Monthly Archives: February 2015

Kapteni John Komba afariki

Mbunge wa Mbinga Mgharibi, Kapteni John Komba enzi za uhai wake akiimba na bendi ya TOT

MBUNGE wa Mbinga Magharibi ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kapteni John Komba (60), amefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam majira ...

Read More »

Mbowe: Serikali iwajibike mauaji ya albino

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman, ameitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwasaka na kuwakamata wauaji wa walemavu wa ngozi (albino) na vikongwe. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). ...

Read More »

Makonda aanza kwa tambo

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikagua miradi ya wilaya hiyo

MKUU wa Wilaya wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Paul Makonda, ameainisha kero nne atakazoanza kuzipatia ufumbuzi. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea) Kero hizo ni afya, elimu, ardhi na maji ...

Read More »

Kikwete, Lungu hawajui Tazara iko mahututi

Treni ya Tazara ikiwa katika safari zake za kawaida

RAIS Jakaya Kikwete na mwenzake wa Jamhuri ya Zambia, Edgar Lungu, wameahidi kushirikiana ili kuimarisha reli inayounganisha nchi hizi mbili (Tazara), ili kukuza biashara na uwekezaji. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Asasi za kiraia zaachwa “njia ya panda”

Asasi za kiraia

UTOAJI wa elimu kwa mpiga kura kuhusu Katiba Mpya upo “njia panda”. Mpaka sasa haijulikani ni lini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Asasi za Kiraia zitatoa elimu hiyo ...

Read More »

CCM yaanza kuporomoka

Wanachama wa Chadema wakiwa katika mkutano wao

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejiandikia historia yake mpya ya kisiasa. Kimeangusha kwa kishindo Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa marudio wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ...

Read More »

Nasubiri kuona ya Obasanjo Tanzania

Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo

BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alikuwa mlezi wa kweli wa taifa hili. Alikuwa mtu huru. Aliweza kukataa jambo lolote lile ambalo halikuwa na maslahi kwa taifa. Kwa maneno yake ...

Read More »

Uandikishaji BVR wakwama

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda (kulia) akiwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika katika uzinduzi wa uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa kutumia BVR

UANDIKISHAJI wapigakura kwa mfumo wa Biometric Voters’ Registration (BVR) uliopangwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kukamilika ndani ya siku saba, umekwama. Edson Kamukara anaandika…(endelea). MwanaHALISI Online, imebaini kukwama ...

Read More »

Mkakati wa UKAWA waiva

Viongozi wa Vyama vinavyounda Umoja wa wadai Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakitiliana saini ya kukubaliana kuungana

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), viko kwenye hatua za mwisho za kuweka utaratibu wa pamoja kwa ajili ya kuwapata wagombea wake katika nafasi za urais, ubunge na ...

Read More »

Simba yaitumia salamu Yanga, yainyuka Prisons 5-0

Mfungaji wa mabao matatu, Ibrahim Hajibu akiwapungia mashabiki wa Simba, kulia ni Ramadhan Singano na Danny Sserunkuma

SALAMU ziwafikie. Ushindi mnono wa mabao 5-0 walioupata timu ya Simba dhidi ya Prisons ni salamu kwa watani wao Yanga kuelekea katika mchezo wao utakaochezwa Machi 8, 2015 kwenye Uwanja ...

Read More »

Walimu wageuza shule ya umma mradi binafsi

Wakati walimu wa Kigogo Fresh wakikusanya fedha kwa wanafunzi, kuna baadhi ya shule za msingi za Tanzania hali yake ni hii

WALIMU katika Shule ya Msingi Kigogo Fresh iliyopo kata ya Pugu, Manispaa ya Ilala, nje ya jiji la Dar es salaam, wamelalamikiwa kugeuza mpango wa serikali wa kutoa elimu bure ...

Read More »

Ujenzi wa soko wachukua miaka tisa

Soko la Kigogo Fresh B ambalo halijakamilika kwa miaka tisa sasa

NI miaka tisa sasa tangu Halmashauri ya manispaa ya Ilala ianze ujenzi wa soko la Kigogo Fresh, kata ya Pugu. Lakini ujezi wa soko hilo haujamalizika; huku eneo lake lote ...

Read More »

Yanga yaisambaratisha Mbeya City, Simba yachapwa na Stand

Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia bao lake alilofungwa akiwa sambamba na Simon Msuva

TIMU ya Yanga leo imeendelea ubabe wake katika jiji la Mbeya baada ya kuichakaza Mbeya City kwa mabao 3-1 katika mchezo uliochezewa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu za Sokoine jijini Mbeya. ...

Read More »

Chama cha Albino kumshitaki Rais Kikwete UN

Msemaji wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Josephat Torner

CHAMA cha Albino Tanzania (TAS), kimetoa miezi mitatu kwa Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati vitendo vya mauaji ya albino yanayoendelea nchini. Akishindwa kuchukua hatua, watamshitaki Umoja wa Mataifa (UN). Anaripoti ...

Read More »

Lamudi: Nunua nyumba, kiwanja kiganjani kwako

Mkurugenzi Mtendaji wa Lamudi, Mustafa Suleimanji (kushoto) akifafanua jambo, pembeni ni Meneja Mawasiliano, Godwin Lema

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imezindua namba maalum itakayotoa fulsa kwa wanunuzi, madalali na wamiliki wa viwanja, nyumba na vitu visivyohamishiwa kufanya biashara kupitia simu zao za mkononi. Anaandika Erasto Stanslaus ...

Read More »

Yanga yarudi kileleni, Azam yabanwa na Ruvu

Simon Msuva akishangilia bao lake sambamba na mshambuliaji mwenzake, Mrisho Ngassa

USHINDI wa mabao 3-0 ulioipata Yanga dhidi ya Tanzania Prisons, umeifanya timu hiyo ikae kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Yanga ambao imevuna ushindi huo katika mchezo ...

Read More »

Kiongozi wa vijana wa JKT atekwa

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefua, ni mmoja wa viongozi waliokutana na vijana hao waliohitimu mafunzo ya JKT

GEOGE Mgoba, kongozi wa vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokuwa wakishinikiza serikali ya kutekeleza ahadi yao ya kupatia ajira ametekwa. Taarifa zinasema, Geoge ametekwa na wanaodaiwa ...

Read More »

Matumizi ya BVR kura ya maoni kushidwa

Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Msatafu Damian Lubuva kuwa Mkwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),

MRADI wa vitambulisho vipya vya kupigia kura, vitakavyotumika kupitishia Katiba Pendekezwa, umekwama. Anaripoti Pendo Omary…… (endelea). Vitambulisho hivyo vipya vinavyoandaliwa kupitia teknolojia mpya ya “Biometric Voters Registration (BVR), havijafunguliwa na ...

Read More »

Escrow yapasua CCM

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete (katikati) akiongoza kikao cha NEC, Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu, Ali Mohamed Shein

SAKATA la ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi ndani ya Benki Kuu (BoT), limeanza kukipasua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tayari wazee na viongozi wa chama hicho kutoka mkoani Kagera, wametishia kuondoka ...

Read More »

Sitta akabidhiwa mgogoro wa CHAKUA, SUMATRA

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta

MGOGORO unafukuta kati ya Chama cha kutetea abiria nchini (CHAKUA) na Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu (SUMATRA). Mgogoro wa sasa, unahusu gharama za usafirishaji abiria baada ya ...

Read More »

Azam yarudi kileleni, yaifumua Mtibwa 5-2

Wachezaji wa Azam FC wakishangilia moja ya bao walilofungwa katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar

MABINGWA watetezi, Azam FC wamefanikiwa kurejea kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuichakaza Mtibwa Sugar kwa mabao 5-2 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, ...

Read More »

Walinzi wa Rais Mugabe wasimamishwa kazi

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akianguka jukwaani

KUANGUKA kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kumepelekea maafisa usalama 27 kusimamishwa kazi wakatii uchunguzi ukiendelea. Maafisa hao wamekabidhiwa barua za kusimamishwa  siku ya Ijumaa. Mmoja wa maafisa alisema kuwa ...

Read More »

Ivory Coast yatwaa taji la AFCON 2015

Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia ubingwa, huku wakiwa wamembeba kipa wao,  Boubacar Barry

TIMU ya Taifa ya Ivory Coast ndiyo mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya 0-0 katika dakika 120 katika ...

Read More »

Ngassa arudi kwa kasi, akitungua Mtibwa mbili

Mrisho Ngassa (kushoto) akipiga saluti kushangilia bao lake la kwanza akiwa na Simon Msuva

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngassa jana amerudisha heshima yake katika klabu hiyo baada ya kuifungia mabao mawili katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa ushindi wa mabao 2-0. Anaripoti ...

Read More »

Nigeria yahairisha Uchaguzi Mkuu

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan

Nigeria imesitisha uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge mpaka Machi 28 mwaka huu. Uamuzi huu umefikiwa kutokana na sababu za kiusalama kwani mapambano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali na ...

Read More »

Simba, Azam FC zabanwa ugenini, Yanga, Mtibwa Taifa kesho

Kocha wa Simba, Goran Kapunovic akitoa maelezo kwa wachezaji wake

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara umeanza leo huku matokeo ya sare yakitawala katika michezo sita iliyochezwa leo kwenye viwanja tofauti tofauti. Anaripoti Erasto Stansalus ….. (endelea). Simba ...

Read More »

Rais Kikwete anywea, Mahakama ya Kadhi yaota mbawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akitafakari jambo

MAHAKAMA ya Kadhi imeota mbawa. Muswaada uliopangwa kuwasilishwa bungeni leo, tayari umeondolewa na mjadala wake kufungwa. Anaandika Saed Kubenea… (endelea). Kuondolewa kwa Muswaada wa Mahakama ya Kadhi, kumefuatia shinikizo la ...

Read More »

Polisi Tanzania, mmewaona wenzenu wa Guinea ya Ikweta

Askari wa Malabo, Guinea ya Ikweta wakiwakinga wachezaji wa Ghana ili wasipigwe na mashabiki wa Guinea ya Ikweta baada ya mchezo kumalizika

VURUGU zilizotokea katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Fainali za Mataifa Afrika kati ya wenyeji Guinea ya Ikweta na Ghana, zimetia dosari fainali hizo, lakini ni funzo wa ...

Read More »

Mbunge: Serikali acheni kuikwapua mifuko

Mwenyekiti wa CUF, wilaya ya Lindi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini, Salum Barwany.

MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Baruwany ametaka serikali iache utamaduni mbaya wa uingiliaji mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuipa fursa ya kisheria ya kuimarisha huduma kwa wafanyakazi wanaotoa michango ...

Read More »

TCRA yawatwisha mzigo viongozi wa dini

Mkurugenzi wa TCRA, Profesa John Nkoma

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma amewataka viongozi wa dini kutoa elimu vya kutosha kwa waumini wao inayohusu ubaya wa matumizi yasiyotija ya mitandao ya ...

Read More »

Simbachawene amkubali mbaya wa Prof. Muhongo

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimkabidhi ofisi waziri mpya wa wizara hiyo, George Simbachawene

WAZIRI mpya wa Nishati na Madini, George Simbachawene amekabidhiwa rasmi ofisi na harakaharaka akatambua mchango wa Dk.   Reginald Mengi, ambaye alikuwa adui mkubwa kwa mtangulizi wake Profesa Sospeter Muhongo. Anaripoti ...

Read More »

Marando: Wezi wa Escrow wamefichwa na Ikulu

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando

MABERE Nyaucho Marando, wakili mashuhuri nchini na mjumbe wa Kamati Kuu (CC) katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anasema, “…pamoja na kujiuzulu kwa Prof. Sospeter Muhongo, bado ukweli kuhusu ...

Read More »

Mizengo Pinda hafai urais

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mizengo Pinda

MIZENGO Pinda, waziri mkuu wa Jamhuri, hafai urais. Hapaswi kufikiriwa kuwa miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaoweza kupendekezwa kuingia katika kinyang’anyiro hicho. Anaandika Pendo Omary …(endelea). Kinachomuondoa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube