Monthly Archives: March 2015

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu muswada wa Mahakama ya kadhi

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjiri la Kirutheri, Dr. A. G Malasusa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSIANA NA MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI Sisi, Maaskofu kutoka TEC, CCT na CPCT tumekutana leo tarehe Machi 30, ...

Read More »

Mabati yasiyokidhi viwango yaingizwa na kusambazwa

Mabati yakiwa sokoni tayari kwa kuuzwa

SERIKALI imeshidwa kuwajibika katika kuzuia kasi ya uingizwaji nchini wa bidhaa sizokidhi viwango vya ubora. Anaandika Pendo Omary .… (endelea). Kutokana na uzembe huo, kampuni ya Uni Metal East Africa ...

Read More »

Wadau wasusia kikao cha kanuni za usalama

Inspekta, Deus Sokoni akiwasilisha sheria mpya za Usalama barabarani zitakazoanza kutumika kesho nchi nzima

UMOJA wa wasafirishaji mizigo (TATOA) na umoja wa madereva wa mabasi Tanzania (UWAMATA), wamesusia kikao cha Baraza la Taifa la usalama barabarani, baada ya kutofautiana wakati wa uwasilishwaji wa kanuni ...

Read More »

Wafanyakazi Mtibwa Sukari watinga kwa Pinda

Sehemu ya shamba la miwa la Mtibwa

KATIKA kupinga kinachoitwa “ukatili wa mwekezaji”, wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa mkoani Morogoro, wanakusudia kutinga bungeni kufikisha kilio chao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Anaandika Bryceson Mathias … (endelea). ...

Read More »

Aua mkewe, kisa kajifungua mapacha

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Henry Mwaibambe

MFAWAMBO Mlengela (45) mkazi wa Kijiji cha Nyaurama, Kata Bugarama wilayani Ngara-Kagera, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumuua mke wake kwa kumpiga baada ya kujifungua watoto pacha. Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Wafukua kaburi la albino na kumnyofoa viungo

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe akiongoza matembezi ya uzinduzi wa kampeni ya kupinga mauaji ya albino 'Inatosha Foundation' hivi karibuni

JESHI la Polisi mkoani Kagera, linawashikilia watu wawili wakituhumiwa kufukua kaburi la marehemu Baltazar  John mwenye ulemavu wa ngozi (albino) na kuchukua viungo viungo vyake. Anaandika Mwandishi wetu … (endelea). ...

Read More »

Prof. Lipumba akacha uzinduzi wa ACT-Tanzania

Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania, Zitto Kabwe akipongezwa na wanachama wake katika mkutano wa mkuu wa chama hicho

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amekacha uzinduzi wa chama kipya cha ACT- Tanzania, anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na kiongozi huyo zinasema, ...

Read More »

Zitto Kabwe: Historia haiheshimu wanaojikweza

Viongozi wa ACT-Tanzania

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hatimaye kimetua mzigo uliokielemea kwa muda mrefu. Ni kuondoka kwa Zitto Zuberi Kabwe katika chama hicho. Zitto, aliyepata kuwa naibu katibu mkuu, mbunge wa ...

Read More »

Ghorofa laporomoka Mwanza, watano wanusurika kifo

Jengo la ghorofa lililowahi kuanguka siku za nyuma jijini Dar es Salaam

UKUTA wa jengo la ghorofa saba linaloendelea kujengwa jijini Mwanza, umeporomoka na kujeruhi watu watano huku mmoja wao akivunjika mguu wakati wakiwa shimoni wakiendelea na ujenzi. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Chikawe akwepa lawama mauaji ya albino

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe akiwa katika uzinduzi wa kampeni ya Inatosha mauaji ya albino

MATHIAS Chikawe-Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amekwepa lawama. Anawataka wananchi kuacha tabia ya kunyooshea  kidole na kuilalamikia Serikali na vyombo vya dola kwa mauaji ya watu wenye ulemavu ...

Read More »

Sugu: Serikali isiniite tena kutuliza fujo Mbeya

Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Bwana Joseph Mbilinyi akiwasihi wananchi kuwa watulivu na kwamba mgogoro umekwisha

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema) ametoa angalizo kwa Serikali, akiitaka itatue mgogoro wa wafanyabiashara mkoani humo, vinginevyo asiitwe tena kuwatuliza pale hali itakapokuwa mbaya. Anaadika Mwandishi Wetu … ...

Read More »

RITA kuanzisha mfumo mpya wa kukusanya taarifa

Mtoto mchanga muda mcheche baada ya kuzaliwa

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA), unatarajia kuanzisha mfumo wa mpya ya kukusanya taarifa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Mfumo huo utachukua na kuhifadhi matukio muhimu kama vile ...

Read More »

Kafulila aibua ufisadi wa mabehewa TRL

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe (nyuma) wakikagua moja ya mabehewa mapya ya TRL

DAVID Kafulila-Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) ameweka hadharani udhaifu ulioainiswa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), katika michakato ya zabuni mbili za manunuzi ya mabehewa. Anaandika Pendo ...

Read More »

Makampuni 500 ya China kuwekeza Tanzania

Wafanyakazi kutoka Shirika la Mafuta la China wakikagua bomba la gesi-Mtwara Tanzania

MAHUSIANO ya kibiashara kati ya Tanzania na China yamechukua muelekeo mpya, ambapo makampuni 500 ya China yakitarajiwa kuanzishwa ndani ya miaka 5. Anaandika Benedict Kimbache … (endelea). Chini ya mpango huu, ...

Read More »

Zitto anajua makosa yake Chadema

Sehemu ya wanachama wa ACT-Tanzania, chama kipya alichohamia Zitto Kabwe

UPO msemo uliotoholewa kutoka kwenye lugha ya Kiingereza –“Ukishindwa kupigana nao, ungana nao”. Kwa kutumia maneno mengine mepesi unaweza kusema, jifunze kukubaliana na matokeo. Kwamba asiyekubali kushindwa siyo mshindani. Inavyoonesha, ...

Read More »

Simba, Yanga, Azam zapigwa faini na TFF

Wachezaji wa Simba na Yanga wakichuana

KIKAO cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania  kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa ...

Read More »

Bunduki za SMG 7 “zaporwa” Tabora

Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (SSP), Advera Bulimba

BUNDUKI saba (7) aina ya SMG zinadaiwa kuporwa kutoka katika ghala la kutunzia silaha mkoa wa Tabora. Anaandika Edson Kamukara … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa ambazo Jeshi la Polisi mkoani ...

Read More »

Serikali isihamishe watu ovyo- Asasi

Baadhi ya nyumba zilizokubwa na mafuriko jijini Dar es Salaam

MTANDAO wa Asasi za kiraia na maendeleo (Policy Forum) kwa kushirikiana na wataalamu wa ushauri na maendeleo, wamekutana kuandaa sera ya kuishawishi Serikali iwafikirie waathirika wa mafuriko na watu wanaoondolewa ...

Read More »

Kampeni ya mchango wa mwanamke yazinduliwa

Profesa Saida Yahya Othman (aliyesimama) akichangia mada wakati wa uzindunzi wa kampeni

KAMPENI ya kutambua na kuenzi mchango wa wanawake katika historia ya Tanzania imezinduliwa leo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa sanaa za ...

Read More »

Mchungaji Gwajima kuhojiwa polisi, kisa kumtukana Kardinali Pengo

Mchungaji Josephat Gwajima

JAMHURI YAA MUUNGANO WA TANZANIÀ WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA PRESS RELEASE 26/03/2015 ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUHUSU TUHUMA ZA ...

Read More »

Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

Profesa Mwesiga Baregu

PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye. Anandika Saed Kubenea ...

Read More »

Gari la Wengert labeba bangi

Gari la kampuni ya uwindaji ya Wengert Windrose Safaris (WWS) likiwa kituo cha polisi jijini Arusha huku likiwa limebeba magunia ya bangi

GARI la kampuni ya uwindaji ya Wengert Windrose Safaris (WWS) inayomilikiwa na wawekezaji wa Marekani, limekutwa na bangi na dereva wake anashikiliwa kwa uchunguzi. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Dereva ...

Read More »

Kazi 959 za waandishi kuchuana MCT

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mkajanga

JUMLA ya kazi 959 zimepokelewa na Balaza la Habari Tanzania (MCT) kwa ajili ya kushindanishwa  katika makundi 21 ya Tunzo ya Umahili wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT) mwaka 2014. ...

Read More »

CUF: Serikali inaandaa vurugu

Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CUF Abdual Kambaya (wa pili kulia)

SERIKALI imedaiwa kuandaa vurugu wakati wa kupiga kura za maoni na uchaguzi mkuu mwaka huu. Anaandika Pendo Omary …. (endelea). Kauli hiyo imetolewa  leo jiji Dar es Salaam na Adual ...

Read More »

Prof. Lipumba kutoa mada mkutano wa ACT

Prof. Ibrahim Lipumba, Aliyekua Mwanachama na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)

PROFESA Ibrahim Lipumba-Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ni miongoni mwa wasomi wa ndani na nje ya nchi walioalikwa kutoa mada katika uzinduzi wa Chama cha ACT-Tanzania tarehe 29 Machi ...

Read More »

Mkutano mkuu wa Tamwa kufanyika Jumamosi

Mkurugenzi Mtendaji wa Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA), Valerie Msoka

ZAIDI ya wanachama 100 wa Chama cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA)- Jumamosi tarehe 28 Machi, 2015, wanafanya mkutano wao mkuu wa mwaka 2014. Anaandika Mwandishi wetu … (endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »

Yanga mwendo mdundo, yaipiga JKT 3-1

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akipambana na beki wa JKT Ruvu

KLABU ya Yanga imezidi kuchanja mbuga katika mbio za kutwaa ubingwa wa msimu huu, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wake wa 19 dhidi ya JKT ...

Read More »

CCM yabariki “kitanzi” cha vyombo vya habari

Jengo la Bunge la Tanzania

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimearifiwa rasmi na Serikali yake kwamba inawasilisha bungeni miswada miwili ya habari ya mwaka 2015, chini ya hati ya dharura Ijumaa wiki hii kwa lengo la ...

Read More »

NBAA yajiimarisha katika TEHAMA

BODI ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Isaya Jairo

BODI ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), imeunda mikakati kazi itakayodumu kwa miaka mitano hususani katika masuala ya utumiaji wa  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na utunzi ...

Read More »

Mchango wa wanawake katika historia kutambuliwa

Bibi Titi Mohamed mmoja kati ya wanawake walioingia kwenye historia ya Tanzania

KAMPENI ya kutambua na kuenzi mchango wa wanawake katika historia ya Tanzania itazinduliwa 27 Machi mwaka huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Lengo kuu la kampeni hiyo ni kuwaenzi wanawake wote waliofanya ...

Read More »

Bora Pinda akose urais nchi ibaki salama

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameshiriki kikamilifu kubomoa misingi ya taifa hili. Ni kutokana na kutaka kuwapo Mahakama ya Kadhi nchini. Anaandika Eberi M. Manya … (endelea). Ameahidi ndani ya Bunge Maalum ...

Read More »

JUKATA: Serikali isiwaingilie NEC

Naibu Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Hebrone Mwakagenda

SERIKALI imetakiwa kuacha kuingilia utendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu daftari la kudumu la wapiga kura na kuilazimisha kuendesha kura ya maoni 30 Aprili. Anaandika Pendo Omary ...

Read More »

Askari Magereza 16 wapata makazi bora

Moja ya jengo jipya la Magereza

FAMILIA 16 za askari Magereza kati ya 63 katika Manispaa ya Iringa, zimepata makazi bora baada ya kukamilika kwa jengo la ghorofa tatu ambalo ni kati ya manne yanayohitajika. Anaandika ...

Read More »

Polisi watuhumiwa kwa mauaji Tunduma

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limetuhumiwa kumuua kijana Sajo Sanga (27) kwa kumpiga na kitako cha bunduki wakati wa wakizima vurugu katika Mji mdogo wa Tunduma wilayani Momba. Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Waziri Mkuu wa Uingereza agoma kurudi Ikulu

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron

WAZIRI Mkuu wa Uingereza David Cameron amesema hatawania muhula wa tatu kwa nafasi ya uwaziri mkuu endapo chama chake cha Conservative kitashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika mahojiano na ...

Read More »

Zitto apigwa ‘stop’ ACT-Tanzania

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akitangaza rasmi kujiunga na ACT-Tanzania

BAADA ya kutimuliwa Chadema na kukimbilia Chama cha ACT-Tanzania, Zitto ameanza kuwekewa vigingi akitakiwa kutogombea nafasi yoyote ya uongozi wa kitaifa utakaofanyika 28 Machi mwaka huu. Kigingi hicho, kimewekwa na ...

Read More »

Mradi wa gesi kutoka Mtwara wakamilika

Afisa Mahusiano wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud

MRADI mkubwa wa umeme wa gesi kupitia bomba kubwa kutoka Mtwara na Lindi hadi Kinyerezi jijini Dar es Salaam umekamilika na kwamba wananchi wameanza kunufaika. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Uthibitisho ...

Read More »

Matibabu ya moyo kunufaisha watoto 60%

Dk. Narva Gershan (kulia) akimpima mtoto mwenye ugonjwa wa moyo

ASILIMIA 60 ya watoto wanaokosa huduma ya matibabu ya moyo wanatarajia kunufaika na mpango wa matibabu hayo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Mpango huo ni wa “kuwatambua watoto wenye ugojwa wa ...

Read More »

Waziri Ummy azomewa bungeni

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu

MAJIBU ya uongo na upotoshaji kuhusu Muundo wa Muungano, yamesababisha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu kuzomewa ndani ya Bunge. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). Ummy amepatwa na kadhia hiyo ...

Read More »

Ndege yaanguka na kuua 150

Ndege kama hii ndiyo iliyoanguka

NDEGE ya Airbus A320 ya Germanwings, kampuni tanzu ya Lufthansa ya Ujerumani imeanguka huko kwenye safu za milima ya Ufaransa leo Jumanne na kuua watu 150. Hii ni ajali mbaya ...

Read More »

Lamudi watoa somo kwa wanunuzi wa viwanja, nyumba

Meneja wa Lamudi Tanzania, Godlove Nyagawa

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imetoa somo kwa wanunuzi wa mali zisizohamishika kama viwanja au nyumba kwa wateja ili kuepukana na matapeli wa uuzwazi wa mali hiyo kuongezeka kwa kasi. Anaandika ...

Read More »

Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa

Ndege inayotumia nguvu ya jua (Solar Impulse 2) kabla ya kuanza kuruka

HISTORIA ya urushaji wa ndege inayotumia nguvu ya jua kwa kuzunguka Dunia imeandikwa. Anaandika Benedict Kimbache kwa msaada wa mashirika ya Habari. Ndege hii iliyopewa jina Solar Impulse-2 (SI2) ilianza ...

Read More »

Tanzania yashika nafasi ya 22 kwa TB

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Dornad Mmbando

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Dornad Mmbando, amewataka wananchi kushiriki katika tiba shirikishi ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB) zitolewazo nchini. Anaandika Sarafina Lidwino … ...

Read More »

Mtoto wa Rais mstaafu afungwa kwa rushwa

Mtoto wa Rais wa zamani wa Senegal, Karim Wade

KARIM Wade-mtoto wa Rais mstaafu wa Senegal amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya Mahakama ya nchini humo kumtia hatiani kwa kosa la rushwa. Kwa mujibu wa Shirika la ...

Read More »

Mvua kuendelea kutikisa Dar hadi Mei

Matukio ya mafuriko Dar es Salaam

MVUA kubwa na fupi zitaendelea kunyesha kati ya Machi hadi Mei mwaka huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Tahadhari inatolewa zaidi katika ukanda wa Pwani umaojumuisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, ...

Read More »

Zitto: ACT kinaendana na kile nilichokipigania

Zitto Kabwe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari. Pembeni ni Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba

BAADA ya minong’ono ya muda mrefu hatimaye, Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Zitto aling’atuka Ubunge, Alhamisi ...

Read More »

Mnyika: Kikwete amewaacha wananchi njiapanda

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mmoja ya mwananchi mwenye ulemavu

MBUNGE wa Ubongo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kulieleza taifa kwa nini ameshidwa kutekeleza ahadi yake aliyoitoa wakati akizundua Bunge la Jamhuri, Novemba 2005. Anaandika Pendo Omary …. (endelea). ...

Read More »

Hali tete ‘upatikanaji wa damu salama’

Mkuu wa Programu za SIKIKA, Patrick Kinemo (kulia) akiwa na Afisa wa Idara ya dawa na vifaa tiba, Scholastika Lucas

DAMU salama haipatikani katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), uliopo chini ya wizara ya afya na ustawi ...

Read More »

Chadema: Miswada hii iondelewe bungeni

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wanaounda Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi (UKAWA), kukwamisha miswada mine itakayowasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 unaoendelea mjini Dodoma. Anaandika Pendo ...

Read More »

Simba yaifumua Ruvu 3-0, Azam yaipumulia Yanga

Wachezaji Simba wakishangilia moja ya mabao waliyofungwa katika mchezo wa leo

TIMU ya Simba imerudisha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya kuitandika Ruvu Shooting mabao 3-0, huku Azam FC ikiendelea kuipumulia Yanga kwa kuitandika Coastal Union 1-0. Anaripoti Erasto Stanslaus ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube