Monthly Archives: January 2015

Sakata la Lipumba latikisa bunge

Wabunge wa UKAWA  wakisimama wakipinga kukataliwa kujadiliwa hoja ya kupigwa na Prof. Ibrahim Lipumba

SAKATA la kukamatwa, kupigwa na kufunguliwa shitaka la uchochezi kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, limezidi kutikisa bunge. Anaripoti Pendo Omary. Leo, Bunge limejadili hoja iliyotolewa ...

Read More »

Mbeya City yafufukia Msimbazi, yaichapa 2-1

Mashabiki wa timu ya Mbaye City wakishangilia baada ya mechi hiyo kwisha na kuibuka na ushindi

TIMU ya Mbeya City ambayo ilionekana kuanza vibaya msimu huu, leo imefufua matumaini yake katika mchezo wake dhidi ya Simba baada ua kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, mechi iliyopchezwa ...

Read More »

Prof. Lipumba apelekwa mahakamani kinyemela, aachiwa kwa dhamana

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba akiwa chini ya ulinzi kwenye gari la polisi muda mcheche baada ya kukamatwa

SINEMA nyingine imeibuka. Ni ndani ya siku 10 tangu ikamilike sinema iliyohusu mgogoro wa uongozi wa serikali ya mtaa wa Migombani, segerea wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Anaripoti Pendo ...

Read More »

Limbu amng’ang’ania ‘Zitto’

Katibu mkuu wa Chama cha ACT-Tanzania Samson Mwigamba

LUCAS Limbu, mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparence (ACT), ameendelea kung’ang’aniza kuwa Samson Mwigamba na Prof. Kitila Mkumbo, siyo wanachama wa chama hicho. Sarafina Lidwino, anaandika. Limbu, ...

Read More »

Marando: JK mtuhumiwa Escrow

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete anapaswa kuwajibika binafsi katika kashfa ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Saed Kubenea anaandika…(endelea) Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha ...

Read More »

Waziri Muhongo ajiuzulu, aahidi kutoa ukweli

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa habari

WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kuomba kujiuzulu wadhifa wake, anaripoti Erasto Stanslaus. Prof. Muhongo amefikia hatua ...

Read More »

Ilala yatenda haki Migombani, Kata ya Segerea

Wakili Hella Mlimanazi akiwaapisha wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Migombani, Kata ya Segerea

SINEMA ya Mtaa wa Migombani, jimbo la Segerea, Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, imekamilika, anaripoti Pendo Omary. Mamlaka ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo ilikumbwa na ...

Read More »

Things to Make With Paper

Edit Report Ways to Get Started Writing To create something is actually a big undertaking. To start publishing may be the hardest aspect. It usually comes normally and then your ...

Read More »

Pigo la pili Dk. Mahanga, Mtaa wa Migombani waapishana

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani, Japhet Kembo (kushoto) akimsikiliza Mwanasheria Idd Msanga.

ILE sinema ya kuvutia iliyomfikisha kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa jimbo la Segerea, Dk Makongoro Mahanga, kunusurika na kipigo cha “umma” kwa kuokolewa na Polisi, ...

Read More »

‘Uhaba wa vifaa, walimu wa sayansi shida’

Wanafunzi wa shule ya sekondari

WAKATI matokeo ya mitihani ya kidato cha pili yanaonesha kwamba kuna tatizo kubwa la watoto kutoelewa masomo ya sayansi, baadhi ya wakuu wa shule wanasema hawana tatizo hilo, anaripoti Sarafina ...

Read More »

Jaji Chande: Mahakama ngono tupu

Jaji Mkuu wa Mahakama, Chande Othman

CHAMA cha Majaji wanawake Tanzania (TAWJA), kimeazisha mtandao maalumu wa kupambana na rushwa ya ngono zinazoshamiri katika sekta ya umma, anaripoti Sarafina Lidwino. Miongoni mwa maeneo ambayo rushwa ya ngono ...

Read More »

Escrow kumuumbua Rais Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete, anahaha kujiokoa na kashfa ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow, ndani ya Benki Kuu (BoT). Mpango wa sasa, ni kuwakamata baadhi ya ...

Read More »

Mgogoro wa ACT sasa watinga mahakamani

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT, Samson Mwigamba akiongeza na waandishi wa habari, akiwa na kambi yake

HATIMAYE yametimia. Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), chama kipya cha siasa nchini na ambacho kilitarajiwa kuongozwa na Zitto Zuberi Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini, kimemfungulia kesi Samson Mwigamba na ...

Read More »

Lamudi wawataka wananchi kupima ardhi zao

Meneja Mkazi wa Lamudi Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na waandishi wa habari

KAMPUNI ya Lamudi Tanzania imewataka wananchi wa Tanzania kuwa na utamaduni wa kupima ardhi zao ili kuepuka migogoro ya ardhi pamoja na kutambulika maeneo yao katika ramani ya Taifa, anaripoti ...

Read More »

Ukwapuaji wa Escrow, Rutazibwa na Theophilo waburuzwa mahakamani

Wahusika wa sakata la Tegeta Escrow, kulia ni Mkurugenzi wa VIP Engineering, James Rugemalira na Mwenyekiti Mtendaji wa IPTL, Harbinder Sing Sethi

SAKATA la akaunti ya Tegeta Escrow imechukua sura mpya, baada ya Mwanasheria wa RITA, Bw. Rutazibwa na Kaimu Kamishna wa Nishati na Petroli Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Theophilo Bwakea, kufikishwa katika ...

Read More »

Mauaji ya Albino, waganga, wapiga ramli wapigwa marufuku

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari, kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Ernest Kimanya

WAGANGA wapiga ramli, wamepigwa marufuku kufanya shughuli zao nchini. Marufuku hiyo imekuja baada ya uchunguzi kubaini, wanahusika na mauaji ya walemavu wa ngozi (albino), anaripoti Sarafina Lidwino. Marufuku hiyo imetolewa ...

Read More »

Kinyesi kutoa maji safi, salama

Bill Gates akijiandaa kunywa maji yaliyotengenezwa kutoka kwenye kinyesi

KINYESHI cha binadamu hutumika sana kama mbolea katika bustani na mashambani, lakini kwa teknolojia mpya sasa kitaweza kuchujwa na kutoa maji safi na salama ya kunywa. Teknolojia hiyo mpya inatarajiwa ...

Read More »

Ohio wasitisha dawa ya kunyongea

Kitanda cha kunyongea watuhumiwa kwa njia ya sindano ya sumu

MAMLAKA ya Jimbo la Ohio imesitisha matumizi ya dawa mbili mchanganyiko kwa ajili ya kunyonga watu baada ya kusababisha kizaazaa wakati wa kumnyonga Dennis McGuire, Januari 2014. Dawa zilizopigwa marufuku ...

Read More »

Mexime, kiboko ya makocha wageni

Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakimdhibiti kiungo wa Azam, Frank Domayo katika mchezo wa robo fainali ya Mapinduzi Cup

JINA la Mecky Mexime huwezi kulikosa kwenye mafaili ya makocha wa kigeni waliokuja nchini kuzifundisha timu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, anaandika Erasto Stanslaus. Unajua sababu ya jina hilo ...

Read More »

Mkakati wa kumfukuza Lowassa CCM waiva

Viongozi wa CCM wakiongoza Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM

MBUNGE wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa, aweza kuvuliwa uwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), muda wowote kutoka sasa. Saed Kubenea, anaripoti. Hoja ya kumvua uanachama Lowassa imepangwa kuwasilishwa katika kikao ...

Read More »

Majaribio ya dawa ya Ebola yaendelea Liberia

Mmoja wa wagonjwa wa Ebola huko Afrika ya Magharibi

WATAALAMU wa tiba wameanza rasmi majaribio ya matumizi ya dawa ya kutibu ugonjwa wa ebola kwenye vituo vya afya vya mjini Monrovia. Lengo la majaribio hayo ni kubaini kama dawa ...

Read More »

Jeshi la Polisi lawakamata Panya Road 1508

Washiriki wa kundi la Panya Road

UPDATE: 17:15 KAMISHNA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova kwa kushirikiana na Makamanda wa kipolisi wa mikoa ya Ilala, Kinondoni na Temeke wamefanikiwa kuwakamata vijana 1508 ...

Read More »

Hakuna atakayezuia Panya Road

Mmoja wa washiriki wa kundi la Panya Road, Ayubu Mohamed ambaye alifariki siku ya mkesha wa mwaka mpya

MAPAMBANO yaliyotangazwa na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova dhidi ya “Panya Road” hayatafanikiwa, anaandika Pendo Omary. Panya Road, ni genge la watoto waliochini ya miaka ...

Read More »

Rugemalira aibua mapya sakata la Escrow

Mkurugenzi wa VIP Engineering, James Rugemalira

JAMES Rugemarila, anaendelea kumshawishi Rais Jakaya Kikwete, kutotekeleza maazimio ya Bunge juu ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow. Anatafsiri mazimio ya Bunge kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza ...

Read More »

Tanzania haitaandika Katiba Mpya

Kaimu Mwenyekiti wa JUkwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Hebron Mwakagenda

KATIBA Mpya inayotokana na maoni ya wananchi, tayari imeshindikana. Bunge Maalum la Katiba, limeshindwa kufanya kazi iliyotumwa. Limeishia mivutano, malumbano, kejeli, vijembe, matusi, ubaguzi na mipasho, anaandika Pendo Omary. Yote ...

Read More »

Kifo cha Fidel Odinga, madaktari kutoa majibu wiki sita zijazo

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyetta (katikati) akisaini kitabu cha maombelezo cha msiba wa mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, Fidel Odinga. wanaoshuhudia ni Odinga (kushoto) na mke wake, Ida Odinga

UPDATE 16:58 WAKENYA pamoja na familia ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga wanapaswa kusubiri kwa wiki sita ili kupata matokeo ya uchunguzi wa kinachoweza kusababisha kifo cha Fidel Odinga, ...

Read More »

ACT chazidi kupasuka, Prof. Kitila, Mwigamba wawatimua kina Limbu

Katibu Mkuu wa ACT, Samson Mwigamba

UPDATE 12:39 CHAMA cha ACT-Tanzania, kimepasuka. Waliofukuzwa uwanachama, Samson Mwigamba na Prof. Kitila Mkumbo, wamedai kumsimamisha unyekiti wa chama hicho, Kadawi Lucas Limbu. Anaandika Sarafina Lidwino. Maamuzi ya kumsimamisha Limbu ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube