Monthly Archives: May 2015

Mwakyembe: Lowassa hana sifa ya kuwa Rais

WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameapa kupambana kufa au kupona, kumzuia Edward Lowassa, kuingia Ikulu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika andishi lake alilolituma ...

Read More »

SIKIKA waivaa Serikali upungufu wa dawa

SERIKALI imetakiwa kuongeza fedha za kutosha kwa ajili ya vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa nchini unaongezeka kufikia asilimia 80 kama inavyotarajiwa na Mpango ...

Read More »

Lowassa aja na mchaka mchaka wa maendeleo

EDWARD Lowassa- Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, ametangaza rasmi nia ya kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea urais, huku akijipambanua kwamba anataka kuleta uongozi wa mchaka ...

Read More »

Mbwembwe si kipimo cha uongozi- wasomi

WACHAMBUZI wa masuala ya kisiasa, wamekosoa mbwembwe zinazofanywa na baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotangaza nia ya kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia chama hicho, wakisema sio ...

Read More »

Makonda ahimiza wananchi kujiajiri

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amewashauri Watanzania kuiga mfano kwa wawekezaji ili kujikwamua na umasikini badala ya kuilalamikia Serikali kwamba haitoi fursa za ajira. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Maalim Seif aahidi neema Z’bar

MOJA ya hoja kuu alizozitoa Maalim Seif Shariff Hamad katika kuendelea kusaka urais wa Zanzibar ni kukubalika kwake kutokana na imani ambayo haijachuja aliyopewa na Wazanzibari. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Bandari, mabehewa vyamtoa jasho Sitta

UJENZI wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam na ununuzi wa mabehewa chakavu ya treni ni mambo yaliyotawala mjadala wa Bunge wakati wa kujadili bajeti ...

Read More »

Uamsho wamlima barua Pinda

WIKI mbili baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kulieleza Bunge kuwa, hana taarifa za kunyanyaswa kwa viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, wanaokabiliwa na kesi ya ...

Read More »

Nyerere alijua CCM itaanguka

KIMSINGI Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, alishakichukia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miaka michache kabla ya kifo chake, japo hakupenda kianguke akingali hai.  Nyerere aliposema bila CCM imara Tanzania ...

Read More »

Kafulila: Serikali ya CCM ni “misheni town”

DAVID Kafulila- Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ameivaa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema imechafua taswira ya Tanzania nje ya nchi kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya ufisadi. Anaandika ...

Read More »

Pinda: Kuandika wosia sio uchuro

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wananchi kujijengea desturi ya kuandika wosia na kuorodhesha mali zao kabla ya kifo ili kuondoa migogoro katika familia. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Pinda ametoa wito ...

Read More »

Membe ahofu ugaidi Mashariki ya kati

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amekiri kuwa kushamili kwa vitendo vya kigaidi katika nchi za Mashariki na Kati, kunaleta tishioa la amani kwa nchi ...

Read More »

Mwakyembe: Tumedhibiti uchochezi wa kidini

DAKTA Harrison Mwakyembe- Waziri wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ameliambia Bunge kuwa, kutokana kuwepo kwa viashiria vya uchochezi wa kidini, wizara yake iliratibu kongamano la viongozi wa kidini ...

Read More »

Lishe ipewe kipaumbele-PANITA

SERIKALI ijayo imetakiwa kuliweka suala la lishe kuwa sehemu ya vipaumbele vyake. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na washiriki wa mkutano wa kujadili suala ...

Read More »

Z’bar wahoji manufaa ya ziara za marais

SERIKALI imebanwa ieleze Zanzibar inanufaikaje na misaada inayotolewa na marais wa matifa marafiki wanapotembelea Tanzania kama alivyofanya Rais Barack Obama wa Marekani. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Swali hilo limeulizwa bungeni ...

Read More »

Prof. Kahigi ahoji huduma za afya

MBUNGE wa Bukombe, Prof. Kulikoyela Kahigi (Chadema), amesema kitendo cha Serikali kulimbikiza deni la Bohari Kuu ya Madawa (MSD), kimesababisha huduma za afya kwa akina mama na watoto chini ya ...

Read More »

‘Tutaondoa vikwazo kwa wanafunzi wa kike’

SERIKALI imesema imejipanga kuondoa vikwazo mbalimbali vinavyowakumba wanafunzi wa kike pindi wanaposhindwa kuhudhuria masomo yao ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao walizojiwekea. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo jijini ...

Read More »

Sugu akomalia uhuru wa habari

KUMINYWA kwa uhuru wa habari na maslahi duni ya wanahabari ni mjadala ambao umetawala Bunge wakati wa kujadaili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na ...

Read More »

Mazingira bado tete-Waziri

WAKATI Tanzania inajiandaa kuadhimisha siku ya mazingira duniani, bado changamoto zinazoathiri mazingira zimeendelea kuongezeka. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Dk. ...

Read More »

Bunge lamvaa JK ripoti ya tokomeza

BUNGE limeitaka Serikali iweke hadharani ripoti ya Tume ya kimahakama iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kuchunguza kilichojiri wakati wa Operesheni Tokomeza. Anaandika Dany Tibason …(endelea). Akiwasilisha maoni na mapendekezo ya Kamati ...

Read More »

Mbassa apinga mizengwe BVR

DAKTA Antony Mbassa – aliye mbunge wa Biharamulo (Chadema), ameitaka Serikali ieleze kwanini uandikishaji katika daftari la kudumu la mpiga kura umekuwa na mizengwe na kusababisha wananchi kukata tamaa. Anaandika ...

Read More »

Rwamlaza ataka shule zihamishwe

MBUNGE wa Viti Maalum, Conchesta Rwamlaza (Chadema), amehoji Serikali  ina mpango gani wa kuzihamisha shule za msingi Tumaini na Zamzam katika Manispaa ya Bukoba, ambazo zipo karibu na uwanja wa ...

Read More »

Waathirika wa ajali fungueni kesi-Serikali

SERIKALI imesema wale wote wanaopata ajali wakiwa katika vyombo vya makampuni ya usafirishaji, wana uwezo wa kufungua mashauri ya madai ndani ya miaka mitatu tangu kupata ajali hiyo. Anaandika Dany ...

Read More »

‘Wajawazito hawajifungulii vituoni’

SERIKALI imesema vifo vingi vinavyotokana na uzazi vinasababishwa na wajawazito kutojifungulia katika vituo vya afya. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenister ...

Read More »

Ukawa wamlipua Magufuli bungeni

VYAMA vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba (Ukawa) vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, vimemshambulia Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magofuli kuwa, amekuwa akiainisha miradi mingi ambayo utekelezaji wake haukamiliki kutokana ...

Read More »

Siku ya uchaguzi yamponza waziri

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenister Mhagama, amepata wakati mgumu alipokuwa akitetea kuwa, siku ya Jumapili haiwezi kubadilishwa kuwa ya kupiga kura hadi pale ...

Read More »

Wanasiasa watajwa mauji ya albino

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereila Ame Silima, amesema huenda kuna ukweli wa wanasiasa kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino). Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

EAG yaleta maonesho ya wadau wa makazi

KATIKA kuendeleza harakati za kupambana na umaskini nchini, hasa katika sekta ya nyumba na makazi, Kampuni ya Tanzania Home Expo (EAG GROUP), inatarajia kuwa na maonyesho makubwa yatakayokutanisha wananchi na ...

Read More »

Ukiukwaji haki za binadamu wakithiri

RIPOTI ya Haki za Binadamu ya mwaka 2014, imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam, ikionesha kuwepo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki ya kuishi za Watanzania. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Ripoti ...

Read More »

JK aongeza ahadi kwa walimu

RAIS Jakaya Kikwete amewaahidi walimu kuwa watarajie nyongeza ya mishahara itakayoanza Agosti mwaka huu, ikiwa ni moja kati ya jitihada za Serikali katika kuboresha maslahi yao. Ferdinand Shayo, Arusha … (endelea). ...

Read More »

CAF yaipa uenyeji Tanzania fainali U-17

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika -CAF leo hii limeipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika ya vijana umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Uenyeji huu ...

Read More »

Lowassa ajipalia makaa CCM

SIKU moja baada ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, kuzungumza na waandishi wa habari na kumbeza Rais Jakaya Kikwete, kuhusu sera ya kilimo na makada wa CCM, Samuel Sitta na ...

Read More »

MOAT wajipanga kuzui muswada wa habari

WAMILIKI wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), wameupinga Muswada wa Sheria ya vyombo vya habari unatarajiwa kusomwa bungeni mara ya pili katika mkutano wa Bajeti unaoendelea. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Bavicha yaita vijana kugombea ubunge

BARAZA la Vijana Taifa wa Chadema (Bavicha), limewataka vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao Oktoba mwaka huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea).. Akizungumza ...

Read More »

CUF wainanga CCM Kondoa

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), aliye pia Mbunge wa Viti Maalum, Magdalena Sakaya, amesema kuwa umasikini uliokithiri kwa Watanzania unatokana na utawala mbovu wa Chama Cha Mapinduzi. ...

Read More »

Bil. 105/- kupanua uwanja Mwanza

JUMLA ya Sh. 105 bilioni zimekadiriwa kutumika katika mradi wa upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Mwanza. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Waziri wa Uchukuzi, ...

Read More »

Waonywa matumizi ya mifuko ya plastiki

WANANCHI wameshauriwa kutotumia mifuko ya plastiki na vifungio vyake kwa ajili ya kuwekea au kuifadhi chakula na badala yake watumie vifungashio vya glasi na chuma isiyoshika kutu na vyombo vingine ...

Read More »

Lyimo ahoji fedha za ukarabati

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzan Lyimo (Chadema), ameihoji serikali na kuitaka ieleze ni kwanini fedha inayotengwa kwa ajili ya ukarabati wa vyuo vya zamani haifiki kwa wakati. Katika swali lake ...

Read More »

Picha za mauaji Kenya zaumiza wahariri

USIOMBE kuona picha za mwenendo wa matukio ya ghasia yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya wa Disemba 2007. Zinaumiza kuliko kawaida, kuliko mtu unavyoweza kufikiria. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea) . ...

Read More »

‘Walimu 106,753 wamepanda vyeo’

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imesema kuwa imekuwa ikitoa miongozo ya kusimamia utoaji wa  mikopo ya elimu ya juu kwa fani mbalimbali ikiwemo ya ualimu. Anaandika Dany Tibason ...

Read More »

Taifa Stars kuingia kambini kesho kuwawinda Misri

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuingia kambini kesho jumatano katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri ...

Read More »

Shivji: Msitafute madaraka bila malengo

MHADHIRI mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Issa Shivji, amevionya vyama vya siasa vinavyotafuta madaraka bila kujua lengo mahususi ya wanaotaka kuwaongoza. Anaandika Pendo Omary … (endelea).  ...

Read More »

Lowassa “aanza vita” na Kikwete

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond mwaka 2008, Edward Lowassa ameanza safari ya kujiimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwashambulia waziwazi viongozi wenzake, akiwemo ...

Read More »

TAS walalamika kutengwa

CHAMA cha Albino Tanzania (TAS), kimeilalamikia Serikali, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kwa kutowashirikisha katika kupanga bajeti maalum kwa ajili ya kushughulikia saratani ya ngozi ambayo inaendelea ...

Read More »

Mengi akomalia Ikulu

MWENYEKITI wa makampuni ya IPP, Regnald Mengi ameendelea kung’ang’ania kuwa, kauli zinazotoka Ofisi ya Rais Ikulu, zinazidi kumpa wasiwasi na hofu kubwa katika maisha yake. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Mengi ...

Read More »

Wadau: Ratiba ya NEC inaibeba CCM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea urais, ubunge na madiwani, kampeni na siku ya kupiga kura huku ikiacha mashaka makubwa. Anaandika Edson Kamukara … ...

Read More »

Unafki wa Prof. Kitila huu hapa

NIMESOMA makala ya Dk. Kitila Mkumbo, iliyobandikwa kwenye mitandao ya kijamii inayosema, “CCM kinaimarika, Chadema kinasinyaa na CUF kinakufa.” Kwa maoni ya Dk. Kitila, pamoja na Chadema kukubalika mbele ya ...

Read More »

Kura za maoni: Vigogo CUF waanguka

MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS), kutoka Chama cha Wananchi (CUF); wabunge wengine kadhaa wakongwe wa chama hicho na baadhi ya wawakilishi, wameangukia pua katika kura za maoni za ...

Read More »

Noorj apewa mtihani mwingine, Wambura azidi kuula TFF

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imempa nafasi moja ya mwisho kocha wa timu ya taifa, Mholanzi Mart Nooij juu ya mwenendo mbaya wa timu hiyo. Kamati ...

Read More »

Mwalimu ainanga CCM

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalimu, amekivaa Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema kinatumia vibaya rasiliamali za taifa. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube