Monthly Archives: December 2014

Zitto Kabwe: Kinara wa vurugu ACT-Tanzania

Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo

KAMATI Maalum ya chama cha ACT-Tanzania, kimepitia kwa pamoja azimio la kuwafukuza kutoka ndani ya chama hicho, viongozi wake watatu wajuu, Samson Mwigamba, katibu mkuu, Prof. Kitila Mkumbo, mjumbe wa ...

Read More »

Dk. Bilal kushuhudia mkesha Dar

Viongozi wa Kamati ya Mkesha wa Mwaka Mpya

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal atakuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa mkesha wa Mwaka Mpya wa 2015 utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, anaandika Sarafina ...

Read More »

Mansour anogesha siasa Zanzibar

Mwanasiasa, Mansour Yusuf Himid akisailiama na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa chama hicho.

SAFARI ya kihistoria ya mwanasiasa kijana wa Kizanzibari, Mansour Yussuf Himid, ndio kwanza inanoga. Baada ya kutulia akibakia asiye chama tangu alipofukuzwa CCM zaidi ya mwaka sasa, hatimaye amejiunga rasmi ...

Read More »

UKAWA: Mbele kwa mbele

Viongozi wa Umoja wa Wadai Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakijadili jambo bungeni

MUUNGANO wa vyama thabiti vya upinzani nchini, umevuna maelfu ya wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji katika uchaguzi uliyofanyika 14 Desemba 2014. Haya ni matokeo yenye ...

Read More »

Prof. Tibaijuka aponzwa na urais 2015

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Anne Makinda, hakumnyima nafasi ya kujieleza bungeni, Prof. Anna Tibaijuka, kwa bahati mbaya. Alikusudia ili kumuangamiza kisiasa. Sarafina Lidwino anaripoti. Anne Makinda, Spika wa Bunge, ...

Read More »

Raundi ya 8 Ligi Kuu Bara, Simba yazama, Azam, Yanga nguvu sawa

Amisi Tambwe kazini Yanga

BAADA ya kusimama kwa mwezi mmoja na nusu, hatimaye Ligi Kuu Tanzania Bara imerudi tena katika raundi ya nane iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Katika hatua hiyo jumla ya michezo ...

Read More »

Tunawasubiri waliochota kutoka Stanbic

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe akisoma ripoti yake kamati yake kuhusu kashfa ya Escrow

MJADALA juu ya ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 321 bilioni, kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu (BoT), ungali mbichi. Aliyetegemewa kufunga mjadala huu, kwa kushughulikia wezi halisi ...

Read More »

Kashfa ya IPTL: Familia ya Kikwete imo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete akihutubia Wazee wa Dar es Salaam

Rais Kikwete anamfahamu fika Harbinder Singh Sethi wa IPTL kwa kuwa singasinga huyo alitokea ikulu kabla ya kukwapua mabilioni ya shilingi kutoka akaunti ya Escrow katika Benki Kuu. Saed Kubenea ...

Read More »

Maoni ya wananchi kufuatia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete

BAADA ya hotuba ya Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete kupitia kwa Wazee wa Dar es Salaam, kulizuka mijadala mbalimbali huku kila mmoja akisema lake kutokana ...

Read More »

Timu ya Makipa yaichapa 3-0 Taswa FC

Wachezaji wa timu ya Taswa FC wakiwa makini kuzuia shambulio la timu ya Makipa

Timu ya soka ya Chama Cha Magolikipa Tanzania (TAGA) imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Timu ya soka ya waandishi wa habari za Michezo nchini (Taswa FC) katika ...

Read More »

Chadema yamvaa Kikwete

Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la Chadema, Bw. Arcardo Ntagazwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa Rais Jakaya Kikwete, amepatwa kigugumizi kushughulikia watuhumiwa wakuu wa ufisadi katika Akaunti ya Escrow kwa kuwa yeye ni sehemu ya wizi huo. ...

Read More »

Kikwete kulinda watuhumiwa Escrow

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete, amepanga kulinda na kutetea watuhumiwa wakuu katika ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 321 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, ndani ya Benki Kuu ya Taifa (BoT), MwanaHALISI ...

Read More »

Namna ya kutengeneza mlo kamili

Makundi matano ya chakula-Mlo kamili

BINADAMU wote wanahitaji chakula lakini walio wengi wanakula zaidi kwa mazoea bila ya kujali wanachokula na wanapata nini katika chakula wanachokula. Mazingira tunayoishi na tunayofanyia kazi mara nyingi yanatufanya kuishi ...

Read More »

Huduma zarejea Kliniki ya Foreplan

Sehemu ya dawa katika kiliniki ya ForePlan

MENEJIMENTI ya Kliniki ya Foreplan imelazimika kutoa huduma bila malipo kwa wateja ambao walishaanza kutumia dawa wakati serikali ilipoifunga. “Kliniki ilipofungwa ilisababisha wagojwa kukatiza dozi. Sasa baada ya kufunguliwa tumelazimika ...

Read More »

Wahamiaji watuma mabilioni ya dola kwao

Fedha za kigeni

WAHAMIAJI (Diaspora) ni muhimu kama chanzo cha biashara, teknolojia na ujuzi kwa nchi zao na kwa nchi walizohamia. Kila mwaka wahamiaji hutuma mabilioni ya fedha kwenye nchi zao za asili ...

Read More »

Prof. Tibaijuka atema cheche

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kulia) akiwa na James Rugamalira na mkewe

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, amedai kuna njama zinazolenga kumchafu kisiasa kwa kumhusisha na ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Escrow, MwanaHALISI ...

Read More »

Basi linalotumia kinyesi laonekana mitaani

Basi linalotumia kinyesi badala ya mafuta

UINGEREZA yashuhudia kwa mara ya kwanza katika miji ya Bath na Bristol basi linaloendeshwa kwa nguvu ya gesi inayotokana na kinyesi cha binaadamu pamoja na masalia ya chakula. Mwishoni mwa ...

Read More »

‘Tumbili’ amtimua ‘Mwizi’

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulula

MWANASHERIA Mkuu aliyeitwa “mwizi” bungeni amejiuzulu. Ni Jaji Fredrick Werema, mwenye hasira fupi na msamiati finyu; na hivyo kuvimba fundo haraka kooni. Anatarajiwa kufuatiwa na mawaziri waliotajwa katika kashfa ya ...

Read More »

Ukeketaji ni mateso – TAMWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa. Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valeria Msoka

WANAWAKE waliowengi Kaskazini mwa Tanzania, wamefanyiwa vitendo vya ukeketaji, maarufu kama “tohara ya wanawake.” Ripoti ya kitafiti ya Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), imetaja sababu kadhaa zinazosababisha ...

Read More »

Dk. Mwaka anafungiwa, sangoma huria’

Baadhi wa wateja wa kiliniki ya ForePlan wakiwa nje ya jengo la kliniki hiyo baada ya kufungwa

MGOGORO unaoiandama Kliniki ya Foreplan, inayohudumia akinamama wanaohangaika kutunga mimba, umepanuka. Awali ulikuwa umehusisha mmiliki wa kliniki hiyo, Dk. Juma Mwaka, na Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, peke ...

Read More »

Sekta ya afya Ilala kuboreshwa

Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashid

MANISPAA ya Ilala, imekipandisha hadhi kituo za afya cha Pugu Kajiungeni kuwa hospitali. Lengo ni kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya Amana na kuokoa ya wananchi wanaofia njiani kutokana ...

Read More »

Kuokota chupa humuingizia Sh. 300,000 kwa mwezi

Chupa za plastiki

UWEPO wa Dampo la Murieti lililopo kata ya Terati, mkoani Arusha, umekuwa neema kwa wakazi wanaoishi kuzunguka dampo hilo kutokana na kunufaika kwa kufanya biashara ya kuuza chupa aina ya ...

Read More »

Wasanii wachanga walalama kufunikwa na wakongwe

Msanii wa Vichekezo, James Martin 'Kibuyu Msauzi' akihojiwa na mwandishi wa Mwanahalisionline, Sarafina Lidwino

MSANII wa sanaa ya vichekesho, James Kika ‘Kibuyu Msauzi’ amelalamika kutojulikana katika kazi zake, kutokana na kumshirikisha mkongwe wa tasnia hiyo, Musa Yusuf aka Mkude Simba au Kitale. Kibuyu wa ...

Read More »

Dangote hafungamani na Prof. Muhongo

Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote

DOKTA Aliko Dangote, raia wa Nigeria, ni tajiri Na. 1 barani Afrika; wakati Profesa Sospeter Muhongo ni Mtanzania aliyebobea elimu ya miamba (jiolojia). Wote hao wanapojadili dhana ya uwekezaji kwenye ...

Read More »

Mahangaiko ya maji yanazusha vifo Ilota

Wakazi wa kijiji cha Ilota, Mbeya wakitoka kuchota maji kwenye makonongo

WAKAZI wa kijiji cha Ilota, Kata ya Mshewe, mkoani Mbeya wanatembea umbali mrefu, wanapoteza muda mwingi, wanapata ulemavu. Wengine hufa kutokana na kusaka maji katika mazingira hatarishi, MwanaHALISI online linaeleza. ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube