Monthly Archives: November 2014

Doha kuandaa mashindano ya riadha 2019

Wanariadha wakiwa katika moja mashindano yao

MJI mkuu wa Qatar Doha, utakuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya riadha mwaka 2019 baada ya kuzipiku Barcelona na mji wa Eugene nchini Marekani zilizotaka kuandaa mashindano hayo. Imependekezwa ...

Read More »

Zumba na Kalulu kumwinda Mashali

Bondia Zumbe Kukwe

MABONDIA Zumba Kukwe ‘Chenji dola’ na Sweet Kalulu wanatarajia kupanda ulingoni Novemba 27 katika mpambano usiokuwa na ubingwa na mshindi atavaana na Thomas Mashali ayu Dullah Mbabe. Mpambano huo ambao ...

Read More »

Wasanii chipukizi waomba ushirikiano kwa wakongwe

Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Vijana Arts Group wakiwa katika picha ya pamoja

WADAU wa sekta ya Sanaa nchini Tanzania wametakiwa kuungana na kushirikiana katika kazi zao ili kuleta ushindani kwa nchi za jirani katika tasnia hiyo ya sanaa. Rai hiyo ilitolewa jana ...

Read More »

Oilers hali tete Azam RBA, Savio yashinda

Logo ya Chama cha Mpira wa Kikapu Dar es Salaam

OILERS juzi Jumapili ilishindwa kutamba mbele ya Jogoo baada ya kufungwa pointi 85-79 katika mwendelezo wa michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam ‘Azam RBA’, ...

Read More »

TAHA kuendeleza walimu wa mpira wa mikono nchini

Wachezaji wa mpira wa mikono

Chama cha mpira wa mikono nchini TAHA kinatarajia kuwa na kozi mbalimbali za walimu wa mchezo huo ili kuweza kukuza mchezo huo hapa nchini. Katibu wa Chama cha Mpira wa ...

Read More »

Wazambia wamuaga Sata

Mazishi ya Rais wa Zambia Michael Sata

MAELFU kwa maelfu ya wananchi wa Zambia, wameshiriki katika kumuaga aliyekuwa kiongozi wao mkuu, Rais Michael Chilufya Sata. Rais Satta aliyefariki dunia 28 Oktoba, mjini London, nchini Uingereza, ambako alikwendwa ...

Read More »

CHADEMA: Serikali ya JK inavunja sheria ya kura ya maoni

SERIKALI itakuwa inatenda kosa la jinai kujiingiza katika kushawishi wananchi kuiridhia katiba inayopendekezwa ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Kwa mujibu wa Sheria ya Kura ya Maoni ya mwaka ...

Read More »

Sitti Mtemvu atema taji Miss Tanzania 2014

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu alipotawazwa kutwaa taji hilo akiwa na washindi wa pili na watatu

TUHUMA za kufanya udanganyifu, ikiwemo kughushi umri, ili kushiriki shindano la kutafuta mrembo wa Taifa – Miss Tanzania 2014 – zimemgharimu Sitti Mtemvu ambaye sasa amelivua taji. MwanaHALISI Online limeiona ...

Read More »

‘Toa chakula tujenge maabara’

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Kikwete

VIONGOZI wa halmashauri nchini wanahaha kukamilisha utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete la kujenga maabara tatu katika shule za sekondari za kata. Lakini Halmashauri ya Jiji la Mwanza imefuja ...

Read More »

Uteuzi CCM, ni rushwa, uhasama

Viongozi wa juu wa CCM wakifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama hicho

UHASAMA wa kuwania madaraka kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza kujionyesha wazi katika maandalizi ya chama hicho kupata wawakilishi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utakaofanyika 14 Desemba mwaka huu. ...

Read More »

Tunzo ya mwanamke jasiri duniani

Rais wa Tanzania Women Archievement (TWA), Irene Kiwia akizungumza na waandishi wa habari hawamo pichani

TAASISI  ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement (TWA)  wamezindua rasmi Tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania ambazo zitafanyika Machi 7, 2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake. Akizungumza na waandishi wa habari, Rais wa shirika hilo, Irene Kiwia, alisema kuwa tunzo hizo pia ...

Read More »

Burkina Faso: Viongozi wa jeshi wagombania nafasi ya kutawala nchi

Mgawanyiko umetokea kati ya makamanda wa jeshi juu ya nani anaongoza nchi kufuatia kujiuzulu kwa Rais Blaise Compaore aliyekuwa madarakani kwa miaka 27 kufuatia shinikizo la maandamano na fujo zilizofanywa ...

Read More »

Huduma za tiba masikitiko matupu

Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashid

HUDUMA za afya nchini zinazogharamiwa na serikali, zinasikitisha. Kwa sehemu kubwa zimekumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa dawa na vifaa tiba kiasi cha viongozi wa Hospitali ya Taifa ya ...

Read More »

Kidato cha nne kuanza mtihani Jumatatu

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo, Jenista Mhagama

NAIBU Waziri wa Elimu na Ufundi, Jenista Mhagama amewataka maofisa watakaosimamia mitihani ya kidatu cha nne mwaka huu, kutoruhusu kuwapo kwa udanganyifu, imefahamika. “…natoa wito kwa maafisa elimu wote wa ...

Read More »

Katiba ya Sitta mgogoro mtupu

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya KIbanda Maiti, Zanzibar

KATIBA Mpya Inayopendekezwa haiwezi kupenya kura ya maoni Visiwani Zanzibar, MAWIO limeelezwa. Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM); Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ...

Read More »

‘Kitabu cha Sitta,’ kitabomoa taifa

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta

SASA hakuna katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano – ile iliyokusudiwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 ya mwaka 2011. Kilichovunwa kwa siku 124 mjini Dodoma na ...

Read More »

Katiba Mpya: Wanawake mnasheherekea kilio

Wanawake wa kijijini wakihangaika na shida ya maji

KATIBA pendekezi, tayari imepitishwa na Bunge Maalum, lililokuwa chini ya Samwel Sitta. Miongoni mwa walioonyesha furaha, ni baadhi ya wanawake hasa kuhusu suala la usawa wa jinsia bungeni, maarufu kama ...

Read More »

Mwambene: Hakuna mwenye hati miliki ya nchi?

Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Assah Mwambene

UHUSIANO wa gazeti la MAWIO na serikali – Idara ya Habari Maelezo – ni wa mashaka. Ni bahati njema, tunafahamu kwa undani kinachosababisha uhusiano huo kuwa mbaya. Ni msimamo wa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube