Monthly Archives: April 2015

Bajeti 2015/16 kugharamia uchaguzi, umeme, maji

Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya akiwa na begi la bajeti ya mwaka jana

SAADA Mkuya- Waziri wa Fedha na Uchumi, ametoa mwelekeo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, akisema itaweka kipaumbele katika kugharamia uchaguzi mkuu na kukamilisha miradi inayoendelea na ...

Read More »

Boti ya Tanzania yanaswa na unga Scotland

Boti ya Hamal Zanzibar ikiwa chini ya ulinzi na meli ya ulinzi ya Scotland baada ya kukutwa na dawa za kulevya

BOTI yenye usajili wa Tanzania, imekamatwa kwenye Bahari ya Kaskazini na baada ya kupekuliwa katika bandari ya Arberdeen huko Scotland, imekutwa na shehena ya dawa zakulevya. Anaandika Benedict Kimbache … ...

Read More »

Ubunge waipasua CCM Bukoba Vijijini

Nazir Karamagi

BAADA ya mgogoro kati ya Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki na aliyekuwa Meya wa Manispaa hiyo, Dk. Anatory Amani, kukiathiri Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hivyo kufanya vibaya ...

Read More »

Mawakala wa ajira wagomea Serikali

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka

MAWAKALA Binafsi wa Huduma za Ajira, wameendelea kukiuka agizo la Serikali la kutokodisha wafanyakazi na badala yake kampuni wanazozifanyia kazi ndizo zinatakiwa kuingia nao mikataba. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Serikali ...

Read More »

Shilingi ya Tanzani hoi, Mbatia aonya

Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi, James Mbatia akizungumza na waandishi wa bahari leo jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) kuhusu kuporomoka kwa thamani ya Shilingi.

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetakiwa kutoa fedha za kigeni kwenye mzunguko ikiwa ni hatua ya haraka ya kukabilina na kuporomoka kwa thamani ya shilingi. Anaandika Pendo Omary …(endelea). Mbali na ...

Read More »

Lema: CCM wanataka kumbakiza JK hadi 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

GODBLESS Lema-Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), amewasihi wananchi kuipigia kura ya ‘hapana’ Katiba inayopendekezwa, akidai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinataka kutumia udhaifu wa katiba hiyo kumbakiza Rais Jakaya Kikwete, ...

Read More »

Kafulila apata tuzo ya kufichua Escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila akipokea tuzo ya Utetezi wa Haki za Binadamu kutoka kwa THRD

DAVID Kafulila-Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ametunukiwa tuzo na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRD), akiwa miongoni mwa watu watatu ambao wamefanya kazi katika mazingira magumu kwa ...

Read More »

Mtaala wa urekebishaji wahalifu wakamilika

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Sifuni Mchome (katikati) akifungua kikao cha wadau kujadili mitaala ya mafunzo ya urekebishaji wafungwa. Wa pili kushoto ni Kamishina wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Juma Malewa. Kikao hicho kimefanyika katika hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam.

JESHI la Magereza nchini, limetakiwa kuzingatia mawazo yatakayotolewa na wadau katika kukamilisha maandalizi ya mitaala ya mafunzo ya urekebishaji wa wahalifu. Anaandika Pendo Omary…(endelea). Rai hiyo imetolewa na Prof. Sifuni ...

Read More »

Uhusiano wa lishe na magonjwa sugu

Aina ya maumbo ya epo na peasi

MAGONJWA sugu yasiyo ya kuambukiza yana mahusiaano makubwa na mtindo wa maisha na ulaji usiofaa. Zamani magonjwa haya yalikua yanaonekana kama ni magonwa ya watu wenye umri mkubwa lakini sasa ...

Read More »

Tanzania kushiriki maonyesho Italia

Uwanja wa maonesho ya Saba Saba

MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), imesema Tanzania ni miongoni mwa nchi 149 zitakazoshiriki maonyesho makubwa ya Dunia ya Expo Milan 2015 nchini Italia. Anaripoti Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Yanga kukabidhiwa Kombe mechi yao dhidi na Azam

Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa msimu 2014/15

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetarajiwa kuwakabidhi Kombe la Ubingwa Yanga katika mchezo wake dhidi yao na Azam FC utakaochezwa Mei 6, 2015 kwenye Uwanja wa Taifa jijini ...

Read More »

Wakuu wa vyuo vya kodi kukutana Tanzania

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)

TANZANIA imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza wa wakuu wa vyuo vya uongozi wa kodi barani Afrika, pamoja na wakuu wa mafunzo katika taasisi za kodi. Anaandika ...

Read More »

Majangili kuwindwa kwa silaha za kivita

Waziri wa Maliasili na Utalii,  Lazaro Nyalandu akikagua askari wa wanyamapori alipotembelea chuo cha wanyamapori Pasiansi jijini Mwanza

WANAFUNZI wanaosomea uhifadhi wa wanyamapori, kwa sasa wataanza kujifunza kutumia silaha za kivita ili kukabiliana na ujangili kwa kutumia vifaa vya kisasa zaidi. Anaandika Mwandishi wetu, Mwanza … (endelea). Waziri ...

Read More »

Polisi “wamkumbatia” Chenge

Andrew Chenge

JESHI la Polisi mkoani Simiyu, limemkingia kifua Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge (CCM), kwamba bastola yake sio iliyotumika kufyatua risasi hewani kuwatisha wafuasi wa Chadema kama inavyodaiwa. Anaandika Yusuf ...

Read More »

Kahangwa apewa fomu ya urais NCCR-Mageuzi

Faustin Sungura (katikati), Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi NCCR – Mageuzi akimkabidhi fomu ya kugombea urais mwakilishi wa Dk. George Kahangwa, Mawazo Athanas (kushoto) ambaye ni Katibu Mkuu Vijana Taifa wa chama hicho.

CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimemkabidhi, Dk. George Kahangwa, Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa chama hicho, fomu ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Anaandika Pendo ...

Read More »

Limbu: Jaji Mutungi ‘amenunuliwa’ na Zitto

Anayejiita Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Lucas Limbu

LUCAS Kadawi Limbu, mwenyekiti wa taifa wa chama cha siasa cha ACT-Tanzania, ameibuka na kumtuhumu Msajili wa vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuingilia mwenendo wa kesi ya madai dhidi ...

Read More »

Waziri Mukangara ‘akimbia’ waandishi

Fenella  Mukangara Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

FENELLA Mukangara-Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, ametia doa hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2014, zinazoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). ...

Read More »

Miaka 51 ya Muungano, Lamudi yahimiza uwekezaji

Marais wa Tanganyika na Zanzibar, Julius Nyerere (kushoto) na Aman Abeid Karume wakisaini hati ya Muungano

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imeungana na Watanzania wote kusherekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, huku ikihamasisha wawekezaji kutoka ndani na nje kuwekeza visiwani Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa ...

Read More »

Maleria bado tishio Afrika

Mbu wanaoeneza maleria

Leo tarehe 25 Aprili 2015 Tanzania inaungana na mataifa mengine  dunia kuazimisha Siku ya Malaria Duniani. Siku hii imeanzishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kutoa nafasi kwa wadau ...

Read More »

Madereva kugoma tena Aprili 29

Katibu Mkuu wa Chama cha Madareva Tanzania (TTDA), Rashid Sahel

UMOJA wa Madereva Tanzania (TTDA), wamepanga kumwandikia barua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuomba akutane nao kusikiliza kilio chao, baada ya Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka kupuuza matakwa yao. ...

Read More »

THBUB: Tanzania isaidiwe mauaji ya Albino

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Nyanduga

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wameiomba Jumuiya ya kimataifa kuunga mkono Serikali ya Tanzania katika mapambano yake dhidi ya ukatili na ...

Read More »

Mbowe apeleka “moto” Kanda ya Ziwa

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara

KATIKA kujiimarisha kukamata dola Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameanza ziara ya siku sita mikoani, ukiwa ni mwendelezo wa uzinduzi wa program ...

Read More »

Azzan, Mkullo, Misanga “wachemsha”

Mbunge wa CCM Wilaya ya   Kilosa, Mstaafa Mkulo

UTAFITI wa Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo na Kuondoa Umaskini (Repoa) umebaini kuwa majimbo matatu ya ya Kinondoni, Singida Magharibi na Kilosa, yametumia vibaya fedha za mfuko wa jimbo (CDF). ...

Read More »

Chadema yaibwaga tena CCM

Suzan Kiwanga

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa mara nyingine tena kimekibwaga Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kesi ya kupinga matokeo ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kihonda Maghorofani. Anaandika ...

Read More »

Kenyatta asimamisha vigogo wa ufisadi

Rais Uhuru Kenyatta

RAIS Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa Shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya Bunge kupitisha muswada unaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mjibu wa ...

Read More »

Mrema ageukwa TLP

Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema akifungua mkutano mkuu.

LICHA ya tambo za Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP) Taifa, Augustine Mrema kuwa ameombwa na Kamati Kuu kutetea nafasi yake katika uchaguzi unaofanyika leo, baadhi ya wanachama wanapinga mkutano ...

Read More »

Ilala kukusanya bilioni 58/-

Afisa uhusiano wa manispaa ya Ilala wa kwanza (kushoto) akizungumza na waandishi

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala imepanga kukusanya Sh. 30 bilioni kutoka vyanzo vyake vya ndani, ambavyo ni kodi ya majengo, leseni za biashara, ushuru wa mabango na kodi ya huduma ...

Read More »

Miaka 16 gerezani imenipatia ujuzi

Donald Nyondo, akiwa kazini kwake.

“Tuliteka gari na kuliiba. Baada ya tukio hilo tukiwa mjini tukakamatwa na kufikishwa polisi na baadaye kupelekwa mahakamani, tukikabiliwa na kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha. Maisha yangu yalikuwa ya ...

Read More »

Dk. Slaa arejea kwa kishindo

Dr. Willibrod Slaa (katikati) – Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akizungumza na wanachama wa chama hicho, mara baa ya kurejea kutoka nchini Marekani kwa ziara ya siku 10.

DAKTARI Willibrod Slaa – Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ni mchezo wa kisanii. Anaandika pendo Omary….(endelea). ...

Read More »

Moyo: Sitapigania uanachama wangu CCM

Mwanasiasa Mkongwe nchini na muasissi wa siasa za maridhiano Zanzibar, Nassor Hassan Moyo

MWANASIASA mkongwe nchini na muasissi wa siasa za maridhiano Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, ambaye jana alinyang’anywa uanachama wake katika Chama cha Mapinduzi (CCM) alichoshiriki kukianzisha 5 Februari 1977, amesema hatapigania ...

Read More »

‘Wanaoharibu mazingira washughulikiwe’

Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akizindua ripoti ya hali ya mazingia.

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amezindua ripoti ya pili ya hali ya mazingira nchini ya mwaka 2014, na kuziagiza mamlaka husika kuwachukulia hatua waharibifu wa mazingira. Anaripoti Sarafina ...

Read More »

Sheria hii isaidie kudhibiti dawa za kulevya

Baadhi ya  dawa za kulevya

HIVI karibuni Bunge lilitunga na kupitisha Sheria mpya ya Kupambana na Kuthibiti Dawa za Kulevya ya mwaka 2015 (The Drugs Control and Enforcement Act, 2015). Anaandika Pendo Omary…(endelea). Awali tatizo la ...

Read More »

Watanzania wako tayari kununua utumwa?

Wananchi wakishiriki uchaguzi waviongozi wao

TUNAPOELEKEA katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, Watanzania wanapaswa kujiuliza kama wako tayari kuuza uhuru wao na kununua utumwa kwa kukubali kudanganywa kwa fedha na maneno matamu. Wako viongozi wabovu ambao wako ...

Read More »

Nimeitwa kuitumikia Chadema

MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Morogoro, James Samson Mabula (Power Mabula) akiwa Jukwani akimwaga Sera za Chadema.

MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Morogoro, James Mabula, amesema ameitwa na Mungu kukitumikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Bryceson Mathias, Morogoro… (endelea). Akizungumza katika ...

Read More »

Mrema ang’ang’ania TLP yake

Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema akiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Nancy Mrikaria.

AUGUSTINE Lyatonga Mrema – Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), amesema hang’oki kwenye wadhifa huo licha ya baadhi ya watu kudai amechoka kiumri.Anaandika Pendo Omary….(endelea). Badala yake, ...

Read More »

Watanzania 23 wahifadhiwa A. Kusini

Raia wa Afrika kusini wakimshambulia, raia wa kingeni

TANZANIA imesema haina takwimu za idadi rasmi ya Watanzania waishio nchini Afrika Kusini – nchi ambayo imekubwa na machafuko ya uvamizi kwa wegeni wanaotoka mataifa ya Afrika. Anaandika Pendo Omary…(endelea) ...

Read More »

UCSAF kuunganisha shule kwa inteneti

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia profesa Makame Mbarawa, akizungumza na waandishi wa habari. (hawapo pichani)

MFUKO wa mawasiliano kwa wote (UCSAF), umesaini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijni na maeneo maalumu ya mipakani awamu ya pili, na mradi wa kuunganisha intaneti kwenye shule ...

Read More »

Morsi atupwajela miaka 20

Rais wa zamani wa Misri, Mohammed Morsi

MAHAKAMA nchini Misri, imemhukumu aliyekuwa Rais wa zamani, Mohammed Morsi kifungo cha miaka 20 jela kutokana na mauaji ya waamdamanaji wakati akiwa madarakani. Imeripoti  na Shirika la Utangazaji la Uingereza ...

Read More »

Wyndham yafungua hoteli Tanzania

Hoteli ya Ramada Resort

SHIRIKA la Hoteli la Wyndham, ambalo linaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya hoteli na moja kati ya vitengo vitatu vya kibiashara vya Kampuni ya Wyndham Worldwide, limefungua hoteli ...

Read More »

TaESA kulinda ajira za Watanzania nje

Afisa habari wa  TaESA,  Jamila Mbarouk

WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA), umeboresha utaratibu wa kuajiri Watanzania nje ya nchi ili kuepukana na kero zinazowakabiri wanapokwenda kufanya kazi huko. Anaandika Sarafina Lidwino….(endelea) Kwa mujibu wa ...

Read More »

Shule zasotea ruzuku

Mkurugenzi wa Haki Elimu Elizabeth Misokia

UFUATILIAJI wa Shirika la Hakielimu, umeaonesha kuwa kwa robo tatu za mwaka wa fedha, iliyoishia 31 Machi mwaka huu, Serikali imeweza kutoa asilimia tisa tu ya Sh. 10,000 kwa shule ...

Read More »

Kujua bei, makato ya mikopo ya nyumba sasa mtandaoni

Ramani ya Mradi wa DEGE Kigamboni

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imeanzisha programu maalum ya kikokotoleo cha mikopo nyumba, ambacho kitamwezesha mteja kujua kiasi cha kulipa na muda atakaolipa kupitia kwenye mtandao wa kampuni hiyo. Anaandika Erasto ...

Read More »

Lamudi watangaza utalii wa Tanzania

Bonde la Ngorongoro

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imewahimiza Watanzania kutembelea katika maeneo ya Utalii ikiwa ni sehemu ya kutangaza maeneo yenye vivutio. Lamudi imejitolea kutangaza maeneo ya kuvutia ndani ya Tanzania ambayo familia ...

Read More »

Lowassa ahofia CCM, agoma kuongea kwenye bonanza

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa katika maandamano ya kupinga mauaji ya Maalbino yaliyofanyika kwenye Viwanja vya TCC Chang'ombe, Temeke

EDWARD Lowassa, waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, amekiogopa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM) – na kushindwa kueleza hatima ya kinachoitwa, “kushawishiwa kugombea urais, katia uchaguzi mkuu ...

Read More »

Sitta apangua tuhuma za Zitto

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta (kulia) akiwa na Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi (katikati) na Mbinge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe wakiwa nje ya jengo la Bunge

TUHUMA za ufisadi zilizotolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe dhidi ya Serikali katika mradi wake mpya wa Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) Tanga, ...

Read More »

Yanga wabanwa mbavu nyumbani

Wachezaji wa Yanga wakimdhibiti mshambuliaji wa Etoile du Sahel katika mchezo wao wa leo Taifa

WAWAKILISHI pekee wa michuano ya kimataifa nchini, Yanga leo wameshindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Etoile du Sahel ya Tunisia katika mchezo ...

Read More »

Simba yaendeleza uteja kwa Mbeya City

Wachezaji wa Mbeya City wakichuana na Simba

TIMU ya Simba SC leo imedhihirisha kuwa ‘wateja’ kwa Mbeya City baada ya kukubali tena kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu za Sokoine, ...

Read More »

Waandishi 53 kuchuana EJAT

Makamo wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilali

BAADA ya uchambuzi wa kazi 959 zilizowasilishwa, hatimaye majaji wameteua jumla ya waandishi 53 watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2014, zilizoandaliwa na ...

Read More »

‘ACT-Wazalendo wanamhadaa Nyerere’

Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,  akihutubia mkutano mjini Kahama.

CHAMA kipya cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), kimeasisi kauli mbiu ya “kufuata falsafa ya Mwalimu Nyerere. Miongoni mwa wanachama wake waliojiunga hivi karibuni pamoja na Zitto Zuberi Kabwe ...

Read More »

Sitta amng’oa rasmi Kipande PTA

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akizungumza na waandishi wa habari

SAMUEL Sitta-Waziri wa Uchukuzi, amemng’oa rasmi aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (PTA), Madeni Kipande, ambapo sasa anarejeshwa idara kuu ya utumishi ili kupangiwa majukumu mengine. Anaandika Sarafina ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube