Monthly Archives: September 2014

Mkwe wa Osama bin Laden afungwa

Mkwe wa Osama bin Laden, Sulaiman Abu Ghaith

Sulaiman Abu Ghaith amehukumiwa kifungo cha maisha siku ya jumanne wiki iliyopita. Haya yalisemwa na msemaji wa ofisi ya mwanasheria wa serikali huko manhattan. Ghaith alizaliwa mwaka 1965 na ameoa ...

Read More »

Gharama za vita dhidi ya IS kwa Uingereza

Moja aina ya bomu litakalotumika katika vita dhidi ya IS

BUNGE la Uingereza limeridhia mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la kigaidi lililoanzisha himaya inayodai kuwa ni Dola ya Kiislamu (IS). Makubaliano haya ya bunge la Uingereza yalipitishwa kwa kura ...

Read More »

IS yashukiwa na mvua ya mabomu

Ndege ya kivita ya Marekani

Ndege za kivita za Marekani zimefanya mashambulizi ya mabomu dhidi ya inayojiita Dola ya Kiislamu (IS). Mashambulizi hayo siyo tu yanatoka angani bali ngege za Marekani zimefanya pia mashambulizi huko ...

Read More »

Mtibwa, Azam mwendo mdundo, Simba yakabwa tena nyumbani

Wachezaji wa Polisi wakimpongeza mfungaji wao bao lao la kusawazisha, Danny Mrwanda (wa pili kulia)

MTIBWA Sugar imepata ushindi wa pili mfululizo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuichapa Ndanda FC ya Mtwara mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa kwenye jana kwenye Uwanja wa ...

Read More »

Bunge Maalum lisipuuze maoni ya wananchi

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiendelea na vikao vya bunge hilo

BUNGE Maalum la Katiba “limenyofoa” maoni ya wananchi na kuingiza ibara zenye maslahi ya wabunge wa chama cha CCM. Wakiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Wanaharakati wa ...

Read More »

Msimamizi mifuko ya hifadhi asema hali nzuri

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA), Irene Isaka

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA), Irene Isaka amesema si kweli kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha. Ingawa ...

Read More »

2015; mwaka wa kulia waliojisahau

Katibu Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana (katikati) akiwa na wanachama wa CCM katika moja ya ziara zake

KUJISAHAU kubaya. Mtu aliyejisahau katika jamii; iwe mahali pa kazi au uraiani huwa hafikiri zaidi ya leo. Kwa bahati mbaya sana mtu aliyejisahau awe ofisa au mkurugenzi au raia tu, ...

Read More »

Viongozi wa dini wamewasaliti wananchi

Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela

KATIKA maandiko matakatifu kwa maana ya Biblia Takatifu alikuwepo nabii aliyeitwa Yohana Mbatizaji. Huyu alikuwa mnyenyekevu, na mpole lakini aliyezungumza kwa sauti kali pale alipokuwa anakemea maovu na kwa watenda ...

Read More »

Katiba inaandikwa kwa mtutu wa bunduki

Viongozi wa Umoja wa wadai Katiya ya Wananchi (UKAWA), (kutoka kushoto) Freeman Mbowe, Prof. Ibrahim Lipumba na James Mbatia

KATIBA Mpya ya Jamhuri ya Muungano, sasa inaandikwa kwa nguvu ya mtutu wa bunduki, MwanaHALISI Online linaweza kuripoti. Taarifa kutoka mjini Dodoma zinasema, maeneo yote yanazonguuka jengo la Bunge yamezingirwa ...

Read More »

Fahamu Shinikizo la Damu (2)

Mchoro unaonyesha madaraja ya shinikizo la damu

Aina za vipimo vya presha KATIKA toleo la kwanza la safuu hii wiki iliyopita nilieleza aina mbili za shinikizo la damu. Nilisema aina ya kwanza ni shinikizo la damu la ...

Read More »

Muonekano wa Iphone 6 ni babu kubwa

Iphone 6

Hata hivyo Samsung Galaxy Note 4 bado kinara iPhone 6 na iPhone 6 Plus ni simu za kisasa zilizotengenezwa na Apple Inc. Simu hizi ni mwendelezo wa matoleo ya simu ...

Read More »

Ndanda waanzia kileleni Ligi Kuu, Yanga hoi Moro, Simba leo Taifa

Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakishangilia moja ya mabao yao waliyofunga katika mchezo wao dhidi ya Yanga

WAGENI wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Ndanda FC wameanzia kileleni kufuatia ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji Stand United Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Ndanda imekaa kileleni ...

Read More »

Ugaidi na hoja nzito ya Muungano

Jaji Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, Omar Othman Makungu

SI rahisi kuona kama jambo linalobishaniwa na wanasheria, linalohusu Wazanzibari kukamatwa Zanzibar lakini wakashitakiwa Tanzania Bara, linaweza kuwa na mvuto mkubwa. Linao. Ndio maana kwenye baraza za mjini Zanzibar, linajadiliwa ...

Read More »

Kibanda: Waandishi tunalengwa

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda

NI imani kubwa ya Jukwaa la Wahariri wa Tanzania (TEF) kwamba Jeshi la Polisi nchini lilipanga makusudi kudhalilisha waandishi wa habari kwa kipigo. Mwenyekiti wa Jukwaa, Absalom Kibanda amesema kilichotokea ...

Read More »

Tunajitaji rais bora, siyo bora rais

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Damian Lubuva

UCHAGUZI mkuu wa rais, wabunge na madiwani unakaribia kufanyika. Lakini jambo moja ni muhimu: Taifa linahitaji rais atakayejenga nidhamu miongoni mwa raia. rais mwenye uwezo na uthubutu wa kuwaunganisha wananchi ...

Read More »

Waraka wa Dk. Chami umesheheni upotoshaji

Mbunge wa Moshi Vijijini CCM, Dk. Cyril Chami

MBUNGE wa Moshi Vijijini (CCM), ametoa andishi alilolituma kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), akilalamikia madhehebu ya Kikristo kukosoa uendeshaji wa Bunge Maalum la Katiba. Waraka wa ...

Read More »

Obama kushambulia ISIS kutoka angani

Kikosi cha wanajeshi wa ISIS

Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza rasmi mvua ya mabomu dhidi ya Dola ya kiislam (ISIS) iliyojitwalia kwa mabavu maeneo ya mipaka ya nchi za Siria na Irani na kuyatangaza ...

Read More »

Changamoto mpya 2045: Uhalifu kwa kutumia vishada na Vinasaba

Picha ya mharifu wa mitandao

NI changamoto gani tutakumbana nazo hapo mwaka 2045? Hili ni swali linalogonga vichwa vya walimwengu kwa sasa. Katika kujibu swali hili, kikundi cha magwiji wa jeshi la Uingereza wametabiri kuwa ...

Read More »

JUKATA kufunga Bunge Maalum la Katiba

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limelitaka Bunge Maalum la Katiba kusitisha shughuri zake ndani ya wiki mbili kuanzia June 12, 2014, vinginevyo litahamasisha wananchi kuandamna na kwenda mkoani Dodoma kufunga ...

Read More »

Fahamu athari za Shinikizo la Damu

Mchoro wa Shinikizo la Damu

KUNA aina mbili za shinikizo la damu. Kwanza ni shinikizo la damu la juu (hypertension)  na pili ni shinikizo la damu la chini (hyportension). Makala hii itajadili aina ya kwanza. ...

Read More »

Wajumbe feki wa BMK wambeba Sitta

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Hamid Jongo

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, wanaojiita kutoka taasisi za kidini, wamepata ujira mpya. Wanamtetea kwa nguvu zote, Samwel Sitta, mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Katika mradi wao huu, ...

Read More »

CCM hakina mvuto tena

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu.

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na mtihani mkubwa wa kusambaratika. Wala wanaochangia muanguko wa chama hiki si watu walioko nje ya chama, kwa kweli ni makada wake, wengine wakiwa ndio ...

Read More »

Kesi ya padre Mushi mtegoni

Mwili wa marehemu Evarist Mushi ukipelekwa makaburini tayari kwa kuhifadhiwa.

OKTOBA 3 mwaka huu inaweza kuwa siku ya mwisho kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) wa Zanzibar kutoa kisingizio cha kutokamilika kwa upelelezi wa kesi ya mauaji ya Padre Evarist Mushi ...

Read More »

Richmond ilimzamisha Sitta, bado BMK

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta

RASHID Mfaume Kawawa “Simba wa Vita” ni miongoni mwa viongozi waliotaniwa sana nchini. Kutokana na ufupi wake gia fupi itumikayo kuongeza nguvu katika gari iliitwa Kawawa. Vilevile, alitaniwa kutokana na ...

Read More »

Sitta, Werema maadui wapya wa Katiba Mpya

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Jaji Fredrick Werema akitoa mchango wake kwenye Bunge Maalum la Katiba.

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel John Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema ni “Maadui wapya wa Katiba Mpya Tanzania” ...

Read More »

Kesi ya Katiba yanguruma kama simba

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Goerge Masaju akifafanua jambo.

KESI ya madai inayohoji uhalali wa Bunge Maalum la Katiba kubomoa Rasimu ya Pili ya Katiba; kunyoa ibara na kuingiza sura mpya, itaingia katika hatua muhimu 15 Septemba. Ni siku ...

Read More »

Ushauri kutoka Rich Dad, Poor Dad

Waziri wa Fedha, Saada Mkuywa akifafanua jambo kuhusu bajeti

ROBERT T. Kiyosaki na mwenzake Sharon L. Lechter katika kitabu chao cha Rich Dad, Poor Dad wana ujumbe mzito kwa Watanzania. Wanasema, “Kukua kwa deni la taifa kwa kiasi kikubwa ...

Read More »

Ikulu yaumbuka, Makanisa yawakana waliojiita wajumbe wake

Askofu wa Dayasisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa akihutubia waumini wake

UCHAKACHUAJI katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, uliokanwa na serikali na chama tawala – CCM – sasa  unaweza kuthibitishwa, MwanaHALISI Online limeelezwa. Jumuiya ya Kikristo nchini (CCT), ...

Read More »

Katiba Mpya batili

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta akitafakari jambo

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Visiwani Zanzibar, Othuman Masoud Othuman, amejiuzulu ujumbe katika Kamati ya Uandishi wa Katiba Mpya. Taarifa kutoka Dodoma ambako Bunge Maalum la Katiba linaendelea na shughuli zake ...

Read More »

Viongozi wa Kiislam walalamika kuteswa

Watuhumiwa na kesi ya ugaidi wakifikishwa katika Mahakama ya Kisutu

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imeingia katika kashfa nzito ya askari wake kutajwa kuwa wanaendesha mateso kwa watuhumiwa wanaokuwa kwneye mamlaka ya Jeshi la Polisi. Kashfa hiyo imethibitika wiki iliyopita ...

Read More »

Simba, Yanga kucharuana usajili wa Okwi

Emmanuel Okwi akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zackaria Hanspoppe  mara baada ya mshambuliaji huyo kusaini mkataba wa miezo sita

MADHARA ya kujaza wanachama na viongozi wa klabu za Simba na Yanga katika kamati mbalimbali za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) sasa yanaanza kuonekana. Jamal Malinzi, Rais wa TFF, alipoingia ...

Read More »

UDA yachochea umaskini Dar

Mabasi ya UDA

SHIRIKA la usafiri Dar es Salaam (UDA), lililokuwa mkombozi wa wanyonge, limegeuka “Jehanam,” imefahamika. Gharama za usafiri jijini zimeongezeka; uhaba wa mabasi ya abiria umekuwa mkubwa; ustaarabu wa wafanyakazi wa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube