa Tanzania tuzo ya kutambua mchango wa kama vijana ijulikanayo kama “Queens Young Leder’s Awards.” Anaandika Pendo Omary … (endelea). Waliotunukiwa ...

Read More »

NEC yaonya wanasiasa

Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewaonya wanasiasa wanaoingilia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kupitia mfumo wa mashine za kielektroniki (BVR) na kusababisha vurugu katika ...

Read More »

RC Mulongo awekwa kiti moto

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo

MADIWANI wa Manispaa ya Ilemela jijini hapa, wamemtaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kutoa majibu ya kina juu ya kushindwa kwenda safari ya kujifunza namna bora ya upangaji wa ...

Read More »

Bajeti 2015/16 yapita kwa kishindo

Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya akiingia bungeni kusoma bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16

BAJETI ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2015/16 imepita kwa zaidi ya asilimia 80, hata hivyo malalamiko ya wabunge wameendelea kutawala. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Sehemu kubwa ya malalamiko ...

Read More »

Hospitali ya Lugalo yapigiwa chapuo

Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Salum Msabaha

MBUNGE wa Viti Maalum, Maryam Salum Msabaha (Chadema) ameitaka serikali kutoa fedha za kutosha kwa ajili ya kukarabati majengo ya Hospitali ya Jeshi ya Lugalo na kupata vifaa vipya vya ...

Read More »

Sakata la utoroshwaji wanyama hai laibuka

Wanyama wa Twiga ambao ni sehemu ya wanyama waliotoroshwa 2010

SAKATA la utoroshwaji wa wanyama hai katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) limeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Christowaja Mdinda (Chadema) kuliibua. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Mwenyekiti TAHLISO kuburutwa kortini

Chuo Kikuu cha Dodoma

UONGOZI wa Serikali ya Wanafunzi Kitivo cha Elimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), unatarajia kumburutwa mhakamani Mwenyekiti wa Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), John ...

Read More »

MOAT yakomalia muswada wa habari

Mwenyeki wa MOAT Dk. Reginald Mengi

WAKATI  Serikali ikiendelea kuweka vikwazo na kutaka kupitisha muswada wa vyombo vya habari kwa nguvu, Wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania (MOAT), wamesema wanauhakika kwamba  hautapitishwa Bungeni pasipokujadiliwa upya. Anaandika ...

Read More »

Tanzania kuongoza Afrika Mashariki katika mawasiliano

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akiwa na Naibu wake, Januari Makamba

JUMLA ya Dola za Marekani Milioni 170 na Sh. Bil 17.71 zimetumiwa katika uwekezaji kwenye ujenzi wa mkongo wa taifa katika awamu ya kwanza na ya pili. Anaadika Dany Tibason ...

Read More »

TPA Dar yachangia Mil 209.87

Magari yakiwa katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam yakisubiri kuchukuliwa na wahusika

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imechangia jumla ya Sh. Milioni 209.87 kwa ajili ya huduma za jamii na majanga kwa Mkoa wa Dar es Salaam pekee. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Mbunge akerwa na majibu ya serikali

Sehemu ya mawaziri wa CCM

MBUNGE wa Viti Maalum, Clara Mwatuka (CUF) amedai kuwa, mawaziri wengi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekuwa na tabia ya kutoa majibu yasiyoridhisha kutokana na kutojiandaa. Anaandika Dany ...

Read More »

Serikali yakiri ahadi za Kikwete kutokamilika

Rais Jakaya Kikwete

SERIKALI imekiri kuwepo kwa ahadi nyingi za Rais Jakaya Kikwete ambazo hazijakamilika mpaka sasa. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Hata hivyo serikali imesema, inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha ahadi hizo zinakamilika ...

Read More »

‘Wasaka urais CCM walaghai’

Mtangaza nia Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Nyamagama, Ezekiel Wenje

MBUNGE wa Jimbo la Nyamagana, Mkoa wa Mwanza (Chadema), Ezekiel Wenje amesema, wasaka Urais ndani ya CCM ni walaghai kwa kuwa, hawana sifa na vigezo vya kuwatumikia wananchi. Anaandika Moses ...

Read More »

LHRC yaonesha njia Viti Maalum

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za 
Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), 
akizungumza katika mkutano na waandishi wa 
habari. Kulia ni Ofisa Mipango wa Jinsia na 
Watoto wa LHRC, Naemy Sillary

WABUNGE wa Viti Maalum wametakiwa kuhakikisha kuwa, utaratibu wa kuwapata unawekwa kisheria ili wasidharauliwe na jamii. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mkurugenzi wa Utetezi wa Kituo cha Haki za Binadamu ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube